green rajab JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 12,387 Reaction score 39,119 Nov 20, 2023 #101 Korosho na juice ya embe take away au soda na maji kiasi safari itakua safi na hautapata usumbufu.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Nov 20, 2023 #102 Msitupangie tule nini siku hizi mabasi yana vyoo unagonga hata wali maharage bila kadhia.Tahadhari:do this at your own risk,usije ukaanza kunena kwa lugha ukibanwa na mavi baada ya kuzitumia dakika 10 zako kuchimba dawa na kula
Msitupangie tule nini siku hizi mabasi yana vyoo unagonga hata wali maharage bila kadhia.Tahadhari:do this at your own risk,usije ukaanza kunena kwa lugha ukibanwa na mavi baada ya kuzitumia dakika 10 zako kuchimba dawa na kula