Ukiwa kama abiria unasafiri safari ya mbali ni vizuri ule nini njiani na uepuke kula nini

Ukiwa kama abiria unasafiri safari ya mbali ni vizuri ule nini njiani na uepuke kula nini

Korosho na juice ya embe take away au soda na maji kiasi safari itakua safi na hautapata usumbufu.
 
Msitupangie tule nini siku hizi mabasi yana vyoo unagonga hata wali maharage bila kadhia.Tahadhari:do this at your own risk,usije ukaanza kunena kwa lugha ukibanwa na mavi baada ya kuzitumia dakika 10 zako kuchimba dawa na kula
 
Back
Top Bottom