Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

If you fail to plan you plan to fail.Unashindwaje changamoto ya kuishi na mtu kwenye ndoa?Unashindwa na nini?Commitment,uaminifu,kuwa mwanaume,uchumi au nini zaidi?Kama ndoa tu inakushinda unawezaje kufanya kazi,kupangilia maisha yako ukiwa mwenyewe?Kwa sababu huna qualities hizo za kuweza kuishi kistaarabu. Ukiona huwezi kuoa basi wacha visingizio vya kulaumu wengine ni wewe ndio huna uwezo wa kuoa.
 
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Ninge shangaa wakili wa kuji tegemea, ukose kutoa hoja zako.
 
Umeandika vizuri ila pamoja na hayo pamoja na kusoma na kufikiri kuwa unakili sana ila umeshindwa kujua kuwa
"SUALA LA KUOA au KUOLEWA HAUJIPANGII WEWE"
Huo ndiyo ukweli
Mkuu hakuna mahali nimejiongelea mimi kuwa nina akili sana, mimi nimewaongelea baadhi ya wanawake wenye akili nyingi, unaposema suala la kuoa au kuolewa hujipangii unamaanisha nini mkuu
 
Tanzania tuna kundi kubwa sana la wajinga.

Kuthibitisha hilo Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuamini ushirikina Africa. Imagine karne ya 21 modern era ila tunaamini ushirikina. Huu ni ushahidi wa wazi kwamba ni Ngumu sana kupata mke ama mume Tanzania ambaye haamini ushirikina.

Pili imani za dini na kupenda miujiza zimetuteka sana. Manabii wamejaa kila sehemu wanaombea watu. Manabii wanaponesha viwete na wagonjwa wa kansa na ukimwi.. cha kushangaza hao manabii huwezi waona wameenda hospitali muhimbili ama ocean road kuponesha wagonjwa wanaoteseka kwa hayo magonjwa waliojaa hospitali.
Hahaha we jamaa ni smart sana,
 
Kwa hiyo Tanzania tunaizidi Nigeria?
Hao manabii wafanya miujiza wanapokwenda Nigeria huwa wanaenda kufuata hela au kupata nguvu zaidi za kuendesha miujiza yao?

Naona una uelewa mdogo sana kuhusu uchawi bwashee.
Wengine hata hawaendi nigeria wanaoata uchawi humu humu tu,sio kila nabii wa uongo lazima aende nigeria,uache kukariri
 
Fools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
Mhh laiti ungejua ...usingeongea haya

Ebu siku jaribu kudivert txt za mkeo ndio utajua

Naamini ni suala la muda tu kuna siku tutaongea lugha moja

Ndoa ni kama dini tu hazina uhusiano wowote na uaminifu

By the way nikiwa naingia advance miaka hiyo
Nakumbuka kwenye kitabu cha Economic kuna mstari mwanzo tu uliandikwa hivi
"HUMAN BEING ARE NOT BEING SATISFIED"

Hii sentensi ni ndogo sana ila inamaana kubwa sana narudia saaanaa!!!
 
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Ni tanzania pekee mwanamke anataka kuhudumiwa mahitaji km mke katika uchumba huku yeye akiamkia na kulala kwao 🥺🤢😁😁 women are Insane

Unataka haki za mke katika uchumba wakati hakuna duty unayoifanya🤣
 
Asante kwa kunielewa.

Mwanamke ukiwa una akili. Unafikiria vizuri na Unapambanua mambo kwa kutumia akili. Mume humpati kiurahisi.
Maana wanaokutongoza unawasoma tu walivyo magarasa unawablock fasta

Na kwa mwanaume nae akiwa na akili anapambanua mambo mke hampati kwa urahisi.

Wajinga ndio wamejaa Tanzania
Inakera demu mnadate hata wiki haijaisha anataka aje kwako apajue

Hapa mm ndio naonekanaga mbaya yaani unaona kabisa hii kibra kabisa niyavaa

Ili akija ajitune vipi namna ya kumanipulate behavior zake
 
Dooh bado unaongelea treatment tu mkuu, ni vitu gani hivyo wanawake wanataka na hawavistahili, make this make sense bruh
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Mkuu
Sio kweli
Wanawake wenye akili kubwa nirahisi sana kupata mume
 
If you fail to plan you plan to fail.Unashindwaje changamoto ya kuishi na mtu kwenye ndoa?Unashindwa na nini?Commitment,uaminifu,kuwa mwanaume,uchumi au nini zaidi?Kama ndoa tu inakushinda unawezaje kufanya kazi,kupangilia maisha yako ukiwa mwenyewe?Kwa sababu huna qualities hizo za kuweza kuishi kistaarabu. Ukiona huwezi kuoa basi wacha visingizio vya kulaumu wengine ni wewe ndio huna uwezo wa kuoa.
Hayajakukuta, bora ukae kimya
 
Back
Top Bottom