Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Acha kujenga njiani (duniani) tunapita ohh.!! 😹😹😹
Kuna mtu natamani kumtaja ila siwezi kumfanyia promo bila malipo.. 🀣
 
Ni ujinga tu kuhonga mwanamke, unamuhonga ili iweje...kwani hana wazazi na kwanini liwe jukumu lako kumuhonga yeye, kwanini yeye asikuhonge wewe?
 
Kama hujipendi utakula marapurapu tuu.

Nishakuambia vaa vizuri, jijenge kiuchumi, kuwa na Maisha standard, jipende. Uone!

Wewe Kwa uelewa wako watu mashuhuri kama kina Diamond Wanahonga?
Mkuu

Hakuna mwanaume ambaye ahongi,
Labda uwe marioo.
Kama hujipendi utakula marapurapu tuu.

Nishakuambia vaa vizuri, jijenge kiuchumi, kuwa na Maisha standard, jipende. Uone!

Wewe Kwa uelewa wako watu mashuhuri kama kina Diamond Wanahonga?
Mkuu labda nikueleze jambo kidogo


Diamond ana u Michael Jackson gani asihonge?tena hao wanahonga balaa.
Nimefanya research Kwa miaka mingi sana nimegunduwa kuwa.

Money bring woman and woman bring love..

Sasa wewe endelea kukataa kuhonga kama hujaishia kumaliza haja zako Kwa wale wadada wanaopitisha mboga mboga majumbani asubuhi.
 
Ni ujinga tu kuhonga mwanamke, unamuhonga ili iweje...kwani hana wazazi na kwanini liwe jukumu lako kumuhonga yeye, kwanini yeye asikuhonge wewe?
kama jogoo anahonga mjusi na yeye anakula mchanga.
Wewe unajikuta nani usihonge?
 
Ujinga siwez kufanya ni kuwekeza hata kidogo ...Uwezeke ili uende wapi?
 
Acha kujenga njiani (duniani) tunapita ohh.!! 😹😹😹
Kuna mtu natamani kumtaja ila siwezi kumfanyia promo bila malipo.. 🀣
Umeongea pwenti tupu ujue!!
Tufanye twenzetu hilo chimbo la wine za Paris.Maisha mafupi haya
 
Shayiri sijaiona kwenye list??πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…