hapo bado hajakopa benki halaf mipango haikwenda sawa na salary slip isome 200,000 bado kuna madeni ya vikoba...Kwamfano mualimu grade A mwenye mshahara wa 370,000 mwenye familia ya watoto wawili na mke anae hitajika kazini kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8 jioni afanye ujasiliamali gani
Mada inahusi watumishi wa umma Ila walimu ndowamekuwa subjectedTukuitie mtu anaitwa MPWAYUNGU.. atakuchangia unachokitaka... kwa hali na mali.
๐๐๐๐Mada inahusi watumishi wa umma Ila walimu ndowamekuwa subjected
๐๐๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฎ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐ข?Mada inahusi watumishi wa umma Ila walimu ndowamekuwa subjected
Iam home my homie๐๐๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฎ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐ฃ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐ข?
AhahahahUtapata tu mke mwenye shida zaidi na za kwako hamna mwana mke mzuri mwenye wazazi wanao juelewa anaruhusu mwanae aolewe na mualimu mwenye mshahara wa 370,000 kwa mwezi manaake hamwezi kuvaa nguo mpya viatu vipya au kuenda holiday nyumbani ni ugali mboga za majani au maharage, nani avumilie hizo shida.......labda uwe singo maza wa wstoto zaidi ya moja ila sio pisi kali.
Nimependa ushauri wako mdau, ubarikiwe sana sana.Huu ni ushauri tu kwa watumishi.
Kutokana na kupigwa na vitu vizito kichwani kama vile Sheria mpya za kikokotoo, na danadana za ongezeko la mshahara pamoja na serikali kushindwa kukopesha watumishi wake bila riba au kwa riba isiyozidi 5% napenda kuwashauri watumishi wa umma wahakikishe chini juu kila wiki wafunge na hesabu ya mshahara wa mwezi mmoja.
Kama unalipwa laki 8 basi kwa mwezi makusanyo yako nje ya mshahara yagote 3.2 ml.
Kama mshahara wako laki 6 basi ikimbize milioni 2.4.
Kama mshahara wako ni milioni 1 basi ikimbize milioni 4 ndani ya mwezi.
Hii itakusaidia kujipanga na maisha baada ya kustaafu.
Hii itakusaidia pia kuishi kwa furaha wewe na familia yako kama wanavyoishi wanasiasa.
Utaipata wapi hiyo Mimi hainihusu.
Hakikisha tu unaingiza 400% ya mshahara wako kila mwezi.
Kuna Mzee mmoja kastaafu mwaka mwezi Machi.
Anazimia hovyo hovyo, sukari imepanda , pressure imepanda. Kikokotoo kimemkokotoa. Kama angekuwa makini kwenye biashara za ujasiriamali asingefikia huko.
Fanyeni ujasiriamali watumishi ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ.
Eehh pambana upate maokoto Ili usiwe zoba mbele ya boss wako.Nimependa ushauri wako mdau, ubarikiwe sana sana.