Ukiumiza watu kwa kudhani wewe ni mzalendo sana kumbuka ukiondoka Nchi ina baki palepale wanachukua wengine

Bila katiba mpya huyu mama ni Hatari kwa nchi hii ubaya anafanya kutumia TAKUKURU, CAG na DPP kujifanya anapambana na wamwendazake hao jamaa zake marehemu Jiwe wakichukua nchi Tena mama amekwisha
Ndio maana tunasisitiza sana
 
1.Kuna yule aliyetangulia 'kule'
2.Kuna huyu aliyekuwa mtawala wa dsm mwizi, jambawazi, katili, dhulumati wa 'maisha ya watu'
3. kuna lile jambawazi lingine la kimasai lililofikia hadi kupora wake za watu na kukata watu wasikio!
4. Kuna yule mwingine mburuza miguu aliyeona yeye 'mjengoni' atakaa milele
Haya maisha ni ya kupita jamani acheni uhayawani
Kitabu cha Mhubiri kinasema Dunia na vilivyomo ni ubatili mtupu
 
Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kutojua kuwa Taifa halisongi mbele!

Watu wanaendelea na maisha yao, Ila Taifa limesimama!

Ni aibu kwa mtu mwenye akili zake timamu, kutojua kuwa mifumo ya usimamizi na uongozi wa Taifa Ni mibovu hivyo Taifa haliwezi kusonga mbele

Mpumbavu Ni Nani?

Mpumbavu Ni yule anayesifia Taifa linasonga mbele, Kisha anaanza kudai katiba mpya!

Asali Ni tamu sana!!

Kama Taifa linasonga mbele, Sasa madai ya katiba ya Nini?

Hao wanaokataa kuandaa katiba mpya, Wana hoja Kama yako, kuwa Taifa linasonga mbele, kwa amani na utulivu, kwa maendeleo endelevu!

Walamba asali wote Kama wewe mtoa mada, wanajisaulisha kuwa katiba Ni ingini ya kulifanya Taifa lisonge mbele!

Wenye akili timamu tunawaza kwamba maono ya wazalendo yaingizwe kwenye katiba ili kuondoa tatizo linalotokea la Taifa kusimama na kulala pale mzalendo anapoondoka madarakani!
Mkuu..ndo mana tunasema kuipeleka mbele tanzania iliyojaa na watu wapumbavu kama hawa kina rastman sijui..itachukua miaka 10000...tuko nyuma sana haswaa akili za watz wengi ni za hovyoo hovyoo kuwahi kutokea africa nzima hii..wamewazid kidogo wakongo drc..lakin wengine nazani tz ndo kuna idadi kubwaa na watu wasiokuwa na akili..
 
Upumbavu wa Mtoa mada ni upi hapo?
 
Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kutojua kuwa Taifa halisongi mbele!

Watu wanaendelea na maisha yao, Ila Taifa limesimama!

Ni aibu kwa mtu mwenye akili zake timamu, kutojua kuwa mifumo ya usimamizi na uongozi wa Taifa Ni mibovu hivyo Taifa haliwezi kusonga mbele

Mpumbavu Ni Nani?

Mpumbavu Ni yule anayesifia Taifa linasonga mbele, Kisha anaanza kudai katiba mpya!

Asali Ni tamu sana!!

Kama Taifa linasonga mbele, Sasa madai ya katiba ya Nini?

Hao wanaokataa kuandaa katiba mpya, Wana hoja Kama yako, kuwa Taifa linasonga mbele, kwa amani na utulivu, kwa maendeleo endelevu!

Walamba asali wote Kama wewe mtoa mada, wanajisaulisha kuwa katiba Ni ingini ya kulifanya Taifa lisonge mbele!

Wenye akili timamu tunawaza kwamba maono ya wazalendo yaingizwe kwenye katiba ili kuondoa tatizo linalotokea la Taifa kusimama na kulala pale mzalendo anapoondoka madarakani!
Maendeleo hayana vyama
 
Bila katiba mpya huyu mama ni Hatari kwa nchi hii ubaya anafanya kutumia TAKUKURU, CAG na DPP kujifanya anapambana na wamwendazake hao jamaa zake marehemu Jiwe wakichukua nchi Tena mama amekwisha
Hebu tuambie ngosha, hao wa jamaa wa mwendazake watachukuaje nchi yaani wataanzia wapi? Shinyanga?
Wataanza anzaje mpaka kuchukua nchi
Hujui hao wamefanywa wapinzani namba moja halafu vyama vya upinzani vinafata
 
Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kutojua kuwa Taifa halisongi mbele!

Watu wanaendelea na maisha yao, Ila Taifa limesimama!

Ni aibu kwa mtu mwenye akili zake timamu, kutojua kuwa mifumo ya usimamizi na uongozi wa Taifa Ni mibovu hivyo Taifa haliwezi kusonga mbele

Mpumbavu Ni Nani?

Mpumbavu Ni yule anayesifia Taifa linasonga mbele, Kisha anaanza kudai katiba mpya!

Asali Ni tamu sana!!

Kama Taifa linasonga mbele, Sasa madai ya katiba ya Nini?

Hao wanaokataa kuandaa katiba mpya, Wana hoja Kama yako, kuwa Taifa linasonga mbele, kwa amani na utulivu, kwa maendeleo endelevu!

Walamba asali wote Kama wewe mtoa mada, wanajisaulisha kuwa katiba Ni ingini ya kulifanya Taifa lisonge mbele!

Wenye akili timamu tunawaza kwamba maono ya wazalendo yaingizwe kwenye katiba ili kuondoa tatizo linalotokea la Taifa kusimama na kulala pale mzalendo anapoondoka madarakani!
Taifa linasonga mbele. Angalia hata Rwanda waliuana wakaleta mauwaji ya kimbari lakini hadi leo halisongi?
 
Hebu tuambie ngosha, hao wa jamaa wa mwendazake watachukuaje nchi yaani wataanzia wapi? Shinyanga?
Wataanza anzaje mpaka kuchukua nchi
Hujui hao wamefanywa wapinzani namba moja halafu vyama vya upinzani vinafata
Mkuu acha ukabila basi😀
 
Back
Top Bottom