Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

Unasema wenzako ni wajinga na masikini kwa sababu ya uelewa wako finyu. Vitabu vitakatifu vinataja kuwa uchawi upo. Watu wengi wenye uelewa finyu kama wa nyie watu mnaopinga uwepo wa uchawi umepelekea watu wengi kupata madhara ambayo baadae yalikuja kuwafanya waamini uchawi upo.
Kuna watu kama wewe nawafahamu walikuwa hawaamini uwepo wa nguvu za giza. Ila yalitokea matukio ambayo yaliwafanya waamini uwepo wa nguvu hizo.

Wajinga na maskini ndo wanaamini huu uzwazwa.
 
View attachment 2954271

Kijana acha mbwembwe.. mtu anayejua kitu huwa anakieleza kwa urahisi kila mtu anamuelewa.

Maelezo yako tu yanaonesha ni wale wanaokariri ili wafaulu mitihani. Ila hawaelewi wanachokariri.

Nakuwekea link usome

Hii ndo nn sasa? Hivi unajua kama archeology ni mtoto wa anthropology?. Anthropology ni pana sana mkuu.. uliza chochote kuhusu anthropology nitakujb hapahapa.

Uchawi upo ila mpaka ukutane nao. Mm nimekupa task ufatilie, wewe unanitishia? Anthropology udsn ni cultural anthropology. Na Ina specialize kwenye public health

Mm siandiki kwa ukukariri, huwez kukandia nguvu niliyotumia miaka mitatu kwa hoja za kugugo hapo hapo. Huu mjadala hautakuwa na maana
 
Unasema wenzako ni wajinga na masikini kwa sababu ya uelewa wako finyu. Vitabu vitakatifu vinataja kuwa uchawi upo. Watu wengi wenye uelewa finyu kama wa nyie watu mnaopinga uwepo wa uchawi umepelekea watu wengi kupata madhara ambayo baadae yalikuja kuwafanya waamini uchawi upo.
Kuna watu kama wewe nawafahamu walikuwa hawaamini uwepo wa nguvu za giza. Ila yalitokea matukio ambayo yaliwafanya waamini uwepo wa nguvu hizo.
We jamaa anakuhangaisha Bufa ? Yey sasahiv Yuko New York na kwao Mbeya hataki kurudi Hadi leo. Kaukimbia huohuo
 
Huwezi kuuona kwa sababu uchawi haupo kwenye internet
 
Stori za uchawi huwa ni za kijinga na za ajabu ajabu sana
Kuna ukweli ila kujua kipi ni bad energy na kipi ni utapeli hapo ndio vigumu.

Mimi mpaka leo ni mbishi lakini nimeshuhudia mambo kadhaa na ninaweza kusema mengi kidogo ila ubishi ni mzuri.
 
Kuna mambo mengi ambayo ni unseen lakini wanadamu wanajua kuwa yapo na wanayatumia. Haya mambo yana exist intellectually tu. Hujawahi kuona mawimbi ya simu lakini unayatumia kila siku. In fact mambo mengi ni yale yasiyoonekana.
Sijakataa. Nimeuliza amejuaje ili tuhakiki huo ujuzi.

Kwa sababu hata mimi naweza kusema mimi ndiye Mungu na hilo ni jambo lisilojulikana tu, utakubali?

Hayo mawimbi ya simu yanapimwa, yanapimika, yanafuata kanuni za hesabu na fizikia zenye logical consistency, yanapitisha mawasiliano ya simu, tunaweza kuhakiki kwamba yapo.

Kuna sehemu ya ulimwengu ambayo mwanga wake haujatufikia, the unobservable universe, tunaweza kupiga mahesabu tukaelewa kwa nini ulimwengu huu hauonekani, kwa kutumia the speed of light, distance, mathematics etc.

Sasa naelewa kuwa kuna vitu vipo na havionekani, hili sijalibishia. Hilo si tatizo kwangu. I only need to know the electromagnetic spectrum and the limit of visible kight to know that. That is not tje issue.

Lakini pia, kuna vitu havionekani kwa sababu havipo.

Sasa, mtu anaposema hiki kipo lakini hakionekani, tutajuaje kuwa hiki kipo lakini hakionekani kweli na si kwamba hakionekani kwa sababu hakipo?

Ndipo hapo nilipotaka maelezo ili kufanya uhakiki.

Na hamjanipa maelezo hayo bado.

