Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Alifanya vibaya katika sera za uchumi,lakini kujenga taifa lenye umoja na mshikamano licha ya kuwa na makabila mengi ni mafanikio ya utawala wake.hv nyerere na yeye alikuwa na mafanikio gani kwa muda wote aliokaa madarakani? afadhali hata tyrant lee aliyeitoa singapore jalalani
Kama sera zilifeli na kiongozi umefeli, kwan hzo sera zilirhushwa kutoka juu kusikojulikana?Mkuu hapa hatujadili kufeli au kufaulu kwa sera fulani bali sifa za kiongozi.Na kuweka kumbukumbu Sawa nisha andika tayali kila kiongozi ana pande mbili hasi na chanya.
makabila yenye ukubwa gani ambayo yalikuwa threat kwa kabila jingine, mkuu tanzania hakuna makabila kuna vikabila, ambavyo hata isingekuwa nyerere visingeweza kujidhuru, vikabila zaidi ya 120 vinaanzaje kugombana venyewe kwa venyewe? kumbe na ww matangopori ya nyerere uliyafakamia eh?Alifanya vibaya katika sera za uchumi,lakini kujenga taifa lenye umoja na mshikamano licha ya kuwa na makabila mengi ni mafanikio ya utawala wake.
Hata Nyumbani tu ukiwa mpole sana you are finished !Kile ulichokibeba usipokisimamia kwa hali zote, lazima uferi,
Kiongozi kuwa mkali, ni mojawapo ya sifa ya kwanza na bora kabisa kati ya sifa zote
Uongozi wowote duniani una mafanikio na failures,hivyo hata kipindi cha Mwl.Nyerere Kuna vitu alifeliKama sera zilifeli na kiongozi umefeli, kwan hzo sera zilirhushwa kutoka juu kusikojulikana?
Mkuu hakuna Cha matangopori,hata kama makabila ni madogo lakini kuyaunganisha ilihitajika juhudi hivyo apewa pongezi zake yule mzee.Rwanda ni nchi ndogo sana yenye watu wachache lakini kulitokea mauaji ya kutisha ya kimbari 1994.makabila yenye ukubwa gani ambayo yalikuwa threat kwa kabila jingine, mkuu tanzania hakuna makabila kuna vikabila, ambavyo hata isingekuwa nyerere visingeweza kujidhuru, vikabila zaidi ya 120 vinaanzaje kugombana venyewe kwa venyewe? kumbe na ww matangopori ya nyerere uliyafakamia eh?
mkuu kuna kitu unachanganya, rwanda kuna makabila mawili tu makubwa, na ndo maana walionyeshana misuli, japo historia ni ndefu mpaka wakafika hapo ulipopasema.Mkuu hakuna Cha matangopori,hata kama makabila ni madogo lakini kuyaunganisha ilihitajika juhudi hivyo apewa pongezi zake yule mzee.Rwanda ni nchi ndogo sana yenye watu wachache lakini kulitokea mauaji ya kutisha ya kimbari 1994.
Tuseme mkuu katika uongozi wa Mwalimu Nyerere hakuna alilo fanikiwa?
Mkuu ulitaka mapatanisho ambayo tayali watu washa anza kutoana damu ?mkuu kuna kitu unachanganya, rwanda kuna makabila mawili tu makubwa, na ndo maana walionyeshana misuli, japo historia ni ndefu mpaka wakafika hapo ulipopasema.
na je kulikuwa na dalili au vita vya kikabila ambavyo nyerere alifanya juhudi za kumaliza na kuwaunganisha waliokuwa wanagombana?
unampaje mtu sifa ya kuunganisha watu ambao hawakuwa wametengana?
kwan nyerere alifanya mapatanisho, mkuu acha kumpa mtu sifa ambazo hazimsahili, watanzania hawajawai kutengana na nyerere hajawai kuwaunganisha watanzania.Mkuu ulitaka mapatanisho ambayo tayali watu washa anza kutoana damu ?
If Lee was a tyrant then he was a BENEVOLENT one!!! African countries need BENEVOLENT tyrants in order to bring development to their peoples! Kagame asingekuwa hivyo alivyo nchi ile isingefika pale walipo!usiseme kiongozi sema mtawala, hakuna kiongozi aliyekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 mkuu, lee was a tyrant.
Kuwa mchina haimpi sababu ya kutokupinga mambo fulani yanayo tendwa na watu wa jamii yake.VISINGIZIO VISINGIZIO, kwanza lee mwenyewe alikuwa mchina.
mkuu unataka tuanze kumjadili PAKA MWIZIIf Lee was a tyrant then he was a BENEVOLENT one!!! African countries need BENEVOLENT tyrants in order to bring development to their peoples! Kagame asingekuwa hivyo alivyo nchi ile isingefika pale walipo!
Nyie wabongo kaeni na mama Abdul wenu anayewachekea wezi na kwenda kutia sign mikataba ambayo haijui wala kuelewa long term implication yake kuwa vizazi vijavyo!!
Fanya hivyo kama unaona itasaidia maendeleo ya nchi yako!mkuu unataka tuanze kumjadili PAKA MWIZI
sijajua hata umesimamia lipi tu, mara alipingana, mara walikubaliana.Kuwa mchina haimpi sababu ya kutokupinga mambo fulani yanayo tendwa na watu wa jamii yake.
Mbona mpaka sasa hapo hapo China kuna unfinished civil war kati ya wakomunisti wa China bara na wachina wa Taiwan na wote wanapingana licha ya kuwa wote ni watu wa jamii moja.
Jambo jema ni kuwa Lee na wakomunisti wa China walimaliza tofauti zao na kuanza kushirikiana kwenye mambo mazuri na kuacha chokochoko zisizo na maana ambazo lee hakuzitaka.
Hapana mkuu sina muda wa kumjadili KIBAKA.Fanya hivyo kama unaona itasaidia maendeleo ya nchi yako!
Nachosema ni kuwa Lee alipinga chokochoko za wakomunisti wa China kuleta Singapore.sijajua hata umesimamia lipi tu, mara alipingana, mara walikubaliana.
Afrika watawala wetu wanatumikiwa na serikali na siyo kutumikia serikaliUkiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali.
Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s).
Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.
Huwa unajisikiliza ukiwa unaongea?Nachosema ni kuwa Lee alipinga chokochoko za wakomunisti wa China kuleta Singapore.
Ila mwisho wa siku walimaliza tofauti zao
Wewe huwa unajisikiliza ?Huwa unajisikiliza ukiwa unaongea?
shida nyingine hii sasa.Wewe huwa unajisikiliza ?