Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Kweli kabisa!! Nahisi nitakuwa na tatizo!! Au ww unaonaje?? πŸ˜‚
Wala huna tatizo lolote cute, inaonekana huna njaa ya pesa unatoka Kwenye familia inayojiweza au una kazi nzuri inayokupa kipato kizuri
 
Yaani.ukizidisha dakika tano tu basi ushapigwa kizinga.

Sometime unaamua ukae kimya tu.
 
Mkuu usidate na mshangazi ambaye Ni " Liability" Yaani yupo yupo tu anataka umhudie mpaka hela ya bundle.

Tafuta mshangazi ambaye anajishughulisha na chochote aidha saloon au genge.
Don't date a Liability bro.
Ni wote Kaka labda wewe huna uzoefu tu
 
Then you're one in a million, Yaani hupendi kumuomba mwanaume wako pesa jamani πŸ˜…
Siipendi kabisaaa.!! Wasichana wenzangu wananicheka sana. Kuna siku nilipanga niombe, ahiii nilijikanyaga mpk sio pouwa πŸ˜‚
Alishanijua hivyo ananiwekea tyuu au ananipa card yake ila naweza nikakaa nayo au nikamtumia pesa mama yake.!!
 

Wanawake wana matumizi sana makubwa ya fedha ambayo hayana msingi kuliko wanaume.

Mwanamke anawaza kupendeza tu ,anunue nywele ,anunue mafuta ya kila aina ,anunue nguo za kuvaa za kubadili kila siku halafu kipato kidogo.
 
Kwanza ukiona tu mwanaume anachat jua tu huyo it's either hana kazi na hela pia hana.
 
Mbona ule mwaka nimetaka kukuoa tukapanga vizuri mambo yetu,badae ukapotea ukaja na I'D nyingine, wala sikuogopa kama utapiga vizinga.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hahaha kubabeki hii ni skendo! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mimi ID yangu hii hii bana nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…