Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Kweli kabisa mkuu wala si uwongo maana kuna wakat unaonjeshwa radha ya matendo yako kupitia kizazi chako
 
Kuna wanaume wengi ninaowafahamu walioviwembe pengine zaidi yako wewe watoto wao wa kwanza ni wa kiume
Mkuu kwani mimi nimejitangaza humu ni kiwembe?
ebu Ntunzie kwanza kaheshima kangu...
Nilichonacho si mali ya umma,hakijatolewa waqfu hahahaha
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nimeshakula nyuchi za kutosha lakini juzi nimepata fast born fast born dume.Honestly nilikuwa sipendi kupata mtoto wa kike
 
nimehesabu watu naowajua hadi ndugu zangu kweli nimekuta wale malaya wote firstborn wao wa kike.
Dah.....Bado hatujapata maelezo Malaya ni mtu wa aina gani......Au awe amewagonga wangapi lakini...[emoji87]
 
Kama kuna ukweli vile nilikuwa najitathmini maana mtoto wangu wa kwaza wa kike wapili wakike nisipoacha kuwa vua chupi naweza nisipate wa kiume kwa style hii.
 
Mimi mbona nilikuwa nimetulia lkn chalii yangu WA kwanza ni binti.
???
 
Kama kuna ukweli vile nilikuwa najitathmini maana mtoto wangu wa kwaza wa kike wapili wakike nisipoacha kuwa vua chupi naweza nisipate wa kiume kwa style hii.
hahahahaha umeona eeee ukajikuta unaendelea kulipa tu deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…