UsimlipieKisheria anatakiwa alipe bill na ya yule amekimbia au yake tu? Mwanzo kunakuwa na makubaliano ambayo mhudumu anahusika kuhusu mlipa bill?
UsimlipieKisheria anatakiwa alipe bill na ya yule amekimbia au yake tu? Mwanzo kunakuwa na makubaliano ambayo mhudumu anahusika kuhusu mlipa bill?
Mambo ya kukimbia hayawahusu waliokuhudumia chakula. Wewe umeagiza lipa katafute mtu wako unajua ulimtoa wapi. Wa hotel hawahusiki na ushamba wenu.Kisheria anatakiwa alipe bill na ya yule amekimbia au yake tu? Mwanzo kunakuwa na makubaliano ambayo mhudumu anahusika kuhusu mlipa bill?
Kisheria tukienda mahakamani imekaaje?Mambo ya kukimbia hayawahusu waliokuhudumia chakula. Wewe umeagiza lipa katafute mtu wako unajua ulimtoa wapi. Wa hotel hawahusiki na ushamba wenu.
Agiza ambacho hata ukikimbiwa unaweza kulipia. Kuhusu bill yake, wahudumu wakamtafute awalipe.Siku zote ukitoka na mtu hakikisha una kitu mfukoni, hata kama aliahidi kukulipia. Na ni vema ukajua ana uwezo wa kulipa kiasi gani usije agiza kwa kumkomoa wakati huna kitu, utaachwa solemba. Mijitu imekuwa mijinga sana, unakimbiaje bill???
Ndio code hiyo. Kama huna nia ya kumlipia mtu usimwambie mhudumu amsikilize. Wewe kaa agiza vitu vyako. Kisha katikati muite mhudumu muulize "mpaka sasa nadaiwa kiasi gani?" Hapo unapata nafasi ya kuspecify kwamba unalipa bill yako tu. Muhudumu atamkabidhi kila mtu bill yake. Kisha mnaendelea, hapo ushampa code muhudumu kuwa adai separate.Kumwambia amsikilize ndiyo nimesema ntamlipia.
Nimemwambia amsikilize sababu mimi bado naangalia menu au natafakari nione nakula nini. Siyo kwamba nitamlipia. Hii ishu kisheria mahakamani inaweza kuendaje?Ndio code hiyo. Kama huna nia ya kumlipia mtu usimwambie mhudumu amsikilize. Wewe kaa agiza vitu vyako. Kisha katikati muite mhudumu muulize "mpaka sasa nadaiwa kiasi gani?" Hapo unapata nafasi ya kuspecify kwamba unalipa bill yako tu. Muhudumu atamkabidhi kila mtu bill yake. Kisha mnaendelea, hapo ushampa code muhudumu kuwa adai separate.
Kujitoa kwenye lawama mapema hiyo bill yako unailipa kabisa. Kisha unaagiza zako nyingine. Mhudumu akirudi atamdai huyo uliyekaa naye bill yake pia.
Nimekujibu kimtaa kiprotocol. Kisheria sina uhakika mkuu.Nimemwambia amsikilize sababu mimi bado naangalia menu au natafakari nione nakula nini. Siyo kwamba nitamlipia. Hii ishu kisheria mahakamani inaweza kuendaje?
Ndipo ulipojichanganya hapo mkuu. Mhudumu kumsikiliza mteja ni wajinu wake, haambiwi na mtu ndio amsikilize mtu mwingine.Kumwambia amsikilize ndiyo nimesema ntamlipia.
Muda na gharama huko mahakamani ni zaidi mara mia ya hiyo bill.Kisheria tukienda mahakamani imekaaje?