Ukiwa mtumishi wa umma hakikisha kila wiki unatengeneza fedha sawa na mshahara wako wa mwezi mmoja

Kila mualimu akianza kuuza ubuyu na maandanzi wako waalimu 20 kwenye shule nani atanunua? Tena ukweli ni kwamba watoto wengi hawaji na pesa za kula katika shule za ummah wengi hutoka kaya masikini kupewa 500 ya barafu ni kipengera nyumbani
Hiyo hiyo mia Tano , hakikisha mia 2 inakuwa yako.
Dar es salaam darasa Moja lina wanafunzi 100 kwa wastani .
Ukipata mia 2 kutoka kwa wanafunzi 50 una elfu 10.
 
Hiyo inawezekanaje🤔
 
Na sio saa nane, ni saa tisa ndo tunatoka kazini, mpaka kufika nyumban around saa tisa hivi.!
Fanyeni kunichangia mawazo na fedha Mwalimu wa watoto wenu niishi jamani.!
Huo ni umasikini hamna mawazo zaidi ya kuacha huo utumwa uje Dar es salaam tuanze maisha ya kujitegemea, unajua kwamba mpiga debe pale Mbezi magufuri kwa siku hakosi 30k kwa 50k kwa mwezi ni 900k kwa 1 5m kwasbb kila abilia anae pata kwenye basi za mikoani gaji ni 5k kwasiku hawezi kukosa abilia 10 kwa 20.
 
Humo wengi slow learners, wameingizwa kwa kubebwabebwa huo muda wa kufikiria ujasiriamali wanatoa wapi labda waibe.
 
Mapito haswa.
Hapo inabidi upate mke mvumilivu, vinginevyo ataliwa mpaka na muuza nyama sokoni
Utapata tu mke mwenye shida zaidi na za kwako hamna mwana mke mzuri mwenye wazazi wanao juelewa anaruhusu mwanae aolewe na mualimu mwenye mshahara wa 370,000 kwa mwezi manaake hamwezi kuvaa nguo mpya viatu vipya au kuenda holiday nyumbani ni ugali mboga za majani au maharage, nani avumilie hizo shida.......labda uwe singo maza wa wstoto zaidi ya moja ila sio pisi kali.
 
Pale Magufuli kuna masalange na agents

Salange ni wale wanaotafuta abiria nje wengi wanalipwa buku tu kwa kichwa anapompelekea abiria agent

Naye agent ikitegemea na route na makubaliano na meneja au mkurugenzi wa mabasi anakuwa analipwa kwa seat. Mfano akilipwa 5000 kwa kichwa anatoa buku la salange anabakia na 4000
 
Hii ndo shida ya Africa watu badala wafocus kwenye kazinzao, wao wanawaza biashara..kutakuwa na ufanisi kazini kweli? Mgongano wa maslahi pia hauepukiki, mtu anayesimamia sheria unakuta naye ana vimeo vyake mtaani.
 
Sasa si unaona mualimu akitumia ujuzi wake aje awe agent pale atapata pesa nzuri sana yeye hawezi kua nasalange kwasbb ana ekimu ugent atapewa tu kuliko kuangaika huko na pesa isio eleweka......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…