magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mkuu ni kweli nimepita kwenye page yao nimekutana nayo.Acha kutubeba ufala mkuu, hizo ni picha mbili tofauti acha uhuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni kweli nimepita kwenye page yao nimekutana nayo.Acha kutubeba ufala mkuu, hizo ni picha mbili tofauti acha uhuni
Nimeenda pia mkuu kwakweli inahuzunishaMkuu ni kweli nimepita kwenye page yao nimekutana nayo.
Wewe wenzako wanafanya jokes 😂😂😂watanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
Yaani mtu hajui kiwanda cha nguo? Mitz mingi ni mijinga sana! Mtaji wa ccm! Ndio maana Nepi anatoa uharo wa hovyo sana!Hahaaaaa, waende pale TOT Tabata wakapewe vitenge
Ukienda ukasoma kwenye page yao na replies za wadau utagundua sio jokes.Wewe wenzako wanafanya jokes í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Na Nyerere kuondoa mfumo wa Kiingereza kuanzia nursery na shule za msingi ulioachwa na waingereza akaleta upuuzi wa Kiswahili Ili atawale majinga!Uhuuu...wako siriazi mkuu.!.Sema wakulaumiwa ni MA_CCM tu..
watanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
Hao wanajua mambo ya Simba na Yanga tuwatanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
Msomali wa uswaziAtakuwa msomali huyo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo,
hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
View attachment 3046484
View attachment 3046485
😂😂😂Ndio Gen Z wetu hao hawana tofauti na Maiti.