Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Sasa kwanini unajaribu kumzuia asitoe ushauri wake kama unajua Jf ni public forum na yeye ni mtu kutoa kwenye jamii anayoizungumzia?
Wapi nimemzuia asitoe ushauri wake?

Mimi si mod, ni mchangiaji tu, nitamzuiaje asitoe ushauri wake?

Unajua tofauti ya kukosoa mawazo ya mtu na kumzuia mtu asitoe mawazo yake?
 
Huu ni ukweli mtupu, japo itawauma Sana Darisalamians wenzangu. Kuna ile Imani ya kale kuwa Dar ndio Kuna maisha mazuri kuliko mikoani. Hata watu wakiomba ajira, say, seriklini utasikia Wanataka Dar. Utashangaa hata Mbunge wa interior huko atahama jimboni mwake atafaiti apate kiwanja ajenge dar aje aishi Dar, hata kama hazalishi chochote

Ilifika hata kule mikoani Binti aliona kijana katika Dar, anaona Huyo ndiye ana mafanikio.

But in reality ukitaka mafanikio ya binafsi na kuwa mjasiliamali wa maana, Dar hapafai. Dar imebaki ni pa kutafuta madili tu tena yakuumiza watu au Serikali.

Mali Iko shambani.
Hawa wabunge wanakimbilia dar sababu yeye hata akilala ndani, posho zinasoma ila kwetu sisi wasakatonge dar ni noma aisee,huku unaweza kuwa una mishe yako inakupatia riziki ila maisha yapo juu sana kiufup hautalala njaa ila kupiga hatua itakuhitaji muda sana au isipige kabsa utakuwa inashinda mishe ili gurudumu la maisha liende t na sio ufanikiwe, hii imani kwamba dar ni sehem pekee mtu anaweza fanikiwa nowadays haina ukweli kuna majiji na miji kibao uko peripheral ukijichanganya utatoboa na utavimba
 
Kweli
 
Wapi nimemzuia asitoe ushauri wake?

Mimi si mod, ni mchangiaji tu, nitamzuiaje asitoe ushauri wake?

Unajua tofauti ya kukosoa mawazo ya mtu na kumzuia mtu asitoe mawazo yake?
Kama wewe unavyomkosoa na yeye anakosoa na kutoa ushauri kwa watu wanaokaa Daslam kwa kupoteza muda bila shughuli za msingi je ni kosa?
 
Mtaani wapi huko? Hizi hoja zinaongelewa sana na wasio wakazi wa dar sijui ni kwanini.

Dar pamechangamka kifursa kuanzia level ya chini ya maisha mpaka level ya juu. Kuna sehemu kuitafuta elfu 5 kwa siku ni mtihani sana.
Acha kuchekesha,zinaongelewa na wasio wakazi wa dar wakati mm mwenyewe ni mkazi wa dsm! Acha utoto kwenye uhalisia
 
Hilo nalo mkaliangalie kwenye katiba mpya. Mtu asisimangwe kwa sababu ya mahali alipochagua kuish
Mkuu,

Ni vile watu hawasomi katiba tu.

Hilo halihitaji katiba mpya. Lipo katika katiba ya sasa.

15. Right to personal freedom

Every person has the right to freedom and freedom live as a free person.

17. Right to freedom of movement.

Every citizen of the United Republic has the right to freedom of movement in the United Republic and the right to live in any part of the United Republic, to leave and enter the country, and the right not to be forced to leave or be expelled from the United Republic.
 
Zile stori za ukifiga kuku 20 kila mmoja akatotoa angalau vifaranga 10 tu unapata kuku 200😀😀
Dunia inafix nyingi, kuna Mdada mmoja wa TZ hapo juzi kati kadakwa huko duniani kwa biashara ya ngada wakati alikuwa anajinasibu kuuza mchicha Ulaya na kuingiza laki mbili kwa siku!!.JK alisema akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Mkuu,

Ni vile watu hawasomi katiba tu.

Hilo halihitaji katiba mpya. Lipo katika katiba ya sasa.

15. Right to personal freedom

Every person has the right to freedom and freedom live as a free person.

17. Right to freedom of movement.

Every citizen of the United Republic has the right to freedom of movement in the United Republic and the right to live in any part of the United Republic, to leave and enter the country, and the right not to be forced to leave or be expelled from the United Republic.

Dah, kumbe vifungu vipo wazi kabisa. Kuna umuhimu kuwa na mazoea ya kusoma hiki kitabu
 
Dah, kumbe vifungu vipo wazi kabisa. Kuna umuhimu kuwa na mazoea ya kusoma hiki kitabu
Ndiyo hivyo mkuu.

Jaji Warioba alishangaa sana alivyokuwa anzunguka nchi nzima kukusanya maoni ya watu wanataka nini kwenye katiba mpya, alikuta mambo mengi wanayosema yawe kwenye katiba mpya yapo kwenye katiba ya sasa tayari, ila watu hawajui.
 
Kwa nini hili linakushughulisha mpaka umelianzishia thread?

Kama mtu kaamua kuishi Dar anaona hapo ndipo kuna maisha mazuri huo si uhuru wake tu na anaishi anavyotaka, tatizo liko wapi?
Tatizo ni yeye kujiona ameyapatia maisha kuliko wengine.

Yaan kuwaona nyinyi wamikoani hamna maana
 
😅😅😅

Kiranga ni muumini WA Uhuru binafsi. Kitu ambacho waafrika wengi hatutaki kuamini katika Hilo huwa tuna force tufanane Imani mawazo na akili
Mkuu,

Nakushukuru sana kwa kunielewa moja kwa moja kifalsafa.

Yani ukishaelewa hoja hii, migongano mingi sana na mimi unaimaliza kabla hata haijaanza.

Na hii hoja ni vigumu kueleweka kwa wengi wetu, ndiyo mana kunakuwa na back and forth nyingi hapa.
 
Back
Top Bottom