Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Mashindano ya super ligi bila shaka yamechangia haya mabadiliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni UEFAHivi CAF na UEFA nani anajuwa mpira?
CAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa Africa hazitapata fursa tena ya kuingia katika hatua ya mtoano (Play-Off) ya kupambana na 16 bora za shirikisho.
Hivyo 16 bora za shirikisho zitaingia moja kwa moja kwenye makundi.
Naiona AZAM FC ikinufaika na uamuzi huu, ina nafasi kubwa ya kuingia makundi shirikisho, hata Singida Foundation Gate.
Timu zinazocheza shirikisho ni timu ambazo kwenye ligi ya nyumbani kwao ni zile zipo nafasi ya 3 na 4 kwahiyo wa 1 na 2 anatkiwa acheze club bingwa.Hawaamini alichofanya yanga shirikisho, hawataki yajirudie tena.
Jamaa kaongea ukweli hata ukimbeza. Club bingwa si mchezo, siyo kama unacheza na Zalan. Jiandaeni kukutana na Al hilal, Al ahly, Wyadad au Mamolod kwenye mechi ya kwanza, ya pili au ya tatu mtoani.Ukimya wa usajili wa Yanga unawaumiza sana.
Unajisifia kupiga picha na viongozi? Simba inaenda kucheza Supercup ambapo kwenu labda miaka 100 ijayo ndiyo mtacheza. Ishavuta bilion 4 tayari. Piga hesabu kuanzia makombe yote mliochuka msimu huu yanafika bilioni 4?Usituwekee hii picha, sisi SeMBe tukiiona inatuumiza sana.
Inakuaje Uto wanapiga picha na Viongozi wakuu wa nchi mbili tena ugenini.
Kufika shirikisho fainali na kuchukua makombe ya nyumbani mnajiita mashujaa? kweli masikini akipata matk hulia mbwatambwata.Halafu wakirudi kwenye Ligi ya ndani wanakutana tena na wababe wao Mashujaa!!
Mimi naongelea Mashujaa Fc! Wewe unaongelea kitu kingine tofauti kabisa.Kufika shirikisho fainali na kuchukua makombe ya nyumbani mnajiita mashujaa? kweli masikini akipata matk hulia mbwatambwata.
Una miaka mingapi unacheza ligi ya nyumbani na umechukua makombe mangapi? Bado unajiita mashuja kwa kucheza na ihefu?
Simba sasa hivi kimataifa ni wa moto balaa kila hatua Yanga anayopiga kumfikia anasogea mbele. Amecheza Club bingwa mpaka robo fainali wakati Yanga amecheza mechi 2 tu. Simba anaenda kucheza Supercup, nanyi mpo Supercup? Nilisahau mlicheza supecup Malawi na kupiga picha na viongozi.
Cha ajabu hiyo timu kubwa iliyo cheza shirikisho ikaishia robo na kupigwa faini ya dola 10k baada ya kuota moto katikati ya uwanja na kuharibu pitch ya watu.Jamaa kaongea ukweli hata ukimbeza. Club bingwa si mchezo, siyo kama unacheza na Zalan. Jiandaeni kukutana na Al hilal, Al ahly, Wyadad au Mamolod kwenye mechi ya kwanza, ya pili au ya tatu mtoani.
Timu ambayo ipo nafasi ya pili inacheza club bingwa na tena inaenda kucheza super wakati timu iliyochukua kombe inacheza shirikisho. Ni aibu kubwa sana
Ha ha ha haCha ajabu hiyo timu kubwa iliyo cheza shirikisho ikaishia robo na kupigwa faini ya dola 10k baada ya kuota moto katikati ya uwanja na kuharibu pitch ya watu.
Wewe kama mkubwa au bora basi onyesha ubora wako hata huku kwenye shirikisho.Sio kila siku robo iwe kwenye shirikisho au club bingwa ni mwendo wa robo.
Nakwambia Yanga akivuka makundi, ujue nusu au fainali. Nyie endeleni kuganda hapo hapo na robo yenu. Supercup tutafika tu ninswala mda kama tulifika Fainal ya CAF confederation na ndio timu ya kwanza kufika level hii kutoka Tz.Ha ha ha ha
Umeandika kama unajifariji vile. Kuota moto ndiyo imetufanya tutuboe robo fainali ya Champion League na sasa tunaenda kucheza Supercup. Kipindi kile tulifika shirikisho Robo fainail, tukafika tena Champion League robo wakati Yanga ilicheza mechi mbili tu Champion League.
Nyie robo ya Champion League mtachukuwa miaka 200 mbele ndiyo huenda mkacheza. Twende Supecup tukacheze. Ha ha ha ha ha ha ha
Hamna wa kumsajili..Ukimya wa usajili wa Yanga unawaumiza sana.
Utopolo wamesikiaCAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa Africa hazitapata fursa tena ya kuingia katika hatua ya mtoano (Play-Off) ya kupambana na 16 bora za shirikisho.
Hivyo 16 bora za shirikisho zitaingia moja kwa moja kwenye makundi.
Naiona AZAM FC ikinufaika na uamuzi huu, ina nafasi kubwa ya kuingia makundi shirikisho, hata Singida Foundation Gate.
Uto umevurugwaBasi sawa bora yeshe
Taarifa. Utopolo Ina miaka 25 bila kucheza makundi.Hii inawahusu Simba