Ukitoa pointi Yanga ilipata Kwa kuingia fainali shirikisho, Yanga inabakiwa na pointi ngapi?

Kwa hiyo tukizitoa hizo point ndo yatakua makubwa?

Ama kweli mzee rage hakukosea kuwaita mbu watatu(mbu+mbu+mbu)
 
Yanga inaenda kupata anguko kuu kwenye ranking za CAF.

Kwa jinsi miaka inavyokwenda uzito wa zile points walizopata Shirikisho unazidi kupungua katika mahesabu ya ranking yao na baada ya misimu miwili utapotea kabisa na hivi timu yenyewe hata kuingia robo fainali ni mtihani tutegemee baada ya miaka 2 washuke hadi nafasi ya 20 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…