Ukitoka na mtu mkala kisha akakimbia, unawajibika kumlipia bill yake?

Ukitoka na mtu mkala kisha akakimbia, unawajibika kumlipia bill yake?

Mlitoka naye kivipi?
Kama ni demu wako lazima ulipe.
Kama ulitoka na mtu alafu akaagiza akakimbia lazima ulipe.
 
Kisheria anatakiwa alipe bill na ya yule amekimbia au yake tu? Mwanzo kunakuwa na makubaliano ambayo mhudumu anahusika kuhusu mlipa bill?
Hapana hautamlipia in terms of cash.Ni kusugua masufuria na kukwangua ukoko hadi ufidie portion aliyobugia.
NB: Lazima umlipie.Unaambatanaje na kibaka?
 
Imagine ww ni boda umebeba wezi wanaenda kuiba zen wezi wale wakakimbia ila wananchi wakakushika ww swali utawezaje kunitofautisha ww na wale wezi walokimbia., apo huna jinsi utapigwa utakufa bas

So ww umeenda kwa mgahawa na mtu zen ww ukakimbia mudumu wa hotel anawezaje kukutofautisha ww na yule aliekimbia jibu ni hapana maana mmekuja pamoja so ata kukimbia inaweza ikawa ni mpango weni so lipa tu huna ujanja
 
Kama mlikutana hapo hapo kwenye eneo la tukio sio shida zako! Lakini kama mmealikana na kuja wote itakubidi umlipie!
 
Haupaswi kulipa, na kwa kuwa suala lenyewe ni la kimadai, hata polisi huwezi kupelekwa ukatoe ushirikiano wa kumpata mwanariadha.

Lipia ulichokula wewe.

Sema huwa mnakuwa na mbwembwe, kusema, unakula nini? Au msikilize huyu, ...hapo utawajibika, utalipa na vya mwanamarathon
 
Imagine ww ni boda umebeba wezi wanaenda kuiba zen wezi wale wakakimbia ila wananchi wakakushika ww swali utawezaje kunitofautisha ww na wale wezi walokimbia., apo huna jinsi utapigwa utakufa bas

So ww umeenda kwa mgahawa na mtu zen ww ukakimbia mudumu wa hotel anawezaje kukutofautisha ww na yule aliekimbia jibu ni hapana maana mmekuja pamoja so ata kukimbia inaweza ikawa ni mpango weni so lipa tu huna ujanja
Ndiyo maana wanakufaga wasio hatia. Mmoja zamani kakodiwa kama taxi. Kufika wakamwambia tusubiri. Kakaa kidogo kasikia risasi zinalia. Akajiongeza kukimbia. Mwingine Mtaalamu wa kukata vyuma. Walimuwekea mahypnotic kwenye pombe kisha wakamchukua kwenda kuiba ye haelewi kitu. Sasa we mtu kakimbia na hela yako unanishika mimi kisa nilikaa naye!!
 
Haupaswi kulipa, na kwa kuwa suala lenyewe ni la kimadai, hata polisi huwezi kupelekwa ukatoe ushirikiano wa kumpata mwanariadha.

Lipia ulichokula wewe.

Sema huwa mnakuwa na mbwembwe, kusema, unakula nini? Au msikilize huyu, ...hapo utawajibika, utalipa na vya mwanamarathon
Kumwambia amsikilize ndiyo nimesema ntamlipia.
 
Back
Top Bottom