Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Kwani hakuna wakristo wenye tabia za hao madogo?

Nakuletea uzi wa mikoa mitatu tofauti watoto wapo kidato cha 3 wamekimbia shule na nyumbani wameenda kwa boda boda.

Hao watoto ni wakristo.

Sasa hapo utasema ukristo ndio unafundisha huo ujinga?

Mda mwingine chuki zikijaa zinapunguza hata uwezo wa kufikiri.
Ni chuki tu shuleni kwetu , Wanafunzi Wakiristo waliwahi kufanya Upumbavu wa kujirekodi hovyo na kucheza kimalaya baada ya kumaliza Necta tena walikuwa kwenye Mabweni yanayomilikiwa na MaSister na video ilikuwa tending shuleni na mitandaoni.

Waliitwa shule na kuomba msamaha wao na wazazi wao
 
Boda boda wenyewe ni HIT & RUN

Aisee hali ni mbayaaaaaa
Sana aisee, binti akija kujitambua kishakuwa single mother.

Watoto wanatakiwa kupatiwa elimu kabla ya kutumbukia kwenye mapenzi.

Wakichelewa kuelewa hata useme vipi hawaelewi tena na ndio inakuwa hivi anamuona mzazi hana maana ila huyo kijana ndio kila kitu.
 
Kobazi nadhani Kuna mafundisho hayapo sawa,ni vyema UCHUNGUZI ukafanyika kuanzia Madrasa na mafundisho mengineyo, Hawa mabinti ni wadogo sana lakini Wana ujasiri wa ajabu kupindukia .

Ndyo maana kobazi hawana hata chembe ya utu na huruma..🤔😭😭
Weka hayo mafundisho Kisha tulinganishe na hayo matendo kuliko kuongea kwa maneno na mihemko.

Dini ipo na watu wanatamaduni zao , usikinganishe tamaduni za watu binafsi na dini
 
Ni chuki tu shuleni kwetu , Wanafunzi Wakiristo waliwahi kufanya Upumbavu wa kujirekodi hovyo na kucheza kimalaya baada ya kumaliza Necta tena walikuwa kwenye Mabweni yanayomilikiwa na MaSister na video ilikuwa tending shuleni na mitandaoni.

Waliitwa shule na kuomba msamaha wao na wazazi wao
Mbona wakristo wengi tu wanafanya huo upumbavu wa hao watoto.

Wapo mpaka wanaotoroka makwao kwenda kwa mabwana zao wakiwa kidato cha 3.

Ila hao watoto kufanya hivyo kisa kuvaa hijab basi lawama zote inapewa dini ya kiislamu.
 
naelewa na ndiyo maana mimi ni advocate wa separation ingawaje labda wazo litaonekana ni outlandish lkn ndiyo suluhisho pekee na la kudumu, watu aina hii hauwezi kujenga micro electronic industries, hauwezi kuunda satellites na kuzituma space, watu na utamaduni aina hii hauwezi kujenga jamii yenye heshima, utu na usawa kwa kila mtu na demokrasia.

angalia india vs pakistan kama kusingekuwa na partition i.e muslims pakistan vs the rest india unafikiri leo hii hali ingekuwaje kama wapakistani wote wangebakia india? angalia pakistani 99% muslims na ni chaos tupu vs india ni ni global power leo lkn bado wana (india) >200 million muslims kila siku ni shida, india kuna Christians kwa mfano jimbo la goa (wagoa ni Christians) lkn hausikii shida na wahindu, wahindu na Christians wana-coexist bila ya shida ila na muslims ni shida, kwa nini?

hivyo i am for separation, culture kama hizi tunajifunga mawe kwenye miguu hatuwezi kwenda mbele ni kama tuko kwenye maji na mawe miguuni matokeo yake tutazama wote, muslims wako tofauti man, and the sooner mtu analitambua hilo the better.

usisahahu pia kwamba muslims elite wanataka stupid uneducated masses ili waweze kuwatumia kwenye jihad, na ndiyo hao watoto unaona tayari wanatengezwa kwa ajili hiyo angalia kinachoendelea nigeria na boko haram wanazuia watoto wa masikini wasipate elimu, wanawateka wakiwa shuleni, wanachoma moto shule lkn cha ajabu watoto wa muslim elite wao wanasoma hata wanapelekwa nje ya nchi, na hiyo siyo conspiracy theory bali its happening fungua tu macho utaona hata wana shule kama feza kwa ajili ya watoto wao (muslim elite) lkn hawa wa "uswahilini" wanawavalisha hijab na hawataki wasome ili waje wawatumie "kukata watu vichwa" , kila kitu kimapangwa, its by design ...
Wewe inajulikana ni Pathetic Scumbabag mwenye chuki kubwa na Uislamu.

Nakutajia Christian majority countries ambazo walichapana na nyingine bado Kuna unrest na Chaos ; Sudan Kusini wanachapana , Rwanda waliuwana sana , Congo , Haiti , Angola .

Christian extremists wameua Mayahudi wengi Ulaya na kuwapa mateso , bado KKK kule Uganda pia walikuwepo wakina Joseph Konny
 
Mbona wakristo wengi tu wanafanya huo upumbavu wa hao watoto.

Wapo mpaka wanaotoroka makwao kwenda kwa mabwana zao wakiwa kidato cha 3.

Ila hao watoto kufanya hivyo kisa kuvaa hijab basi lawama zote inapewa dini ya kiislamu.
Na wapo wengine kwenye video hawajavaa Hijabu lakini focus ipo kwa Uislamu.

Uislamu kuendelea kuSurvive pamoja na harakati zote za kupigwa vita Kali na chuki kubwa ni wazi kuwa ndio haki yenyewe, nguvu kubwa inapambana kuDemonize Uislamu global hata Ulaya sasa maandamano lawama wanapewa Waislamu
 
Ni chuki tu za ma kuffar.

Hizo tabia za hao watoto na uislamu wapi na wapi!

Ni kama kaskazini na kusini.
 
Kobazi shule sio kipaumbele chao wanawaza ngono na kuzaa tu. Baadae wanalalamika wanafelishwa na teuzi za madaraka zina upendeleo
Screenshot_20261024_132057_Chrome.jpg

Kuwatetea kobazi ni kazi sanaa
 
Nyie makafiri kutwa mnamtukana Samia sababu ya Dini yake,mara kateua waislam tupu,sasa kama hawana elimu kwann wanapata teuzi? Samia kashawagundua makafiri mnaongozwa na chuki, sasa anadili na nyinyi kisawasawa bila huruma kama msivyo nyie na huruma! Kitiima and others lazima wakanyee ndoo segerea sababu ya ghasia za October 29 na mauaji!
Mtapelekewa moto vizuri TU nyie jamii yenye chuki!
Kafiri bibi yako
 
Back
Top Bottom