Unasema wenzako ni wajinga na masikini kwa sababu ya uelewa wako finyu. Vitabu vitakatifu vinataja kuwa uchawi upo. Watu wengi wenye uelewa finyu kama wa nyie watu mnaopinga uwepo wa uchawi umepelekea watu wengi kupata madhara ambayo baadae yalikuja kuwafanya waamini uchawi upo.
Kuna watu kama wewe nawafahamu walikuwa hawaamini uwepo wa nguvu za giza. Ila yalitokea matukio ambayo yaliwafanya waamini uwepo wa nguvu hizo.
Hii ndo nn sasa? Hivi unajua kama archeology ni mtoto wa anthropology?. Anthropology ni pana sana mkuu.. uliza chochote kuhusu anthropology nitakujb hapahapa.View attachment 2954271
Kijana acha mbwembwe.. mtu anayejua kitu huwa anakieleza kwa urahisi kila mtu anamuelewa.
Maelezo yako tu yanaonesha ni wale wanaokariri ili wafaulu mitihani. Ila hawaelewi wanachokariri.
Nakuwekea link usome
We jamaa anakuhangaisha Bufa ? Yey sasahiv Yuko New York na kwao Mbeya hataki kurudi Hadi leo. Kaukimbia huohuoUnasema wenzako ni wajinga na masikini kwa sababu ya uelewa wako finyu. Vitabu vitakatifu vinataja kuwa uchawi upo. Watu wengi wenye uelewa finyu kama wa nyie watu mnaopinga uwepo wa uchawi umepelekea watu wengi kupata madhara ambayo baadae yalikuja kuwafanya waamini uchawi upo.
Kuna watu kama wewe nawafahamu walikuwa hawaamini uwepo wa nguvu za giza. Ila yalitokea matukio ambayo yaliwafanya waamini uwepo wa nguvu hizo.
Kuna ukweli ila kujua kipi ni bad energy na kipi ni utapeli hapo ndio vigumu.Stori za uchawi huwa ni za kijinga na za ajabu ajabu sana
Sijakataa. Nimeuliza amejuaje ili tuhakiki huo ujuzi.Kuna mambo mengi ambayo ni unseen lakini wanadamu wanajua kuwa yapo na wanayatumia. Haya mambo yana exist intellectually tu. Hujawahi kuona mawimbi ya simu lakini unayatumia kila siku. In fact mambo mengi ni yale yasiyoonekana.
Tatizo si kwamba uchawi hauonekani. Kuna vingi havionekani wakati vipo lakini vinaweza kuthibitishika kwa logic na nathematics.Huwezi kuuona kwa sababu uchawi haupo kwenye internet
Witchcraft is in another dimensionTatizo si kwamba uchawi hauonekani. Kuna vingi havionekani wakati vipo lakini vinaweza kuthibitishika kwa logic na nathematics.
Tatizo uchawi ni hadithi zisizothibitishika.
Na ukibisha, naomba uthibitishe kwa vitendo kwa kuniloga nisiweze kuchangia hapa JF.
Nakupa wiki moja ukiweza kuniloga hivyo nakupa $10,000.
Mashahidi JF nzima.
Ss internet na uchawi vinauhusiano gan??Tatizo si kwamba uchawi hauonekani. Kuna vingi havionekani wakati vipo lakini vinaweza kuthibitishika kwa logic na nathematics.
Tatizo uchawi ni hadithi zisizothibitishika.
Na ukibisha, naomba uthibitishe kwa vitendo kwa kuniloga nisiweze kuchangia hapa JF.
Nakupa wiki moja ukiweza kuniloga hivyo nakupa $10,000.
Mashahidi JF nzima.
Hii ndo nn sasa? Hivi unajua kama archeology ni mtoto wa anthropology?. Anthropology ni pana sana mkuu.. uliza chochote kuhusu anthropology nitakujb hapahapa.
Uchawi upo ila mpaka ukutane nao. Mm nimekupa task ufatilie, wewe unanitishia? Anthropology udsn ni cultural anthropology. Na Ina specialize kwenye public health
Mm siandiki kwa ukukariri, huwez kukandia nguvu niliyotumia miaka mitatu kwa hoja za kugugo hapo hapo. Huu mjadala hautakuwa na maana
How do you prove that to show that it is not just some bullshit you are saying?Witchcraft is in another dimension
Above science and mathematics
Juu yake kuna viwango vingine vingi tu ambavyo havionekani kwa science na wala mathematics.
Science ni kwa ajil ya vinavyoonekana tuu.
Kwani mimi nipo kwenye internet?Ss internet na uchawi vinauhusiano gan??
Ama unadhan Mungu pia unaweza kumthibitisha kwenye science
Hata ukiyaona hutamainiKwani mimi nipo kwenye internet?
Niloge nishindwe kukujibu hapa uthibitishe kuwa uchawi upo.
Nitakupa $10,000 ukiweza.
Fanya kama vile hii si kwa sababu yangu, ni kwa wengine ambao wanaweza kuamini.Hata ukiyaona hutamaini
Mm sio mchawiFanya kama vile hii si kwa sababu yangu, ni kwa wengine ambao wanaweza kuamini.
Niloge nishindwe kukujibu uthibitishe uchawi upo halafu upate kidau cha $10,000.
Ukishindwa kubali tu kuwa wewe ni mtu wa longolongo.
Huhitaji kuwa mchawi kuweza kuthibitisha uchawi upo.Mm sio mchawi
Japo wachawi huwa wananitambua
Swali lako umelielewa??Huhitaji kuwa mchawi kuweza kuthibitisha uchawi upi.
That is a logical non sequitur fallacy.
Nimekutaka uthibitishe uchawi upo kwa kuniloga nishindwe kukujibu hapa JF.Swali lako umelielewa??