Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ulichoonge ni makosa ilibidi ufanye research kisawasawa .

Ingekuwa Uislamu ndio imechangia hayo ungefanya tafiti je Uislamu unasemaje kuhusiana na hayo ?

Mfano mzuri angalia Uarabuni ulipotoka Uislamu je , Wanawake wao wapo kama kina Mwajuma na Ashura wa bongo ? wakati huko ndipo Uislamu umekolea kama Wanawake kuwehuka huko si ndipo ilibidi wawe zaidi ya bongo ?

Vipi Wanawake Waislamu wa Uchagani , Mbeya wapo sawa na wa Dar au Mtwara ? kwa nini usingechunguza Influence ya kimazingira , tamaduni , makabila nk kuchangia hayo kuliko kuangalia dini pekee ? ukiacha mambo ya dini makabila ya Pwani yanatamaduni zao za hovyo za mambo ya kuendeleza ngoma toka enzi ..

Mfano baadhi ya jamii za Wakiristo Wakurya nk wanakeketa na kupiga sana Wanawake je , itakuwa sawa kuhusisha Moja kwa moja na Ukiristo bila kuangalia engo nyingine mfano Mila na desturi ?

Na si ndio maana nikasema huyu "atheist" wa Jf ila mlokole katika maisha ya nje ya Jf (kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe katika Id ya zamani) prida ni Islamophobe ila anajificha nyuma ya "atheism" kujifanya anapinga Dini zote.

Halafu huwa hawana uadilifu kabisa linapokuja suala la Uislam. Yaani kwa sababu mtu anauchukia mno Uislam hata kufikiria hafikirii kabisa, yeye anaongea tu kwa sababu ya ile chuki inayomuunguza katika mayo wake.
 
Halafu huwa hawana uadilifu kabisa linapokuja suala la Uislam. Yaani kwa sababu mtu hukia mno Uislam hata kufikiria hafikirii kabisa, yeye anaongea tu kwa sababu ya ile chuki inayomuunguza katika mayo wake.
Nimekupuuza kisha nikakusamehe kwa upuuzi wako.
 
Asante sana mkui adriz .

Umenisaidia kuwaza tofauti.
Unajua nilikua nadhani ndugu zangu ambao ni waislamu wako tofauti na hawa chura wa vijora nikiamini ni wastaarabu kwa sababu tu wamebahatika kuwa katika kundi la waislamu wenye staha na ustaarabu na sikuwahi kuwaza angle za tamaduni na mazingira.

Nimejifunza kitu.
Asante sana mkuu🙏
Ndio maana Sijakuumu sana sababu Ulichosema aslimia kubwa ni kweli kipo , Mimi nimekaa Uswahilini na mikoa ya Pwani nimekuta kwenye mambo ya Vigodoro, vigomanvya Uruguay , Singeli , Kibao kata na Chura asilimia 90% ni wanatokea upande wetu Waislamu, ni rahisi sana mtu kufikiria Uislamu kuhusisha mambo hayo na Uislamu kwa kuona jamii ya Waislamu inaongoza kwenye hayo na hilo lipo wazi ndoa zetu Waislamu zinasikisha mambo yanayotokea .

Na viongozi wetu wa dini ya Uislamu zamani hawakutilia mkazo sana kwenye kufundisha na kukemea mambo hayo kwa nguvu kubwa ndio maaana wengi wamekulia katika mambo hayo na kuona kawaida tu . Unakuta mkazo ulikuwa unawekwa kwenye kusoma na kukariri Qur'an bila kufundisha kwa undani yale yalioamrishwa na kukataza katika Qur'an.

Makabila ya Pwani wana Mila zao nyingi ambazo zipo kinyume na Uislamu kama misimu ya ngoma , kufunda mabinti vigori nk miaka invyoenda utandawazi , kuchanganyika nk inasababisha zile tamaduni kwenda katika form nyingine hadi kuunda mpya kabisa..
 
Na si ndio maana nikasema huyu "atheist" wa Jf ila mlokole katika maisha ya nje ya Jf (kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe katika Id ya zamani) prida ni Islamophobe ila anajificha nyuma ya "atheism" kujifanya anapinga Dini zote.

Halafu huwa hawana uadilifu kabisa linapokuja suala la Uislam. Yaani kwa sababu mtu anauchukia mno Uislam hata kufikiria hafikirii kabisa, yeye anaongea tu kwa sababu ya ile chuki inayomuunguza katika mayo wake.
Atheist wa Jf wengi wanajificha kwenye kichaka Cha Atheism lakini uadilifu hawana linapokuja swala la Uislamu, utaona wanatanguliza chuki ila upande wa pili wanapooza au wanasema kidogo kujifanya wamebalansi .

Unakuta analeta uzi wa kuweka madhaifu ya dini picha za uzi inakashifu Uislamu na references nyingi anatoa dhidi ya Uislamu japkuwa upande wa pili zipo kama hizo
 
Inasikitisha sana ,ningekuwa mzazi wa huyo binti ,huyo boda ningehakikisha anapata haki yake ya kikatiba ya miaka thalatha ili iwe fundisho kwa boda wengine na mafataki.

Mpaka binti akafikia hatua hiyo, wa kwanza kupata haki yake kikatiba ni mzazi kwa kushindwa kumlea mwanae kisha afate bodaboda.

Je, binti yako akifikia hatua hii, kabla hajahamia kwa bodaboda kama hawa ambao baada ya posti hii walirudi nyumbani kwa wazazi wao wewe kama mzazi baada ya kuiona video binti yako ungemfanya nini?
 
Kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake.
 
Kazi sana wale ma binti wanaona wametoka kifungoni kabisa....hakuna shule tena wala kubanwa sasa kwa kiburi kile ukute wana mabwana kabisa wako ready kuendelea kutumika kwa uwazi sasa maana walikuwa wanaiba iba.....hakuna kitu hawajuiii container limemwagwaaa mtaani......wako ready kwa yote plus magonjwa
 
Ndio maana Sijakuumu sana sababu Ulichosema aslimia kubwa ni kweli kipo , Mimi nimekaa Uswahilini na mikoa ya Pwani nimekuta kwenye mambo ya Vigodoro, vigomanvya Uruguay , Singeli , Kibao kata na Chura asilimia 90% ni wanatokea upande wetu Waislamu, ni rahisi sana mtu kufikiria Uislamu kuhusisha mambo hayo na Uislamu kwa kuona jamii ya Waislamu inaongoza kwenye hayo na hilo lipo wazi ndoa zetu Waislamu zinasikisha mambo yanayotokea .

Na viongozi wetu wa dini ya Uislamu zamani hawakutilia mkazo sana kwenye kufundisha na kukemea mambo hayo kwa nguvu kubwa ndio maaana wengi wamekulia katika mambo hayo na kuona kawaida tu . Unakuta mkazo ulikuwa unawekwa kwenye kusoma na kukariri Qur'an bila kufundisha kwa undani yale yalioamrishwa na kukataza katika Qur'an.

Makabila ya Pwani wana Mila zao nyingi ambazo zipo kinyume na Uislamu kama misimu ya ngoma , kufunda mabinti vigori nk miaka invyoenda utandawazi , kuchanganyika nk inasababisha zile tamaduni kwenda katika form nyingine hadi kuunda mpya kabisa..
Hakika kujifunza hakuna mwisho.
 
Back
Top Bottom