Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri Mkuu wa zamani wa Singapore

hv nyerere na yeye alikuwa na mafanikio gani kwa muda wote aliokaa madarakani? afadhali hata tyrant lee aliyeitoa singapore jalalani
Alifanya vibaya katika sera za uchumi,lakini kujenga taifa lenye umoja na mshikamano licha ya kuwa na makabila mengi ni mafanikio ya utawala wake.
 
Mkuu hapa hatujadili kufeli au kufaulu kwa sera fulani bali sifa za kiongozi.Na kuweka kumbukumbu Sawa nisha andika tayali kila kiongozi ana pande mbili hasi na chanya.
Kama sera zilifeli na kiongozi umefeli, kwan hzo sera zilirhushwa kutoka juu kusikojulikana?
 
Alifanya vibaya katika sera za uchumi,lakini kujenga taifa lenye umoja na mshikamano licha ya kuwa na makabila mengi ni mafanikio ya utawala wake.
makabila yenye ukubwa gani ambayo yalikuwa threat kwa kabila jingine, mkuu tanzania hakuna makabila kuna vikabila, ambavyo hata isingekuwa nyerere visingeweza kujidhuru, vikabila zaidi ya 120 vinaanzaje kugombana venyewe kwa venyewe? kumbe na ww matangopori ya nyerere uliyafakamia eh?
 
Kama sera zilifeli na kiongozi umefeli, kwan hzo sera zilirhushwa kutoka juu kusikojulikana?
Uongozi wowote duniani una mafanikio na failures,hivyo hata kipindi cha Mwl.Nyerere Kuna vitu alifeli

NB:simtetei Mwl.Nyerere juu ya kufeli kwa sera ya ujamaa na kujitegemea.
 
makabila yenye ukubwa gani ambayo yalikuwa threat kwa kabila jingine, mkuu tanzania hakuna makabila kuna vikabila, ambavyo hata isingekuwa nyerere visingeweza kujidhuru, vikabila zaidi ya 120 vinaanzaje kugombana venyewe kwa venyewe? kumbe na ww matangopori ya nyerere uliyafakamia eh?
Mkuu hakuna Cha matangopori,hata kama makabila ni madogo lakini kuyaunganisha ilihitajika juhudi hivyo apewa pongezi zake yule mzee.Rwanda ni nchi ndogo sana yenye watu wachache lakini kulitokea mauaji ya kutisha ya kimbari 1994.

Tuseme mkuu katika uongozi wa Mwalimu Nyerere hakuna alilo fanikiwa?
 
mkuu kuna kitu unachanganya, rwanda kuna makabila mawili tu makubwa, na ndo maana walionyeshana misuli, japo historia ni ndefu mpaka wakafika hapo ulipopasema.

na je kulikuwa na dalili au vita vya kikabila ambavyo nyerere alifanya juhudi za kumaliza na kuwaunganisha waliokuwa wanagombana?

unampaje mtu sifa ya kuunganisha watu ambao hawakuwa wametengana?
 
Mkuu ulitaka mapatanisho ambayo tayali watu washa anza kutoana damu ?
 
usiseme kiongozi sema mtawala, hakuna kiongozi aliyekaa madarakani kwa zaidi ya miaka 30 mkuu, lee was a tyrant.
If Lee was a tyrant then he was a BENEVOLENT one!!! African countries need BENEVOLENT tyrants in order to bring development to their peoples! Kagame asingekuwa hivyo alivyo nchi ile isingefika pale walipo!
Nyie wabongo kaeni na mama Abdul wenu anayewachekea wezi na kwenda kutia sign mikataba ambayo haijui wala kuelewa long term implication yake kwa vizazi vijavyo!!
 
VISINGIZIO VISINGIZIO, kwanza lee mwenyewe alikuwa mchina.
Kuwa mchina haimpi sababu ya kutokupinga mambo fulani yanayo tendwa na watu wa jamii yake.

Mbona mpaka sasa hapo hapo China kuna unfinished civil war kati ya wakomunisti wa China bara na wachina wa Taiwan na wote wanapingana licha ya kuwa wote ni watu wa jamii moja.

Jambo jema ni kuwa Lee na wakomunisti wa China walimaliza tofauti zao na kuanza kushirikiana kwenye mambo mazuri na kuacha chokochoko zisizo na maana ambazo lee hakuzitaka.
 
If Lee was a tyrant then he was a BENEVOLENT one!!! African countries need BENEVOLENT tyrants in order to bring development to their peoples! Kagame asingekuwa hivyo alivyo nchi ile isingefika pale walipo!
Nyie wabongo kaeni na mama Abdul wenu anayewachekea wezi na kwenda kutia sign mikataba ambayo haijui wala kuelewa long term implication yake kuwa vizazi vijavyo!!
mkuu unataka tuanze kumjadili PAKA MWIZI
 
Kuwa mchina haimpi sababu ya kutokupinga mambo fulani yanayo tendwa na watu wa jamii yake.

Mbona mpaka sasa hapo hapo China kuna unfinished civil war kati ya wakomunisti wa China bara na wachina wa Taiwan na wote wanapingana licha ya kuwa wote ni watu wa jamii moja.

Jambo jema ni kuwa Lee na wakomunisti wa China walimaliza tofauti zao na kuanza kushirikiana kwenye mambo mazuri na kuacha chokochoko zisizo na maana ambazo lee hakuzitaka.
sijajua hata umesimamia lipi tu, mara alipingana, mara walikubaliana.
 
Nachosema ni kuwa Lee alipinga chokochoko za wakomunisti wa China kuleta Singapore.

Ila mwisho wa siku walimaliza tofauti zao
 
Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali.

Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s).

Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.

Afrika watawala wetu wanatumikiwa na serikali na siyo kutumikia serikali
 
Back
Top Bottom