Ukiwa huna kazi mwanamke anakuchukuliaje?

Ukiwa huna kazi mwanamke anakuchukuliaje?

mr_stev001

Senior Member
Joined
Feb 4, 2023
Posts
159
Reaction score
220
Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume haribu , unaweza ombwa pesa ukatoa vocha ukatuma lakin huna kazi mwanaume apewe heshima yake @enline_g✍🏼
 
Anakuona kama hivi yaan
images-1.jpg
 
Adam kabla hajapewa mke, Mungu alimuweka kwenye bustani ya Eden ailime na kuitunza.
Kama huna kazi ya ajira, jiajiri. Fanya huo wajibu upate mkate wa kuweka mezani sio kuwaza utachukuliwaje wakati unafanya vitu hatarishi kwa familia.
 
Mwanaume kaumbiwa mateso embu cheki km huyu mwanaume mwenzetu kakamatwa na MWANAMKEE mpk ataki kuwa na familia kisa atakosa furahaaa....kwann asingeishi pekeee yakee tu
Screenshot_20230329_174742.jpg
 
Mfumo wa sasa wa Dunia jinsia zote zinasoma na usishangae kukuta wanawake ndyo wasomi wengi kuliko hata wanaume.

Cha ajabu wanaajariwa na kulipwa mishahara wengine isitoshe wanalipwa mishahara mikubwa kuliko hata Waume zao.Cha ajabu hao wanawake hao wanaolipwa mishahara mikubwa wanategemea Waume zao katika Kila kitu pasipo kujali wana kipato Cha kawaida.

Mwanaume analipwa laki 5 Mwanamke analipwa milioni 2 lakini Mwanaume akiyumba kiuchumi huyu mwanamke Anamuona mwanaume wake mzigo na kumtukana.Pesa zake anazitoa Kwa uchungu.Sasa hizo pesa ulisoma zikusaidie nini kama unashindwa kumsaidia mume wako Kwa muda anapofelli kiuchumi.

## mwalimu wa wanawake haoni mbele
 
Anakuchukulia kama ped iliyo tumika na huu ndio ukweli mchungu kwa wanaume..

Japo sisi wanaume tunaweza ishi na wanawake maisha yao yote wakiwa hawana kazi wala akili.
 
mwanaume unakosaje kazii, fanya hata biashara kama huna kazi sio kukaakaa tu
 
Back
Top Bottom