Nikisema vibwengo wapo lakini hawaonekani tu, ni tofauti na kusema radio waves zipo lakini hazionekani tu.

Vibwengo hawapimiki, hawaonekani, hawathibitishiki kuwapo.

Radio waves tunazipima, tunajua mahesabu yake, tunajua wavelengths zake, wengine watasema zinaonekana kwa kutumia kifaa cha radio.

Sasa huo ulimwengu usioonekana mnaousema ni upi? Mnajuaje kwamba upo kweli na si hadithi za vibwengo zisizothibitishika tu?
 
Huwezi kuuona kwa sababu uchawi haupo kwenye internet
Tatizo si kwamba uchawi hauonekani. Kuna vingi havionekani wakati vipo lakini vinaweza kuthibitishika kwa logic na nathematics.

Tatizo uchawi ni hadithi zisizothibitishika.

Na ukibisha, naomba uthibitishe kwa vitendo kwa kuniloga nisiweze kuchangia hapa JF.

Nakupa wiki moja ukiweza kuniloga hivyo nakupa $10,000.

Mashahidi JF nzima.
 
Witchcraft is in another dimension
Above science and mathematics

Juu yake kuna viwango vingine vingi tu ambavyo havionekani kwa science na wala mathematics.
Science ni kwa ajil ya vinavyoonekana tuu.
 
Ss internet na uchawi vinauhusiano gan??
Ama unadhan Mungu pia unaweza kumthibitisha kwenye science
 
Hii ndo nn sasa? Hivi unajua kama archeology ni mtoto wa anthropology?. Anthropology ni pana sana mkuu.. uliza chochote kuhusu anthropology nitakujb hapahapa.

Uchawi upo ila mpaka ukutane nao. Mm nimekupa task ufatilie, wewe unanitishia? Anthropology udsn ni cultural anthropology. Na Ina specialize kwenye public health

Mm siandiki kwa ukukariri, huwez kukandia nguvu niliyotumia miaka mitatu kwa hoja za kugugo hapo hapo. Huu mjadala hautakuwa na maana

Wapi kuna neno archeology ?

Tazama kwa umakini image na link niliyoweka.. halafu nioneshe wapi nimeongelea archeology.

Kijana Kuwa makini na attention to details maana unatia aibu

Screenshot_20240405-093725_Firefox.jpg
 
Witchcraft is in another dimension
Above science and mathematics

Juu yake kuna viwango vingine vingi tu ambavyo havionekani kwa science na wala mathematics.
Science ni kwa ajil ya vinavyoonekana tuu.
How do you prove that to show that it is not just some bullshit you are saying?
 
Ss internet na uchawi vinauhusiano gan??
Ama unadhan Mungu pia unaweza kumthibitisha kwenye science
Kwani mimi nipo kwenye internet?

Niloge nishindwe kukujibu hapa uthibitishe kuwa uchawi upo.

Nitakupa $10,000 ukiweza.

JF yote inakuangalia umepata nafasi ya dhahabu kuthibitisha uchawi upo na kupiga pesa.
 
Hata ukiyaona hutamaini
Fanya kama vile hii si kwa sababu yangu, ni kwa wengine ambao wanaweza kuamini.

Niloge nishindwe kukujibu uthibitishe uchawi upo halafu upate kidau cha $10,000.

Ukishindwa kubali tu kuwa wewe ni mtu wa longolongo.
 
Mm sio mchawi
Japo wachawi huwa wananitambua
 
Uchawi UPO Ila ni dimension ya 3 unacheza katika viungo vya chini.

Ni ujinga MTU kuwaogopa wachawi au kwenda kwa mganga .

Binadamu jinsi alivyo Ana nguvu kubwa Ila wachache wakiitumia ndo tunawaita wachawi

Mfano unaweza kuwasiliana na MTU yoyote pasipo kumpigia simu wala meseji na mkaelewana na huh uwezo kila MTU anao.
 
Swali lako umelielewa??
Nimekutaka uthibitishe uchawi upo kwa kuniloga nishindwe kukujibu hapa JF.

Ukifanikiwa utapata kidau cha $10,000.

Ukishindwa, kubali wewe ni mtu wa longolongo tu unasema maneno ambayo huwezi kuyathibitisha.
 
Nataka nichangie lakini basi tu naona kama hatutaelewana na mtoa mada. Basi ni hivyo tu.

MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom