Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Watu wa Daslam wameyapatia sana maisha kwenye kujua Aziz Ki jana alipikiwa nini na yule mwanamke aliemuoa juzi (jina lake nimelisahau)

Wameyapatia sana maisha kujua Diamond atamuoa zuchu au anamchezea.

Wanajua sana maisha kuwa mechi ijayo ya Simba na Yanga refa gani asichezeshe hiyo mechi maana kahongwa.

Wanajua sana wasafi Media ni ya Diamond au siyo, Crown Media ni ya kiba au siyo

Wewe wa mkoani unajua nini bana?
 
Mi dar huwa na kwenda kula hela na shoping kisha narudi zangu interior kusaka point 3 muhimu
 
Maisha popote bhana....
 
Kwani ushauri lazima uombwe? Wataalamu wa afya wako kwenye media kila siku wanatoa ushauri kwani nani kawaomba?
Wale wanafanya biashara zao, wanatoa ushauri na kuvutia wateja. Tena kwa kujitambulisha na kualikwa.

Na zaidi, suala si kutoa ushauri bila kuombwa tu. Nimeongelea mambo matatu.

1. Kutoa ushauri bila kuombwa.
2. Kwa watu usiowajua.
3. Kuhusu mambo usiyoyaelewa.

Sasa mtaalamu anaitwa kwenye media, analenga watu fulani ambao anawajua, kawasomea, anawashauri kwenye mambo anayoyaelewa, kayasomea, unamuwekaje kwenye hoja zangu hapa?
 
Huu ni ukweli mtupu, japo itawauma Sana Darisalamians wenzangu. Kuna ile Imani ya kale kuwa Dar ndio Kuna maisha mazuri kuliko mikoani. Hata watu wakiomba ajira, say, seriklini utasikia Wanataka Dar. Utashangaa hata Mbunge wa interior huko atahama jimboni mwake atafaiti apate kiwanja ajenge dar aje aishi Dar, hata kama hazalishi chochote

Ilifika hata kule mikoani Binti aliona kijana katika Dar, anaona Huyo ndiye ana mafanikio.

But in reality ukitaka mafanikio ya binafsi na kuwa mjasiliamali wa maana, Dar hapafai. Dar imebaki ni pa kutafuta madili tu tena yakuumiza watu au Serikali.

Mali Iko shambani.
 
Mbona na wewe hapa unatoa ushauri sasa? Kama kutoa ushauri bila kuombwa ni kosa?
 
Ahsante kwa muongozo.

Ngoja nikate tiketi nije mkoani moja kwa moja
 
Umesahau geto Kuna air force mbili za kuvimbia😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…