Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

Attachments

  • FB_IMG_1688656299815.jpg
    FB_IMG_1688656299815.jpg
    66.8 KB · Views: 1
Usituwekee hii picha, sisi SeMBe tukiiona inatuumiza sana.
Inakuaje Uto wanapiga picha na Viongozi wakuu wa nchi mbili tena ugenini.
 
Ikiwezekana hii sheria irudi nyuma ipitie mchakato wa hili kombe la shirikisho kuna timu zinatakiwa zinyang'anywe medali🐒
 
Ikiwezekana hii sheria irudi nyuma ipitie mchakato wa hili kombe la shirikisho kuna timu zinatakiwa zinyang'anywe medali🐒
Na nyingine kama RS Berkane waondolewe kwenye orodha ya mabingwa wa hilo kombe.
 
Kwani Gwaneng Galaxy waliwafaje?mlivyokwenda kuwasha moto wa ushirikina kule South mlikuwa mnashiriki kombe gani?
Simba kuwasha moto mbona kawaida,Simba waliwai kuwaunguza Yanga 6-0 shamba la bibi.

Jwaneng Galaxy Vs Simba agrigate ni 3-3,kanuni ikawatoa Simba kwenye mashindano,wewe unataka kusema nini phd ya makopo?
 
Fainali ya CAF aggregate Yanga 2 USMA 2.

Unataka kusemaje wewe tutusa mbumbumbu wahed.
 
Back
Top Bottom