Ukitizama hizi picha ndio utagundua ujinga Tanzania bado ni janga kubwa sana, tunahitaji kufanya kitu

Ukitizama hizi picha ndio utagundua ujinga Tanzania bado ni janga kubwa sana, tunahitaji kufanya kitu

Ndio kama post moja ya jamiiforum walikua wanasema taarifa flani sio ya kweli. Hizo comments za watu sasa huko instagram. Ilionesha ni jinsi gani asilimia kubwa ya wabongo sio wafuatiliaji wa mambo na hatuna muda wa kusoma caption.
 
Back
Top Bottom