Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Hivi kwanini mabinti wengi wa secondary wanapenda kutoka kimapenzi na bodaboda?
Umaskini wa wazazi wao.Ambapo unakuta nyumbani BASIC NEEDS kama chakula ni kipengele,hela ya matumizi na kujinunulia vitu vidogo hawapewi,hela ya nauli ya kwenda shule nayo mtiti.

Mazingira ya nyumbani hayashawishi kujisomea bali ujingaujinga.Kwenye familia unakuta msomi ni FORM FOUR FAILURE ambaye anakiduka chake cha vijoro akiwa na kigari na pesa ya bia utawaambia nini waswahili kuhusu shule.Unakuta madogo wanakosa wa kuwakumbusha umuhimu wa shule!!!

Ndo hivyo unakuta vitoto vinaanza kujilengesha kwa maskini wenzao waliochangamka a.k.a MABODABODA.
 
NIkiona kundi la watu wamevaa viatu vimetoboka mbele,wamevaa mashati ya kitambaa/kitenge yamepauka,wamekondeane hadi mkanda wa suruale zao pana za kitambaa wamefungia tundu la mwisho ili suruale isishuke, wameshika biblia ,pale kariakoo kwenye jua kali midomo imewakauka wanahubiri kuwa ukimpokea Yesu mali na fedha za dunia atakupatia sitawafungamanisha na ma atheist kama mimi wala uislamu,nitawafungamanisha na ukristo maana ndio una vichaa kama hao.

Wanawake wa kiristo kwenye kulea kwa maadili wanalea,hutaona binti wa kikristo kavaa kijora,tako ntembentembe halina chupi kabong'oa kwenye daladala anacheza chura.Wala hutakaa uone wamama wakikristo wana party yao halafu mc ni shoga ILA ukkweli ni kwamba mama wa kilokole akiagizwa na mchungaji wake achome nyumba kweli itatia nyumba kiberiti kwa jina la Yesu.

Ulokole umetengeneza mazombi,yanaombewa kwa mume na mke kutemewa mate mdomoni,wanachapwa viboko kama maombi,walokole wanaamriwa wale majani kama ng'ombe na wanalala chini wanakula majani.

Infact,kuna mengi yanatisha kwenye ulokole.Mauaji mengi yamefanywa na hawa wachungaji vichaa wa kilokole,Refer Kibwetere na Jim Jones.
Hata hivyo wapo wakristo wengi tu wanaamini dini yao kwa akili.

Pamoja na kuwa sina dini na nina furaha kuwa pagan ila nikiambiwa nichague mazingira ya watoto wangu kukulia nitachagua mazingira ya wakristo.Why?They are peaceful people,.Wanaamini hawahitaji kushika jambia coz wakupigana vita ni bwana wa majeshi.Hata uharishie biblia,as long as umeinunua kwa hela yako wataishia kukudharau tu ILA fanya hivyo kwa quran jambia zitatumika wakati Allah aliahidi mwenyewe kuulinda dini yake.Sasa huwa sielewi waislamu wanaoua wanaodhihaki uislamu ni hawaamini uwezo wa Allah au ni roho ya mauaji imewatawala tu.

MImi naamini kama shetani yupo basi jina lake la kweli ni DINI.Dini ndio kitu kimeleta maovu mengi hapa duniani.
Watu hawapendani na wanaua sababu ya dini.Dini ndie shetani.Tumuepuke kwa kuwa atheists.


Wewe unachuki na Uislam. Huo u"atheist" unajifichia tu ndani yake. Ni kama wale wazee wa "hizi dini hizi!" lakini huwa wanautukana Uislam tu na Waislam.

Mnajua kabisa hivyo vituko wanavyofanya hao watoto hapo havina uhusiano wowote kabisa kabisa na Uislam. Lakini mna chuki mpaka inawakaba, hata haya hamuoni kabisa.


Halafu baadhi yenu mnaficha chuki zenu dhidi ya Uislam nyuma ya kujifanya mnazipinga Dini zote.
 
Ukifikiri kwa kina ni bora hata kuruhusu wanafunzi wakimaliza primary waolewe tuuu na shule zibaki na wanafunzi wanaojua wafanye nini na wa familia zilizojitambua. hii itapunguza UPUMBAVU mwingi sana MITAANI yaani mitaa mingi IMEOZA ukikaa kilimanjaro maeneo mengi mtu akiishia Lasaba au 4 anajiunga hata na veta zaidi ya hayo Atakuwa na msongo wa mawazo na kuona ameshindwa maisha.



ila sasa kuna Mikoa kipaumbele cha wanafunzi wengi ni MADRASA tuuuuuuu
NDIO NDIO 🎤
 
Wewe inajulikana ni Pathetic Scumbabag mwenye chuki kubwa na Uislamu.

Nakutajia Christian majority countries ambazo walichapana na nyingine bado Kuna unrest na Chaos ; Sudan Kusini wanachapana , Rwanda waliuwana sana , Congo , Haiti , Angola .

Christian extremists wameua Mayahudi wengi Ulaya na kuwapa mateso , bado KKK kule Uganda pia walikuwepo wakina Joseph Konny

hapo ni ngumu kukubishia ...
 
Back
Top Bottom