Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Any way nampenda kinoma...kana miaka miwili nimeanza kukafundisha ngumi na utata...mtaan watoto wenzake wakimuona tu wanakimbia maana wanajua kichapo na kung'atwa kuko nje nje...
Tatizo mkuu kale kamchezo hakaitaji mabavu utakuta anavua mwenyewe ndo nachoogopa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tatizo mkuu kale kamchezo hakaitaji mabavu utakuta anavua mwenyewe ndo nachoogopa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu akifikisha 18 usiumize kichwa ....mbaya ni kuanza akiwa mdogo. ..Tena akiwa 18 mpigishe story na kumwambia awe makini na akizidiwa kondom zipo ...so wazaz wengi wanajidanganya na kuona aibu eti wakiashumu watoto wao hawafanyi....ongeeni na wanenu na muwaambie u kweli ,Dunia imesha vaa kaptula
 
Hii Ni kweli.
uwezekano wa kupata watoto wa kike unakua mkubwa sana kuliko wa kiume.

Na wanaume wengi viwembe wamekua wakiambulia watoto wa kike.

Pia wanaongoza kwa kukataa watoto wao.

Hii inaitwa The Law of Karma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uliwahi kumuuliza babu yako mzaa mama swali hili?
 
hahahah kweli kabisaaa
 
Kuna wanaume wengi ninaowafahamu walioviwembe pengine zaidi yako wewe watoto wao wa kwanza ni wa kiume
Mara nyingi watoto wanakuwa magasho yaani Mungu lazima akupe uchungu tu.
 
Ni kweli watoto wangu wote ni wa kike kwa mama tofauti tofauti.
Kila mtoto na mama yake....
Sasa hyo avatar yako mbona kama unatuvutia midume wakati wewe n mwanaume

Ila angalia hata akina kaoge walianza kwa kujifananisha mwishowe wakabutuliwa kweli
 
Akili za mtoto WA kike ni kutoka Kwa baba and vice-versa.
 
Obama atakuwa Malaya sana basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…