Pamoja na kujifanya una akili nyingi sana.😁😁😁😁😁Mke nimeshaoa na kuzaa watoto watatu. Ukiandika kuhusu magonjwa haimaanishi unaumwa wewe.
Ninge shangaa wakili wa kuji tegemea, ukose kutoa hoja zako.Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Eti mta Kesha🤣😆Jadda the boss , wewe huwa ni mtata sana, hatuta fika mwisho na jua , wewe ni kiranga wa kike🙌🙌
Mkuu hakuna mahali nimejiongelea mimi kuwa nina akili sana, mimi nimewaongelea baadhi ya wanawake wenye akili nyingi, unaposema suala la kuoa au kuolewa hujipangii unamaanisha nini mkuuUmeandika vizuri ila pamoja na hayo pamoja na kusoma na kufikiri kuwa unakili sana ila umeshindwa kujua kuwa
"SUALA LA KUOA au KUOLEWA HAUJIPANGII WEWE"
Huo ndiyo ukweli
😁😁Eti mta Kesha🤣😆
Hahaha we jamaa ni smart sana,Tanzania tuna kundi kubwa sana la wajinga.
Kuthibitisha hilo Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuamini ushirikina Africa. Imagine karne ya 21 modern era ila tunaamini ushirikina. Huu ni ushahidi wa wazi kwamba ni Ngumu sana kupata mke ama mume Tanzania ambaye haamini ushirikina.
Pili imani za dini na kupenda miujiza zimetuteka sana. Manabii wamejaa kila sehemu wanaombea watu. Manabii wanaponesha viwete na wagonjwa wa kansa na ukimwi.. cha kushangaza hao manabii huwezi waona wameenda hospitali muhimbili ama ocean road kuponesha wagonjwa wanaoteseka kwa hayo magonjwa waliojaa hospitali.
Wengine hata hawaendi nigeria wanaoata uchawi humu humu tu,sio kila nabii wa uongo lazima aende nigeria,uache kukaririKwa hiyo Tanzania tunaizidi Nigeria?
Hao manabii wafanya miujiza wanapokwenda Nigeria huwa wanaenda kufuata hela au kupata nguvu zaidi za kuendesha miujiza yao?
Naona una uelewa mdogo sana kuhusu uchawi bwashee.
Aah shkamoo faza,kataa ndoa tumekwishaMie nina mke mmoja na watoto 5 + wajukuu 4.
Pima mwenyewe kama tupo sawa [emoji23]
Mhh laiti ungejua ...usingeongea hayaFools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
Ni tanzania pekee mwanamke anataka kuhudumiwa mahitaji km mke katika uchumba huku yeye akiamkia na kulala kwao 🥺🤢😁😁 women are InsaneHili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Inakera demu mnadate hata wiki haijaisha anataka aje kwako apajueAsante kwa kunielewa.
Mwanamke ukiwa una akili. Unafikiria vizuri na Unapambanua mambo kwa kutumia akili. Mume humpati kiurahisi.
Maana wanaokutongoza unawasoma tu walivyo magarasa unawablock fasta
Na kwa mwanaume nae akiwa na akili anapambanua mambo mke hampati kwa urahisi.
Wajinga ndio wamejaa Tanzania
Dooh bado unaongelea treatment tu mkuu, ni vitu gani hivyo wanawake wanataka na hawavistahili, make this make sense bruh
MkuuHili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Hayajakukuta, bora ukae kimyaIf you fail to plan you plan to fail.Unashindwaje changamoto ya kuishi na mtu kwenye ndoa?Unashindwa na nini?Commitment,uaminifu,kuwa mwanaume,uchumi au nini zaidi?Kama ndoa tu inakushinda unawezaje kufanya kazi,kupangilia maisha yako ukiwa mwenyewe?Kwa sababu huna qualities hizo za kuweza kuishi kistaarabu. Ukiona huwezi kuoa basi wacha visingizio vya kulaumu wengine ni wewe ndio huna uwezo wa kuoa.
Kwa hiyo yakikukuta ndio unakimbia tatizo?Maisha sio raha tu na kuna karaha.Hayajakukuta, bora ukae kimya