Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Ukiwa Mwanaume Malaya sana Lazima uzae Mtoto wa kwanza wa Kike ni kweli jamani?

Nimekushtukia utakuwa umetumwa na Hamisa mobeto...Ila kama kuna ka ukweli flani hivi!maana mpaka sasa nimeshawapata 7.
Hahaha mie situmiki mkuu na sojiruhusu kutumika zaidi ya kujitumia mwenyewe
 
f33892e0e2825369cac094884ba2cc90.jpg
uongo tu
 
nimehesabu watu naowajua hadi ndugu zangu kweli nimekuta wale malaya wote firstborn wao wa kike.
yaan hata mie nimechunguza sana hii kitu ndomana nikaileta huku nikahisi labda nimie tu ndo naona hivi
 
ukiwa malaya wa kike unapata firstborn wa kiume sio? nianze kukitembeza mie
Malaya wa kike hawataki mtoto wa kike huwa wanapenda wakiume aje alipe kisasi yupo dada mmoja ameuza sana papuchi akaja kuzaa mtoto wa kiume basi anampenda hatar na anakwambia anataka mwanae aje awachape sana watoto wa kike
 
Sio kweli bwana, Mimi nimefagia sana Mechi hizo, Ila mpaka sasa nina midume mitatu sina hata mmoja wa kike,
 
Ni kweli watoto wangu wote ni wa kike kwa mama tofauti tofauti.
Kila mtoto na mama yake....
 
Inaweza ikawa kweli maana mimi na marafiki zangu enzi za ujana wetu tukitomba sana watoto wa watu na wote saa hivi first born wetu ni wa kike hapa naomba Mungu nimpate wa kiume ili nimrithishe mikoba tu
 
Back
Top Bottom