Ukiumiza watu kwa kudhani wewe ni mzalendo sana kumbuka ukiondoka Nchi ina baki palepale wanachukua wengine

Bila katiba mpya huyu mama ni Hatari kwa nchi hii ubaya anafanya kutumia TAKUKURU, CAG na DPP kujifanya anapambana na wamwendazake hao jamaa zake marehemu Jiwe wakichukua nchi Tena mama amekwisha
Ndio maana tunasisitiza sana
 
Kitabu cha Mhubiri kinasema Dunia na vilivyomo ni ubatili mtupu
 
Mkuu..ndo mana tunasema kuipeleka mbele tanzania iliyojaa na watu wapumbavu kama hawa kina rastman sijui..itachukua miaka 10000...tuko nyuma sana haswaa akili za watz wengi ni za hovyoo hovyoo kuwahi kutokea africa nzima hii..wamewazid kidogo wakongo drc..lakin wengine nazani tz ndo kuna idadi kubwaa na watu wasiokuwa na akili..
 
Upumbavu wa Mtoa mada ni upi hapo?
 
Maendeleo hayana vyama
 
Bila katiba mpya huyu mama ni Hatari kwa nchi hii ubaya anafanya kutumia TAKUKURU, CAG na DPP kujifanya anapambana na wamwendazake hao jamaa zake marehemu Jiwe wakichukua nchi Tena mama amekwisha
Hebu tuambie ngosha, hao wa jamaa wa mwendazake watachukuaje nchi yaani wataanzia wapi? Shinyanga?
Wataanza anzaje mpaka kuchukua nchi
Hujui hao wamefanywa wapinzani namba moja halafu vyama vya upinzani vinafata
 
Taifa linasonga mbele. Angalia hata Rwanda waliuana wakaleta mauwaji ya kimbari lakini hadi leo halisongi?
 
Hebu tuambie ngosha, hao wa jamaa wa mwendazake watachukuaje nchi yaani wataanzia wapi? Shinyanga?
Wataanza anzaje mpaka kuchukua nchi
Hujui hao wamefanywa wapinzani namba moja halafu vyama vya upinzani vinafata
Mkuu acha ukabila basi😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…