Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

Wameharibu. Timu zinazochangamsha shirikisho ni kutoka kombe la mabingwa. Wameyaharibu hayo mashindano.
 
Ikiwezekana hii sheria irudi nyuma ipitie mchakato wa hili kombe la shirikisho kuna timu zinatakiwa zinyang'anywe medali๐Ÿ’
Watatoka nduki wasikabidhi medali walizozipata kimazabe mazabe, si wana watimua vumbi mithili ya vibaka kama Kinyambe (Tui la nazi Sila)?
 
CAF wameliondolea uzito kombe la Confederation wakati UEFA wanaliongezea uzito kombe lao la Europa League kwa kujumuisha timu 32 zinazotolewa kwenye Chapions. Maendelea ya soka hayana bara, lakini bara la Ulaya linaendeleza soka wakati bara la Afrika linarudisha nyuma soka.
 
YANGA jipangeni kweli KWELI.

CLABU BINGWA si MCHEZO.

CLABU BINGWA sio Loosers.

Bakisheni wachezaji Muhimu kwenye tibu.
Best Eleven.

Ongezeni No 10.
Na mawinga WA MAANA.

Uzeni mafunguo ameshindwa.
Ninyi mmejipanga tayari?
Maana mnasajili wachezaji waliocheza losers competition
Vp hamna Hela ya kusajili wachezaji wa champions
 
Kiazi inaunguza Mkaa

Kwa walichofanya CAF

Kunaye Team ziatajua maana ya Mabingwa Africa..maana ya Robo fainali๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ni kilio kwa wananchi ambao huvizia kuingizwa huko baada ya kufumushwa na wanaume kwenye caf champions league!! Hakuna tena kupambanishwa na vibonde wanaoelekea kushuka daraja kama malumo!!
 
Azam na singida zinaweza kuwahi kushinda ubingwa wa haya mashindano.

Nasikia yanga wamepeleka barua wacheze huko kisa walifika fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