Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

Umesema vyema kabisa mkuu. Kwa sababu ukubwa wa biashara zote upo katika zinazoonekana biashara ndogo. Bakhresa si anauza ice cream? Tupeane motisha kwenye mtizamo chanya kama ulivyosema ndugu.

Namna tunavyotizama jambo ndio utofauti unapotokea.
Kabisa mkuu..
 
Hivi mkuu ulishawahi kulima wewe?
 
We fany different utoboe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…