Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
- #81
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MWULIZE DIAMOND AU ZARI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MWULIZE DIAMOND AU ZARI.
Any way nampenda kinoma...kana miaka miwili nimeanza kukafundisha ngumi na utata...mtaan watoto wenzake wakimuona tu wanakimbia maana wanajua kichapo na kung'atwa kuko nje nje...hahaha mie sijui mkuu
Mkuu hiyo kauli ya kulipa deni inaumiza kumoyohahahahaha umeona eeee ukajikuta unaendelea kulipa tu deni
Tatizo mkuu kale kamchezo hakaitaji mabavu utakuta anavua mwenyewe ndo nachoogopa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Any way nampenda kinoma...kana miaka miwili nimeanza kukafundisha ngumi na utata...mtaan watoto wenzake wakimuona tu wanakimbia maana wanajua kichapo na kung'atwa kuko nje nje...
pole mkuu ndo ukweli ulivyo huwa unatabia yakuchoma choma hata mie kananiuma hako kakauli najikaza tu hahahahaMkuu hiyo kauli ya kulipa deni inaumiza kumoyo
Mkuu akifikisha 18 usiumize kichwa ....mbaya ni kuanza akiwa mdogo. ..Tena akiwa 18 mpigishe story na kumwambia awe makini na akizidiwa kondom zipo ...so wazaz wengi wanajidanganya na kuona aibu eti wakiashumu watoto wao hawafanyi....ongeeni na wanenu na muwaambie u kweli ,Dunia imesha vaa kaptulaTatizo mkuu kale kamchezo hakaitaji mabavu utakuta anavua mwenyewe ndo nachoogopa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
kulipa deni hakujawai kumuacha mtu salamaKulipa deni utalipa tu hata kwa wakiume
Hii Ni kweli.Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
Uliwahi kumuuliza babu yako mzaa mama swali hili?Ebu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
hahahah kweli kabisaaaHii Ni kweli.
uwezekano wa kupata watoto wa kike unakua mkubwa sana kuliko wa kiume.
Na wanaume wengi viwembe wamekua wakiambulia watoto wa kike.
Pia wanaongoza kwa kukataa watoto wao.
Hii inaitwa The Law of Karma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nyingi watoto wanakuwa magasho yaani Mungu lazima akupe uchungu tu.Kuna wanaume wengi ninaowafahamu walioviwembe pengine zaidi yako wewe watoto wao wa kwanza ni wa kiume
Ngoja nianze kuzingatia hii mambo mtaani hapa kuhusu hizi habariinawezekana bt mbona ukiangalia wengi malaya wanawatoto wa kike alafu visu hatar[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa hyo avatar yako mbona kama unatuvutia midume wakati wewe n mwanaumeNi kweli watoto wangu wote ni wa kike kwa mama tofauti tofauti.
Kila mtoto na mama yake....
Obama atakuwa Malaya sana basiEbu tusaidiane juu ya hili maana sijui lina ukweli eidha ni imani potofu tu ya watu walojijengea..
Imekuwa ikivuma sana na wakat mwingine pia kujitokeza katika jamii yetu...ukiwa Mwanaume malaya sana basi lazima mwanao wa kwanza awe wakike..
Wapo wanaosema kuwa unalipa deni...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Naombeni wajuzi wa haya mambo waje wanipe msaada ni kweli hili jambo au ni maneno tu
kama ni kweli nimekwishaAkili za mtoto WA kike ni kutoka Kwa baba and vice-versa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngoja nianze kuzingatia hii mambo mtaani hapa kuhusu hizi habari
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Akili za mtoto WA kike ni kutoka Kwa baba and vice-versa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ukiwa malaya wa kike unapata firstborn wa kiume sio? nianze kukitembeza mie