Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Fools wengi tunaona wamejazana kwenye ndoa wanalia lia kila siku na kukatana shingo .

Unakingine cha kusema mkuu[emoji101]
Wakiwemo na wazazi wako waliokuzaa ama hujazaliwa kwa ndoa mkuu mtu alipiga nyeto.
Ndoa ama Ni asili huwezi ipinga ,mwanamke ana provide sex and children if they're needed,wewe unataka ukawinde naye porini ulete kitoweo nyumbani. Unataka uende naye vitani mkapigane wote na adui ama unamaanishaje labda.
Let us be fools bana. Wazazi wangu na ndugu zangu wote Wana ndoa na sie tukioa mtu anakuwa ndugu yetu kabisa hata Kama ukiachana naye bado ataishi katika Koo yako na anajulikana Ni mkeo hata ukioa mwingine.
Ke ana Koo mbili Kama hujui. Swala mwenyewe anatembea na majike 30 kazi yake kuyatafutia malisho na kugonga Basi Hana kazi nyingine.
Kuna wanaume huwa wanatamani laiti wangezaliwa ke labda na wewe Ni among of them. King Solomon alioa wake around 1000 plus naye alikuwa mjinga nadhani
 
Ukute huo ushirikina ndo Mungu wako, unaamin kisa iliandikwa una uthibitisho upi wa kuita ni ushirikina na ile ya kizungu ni Mungu wa hii dunia ?
 
[emoji1666][emoji123]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] jamaa alikuwa sahihi kusema kataa ndoa wote ni fools, kama hii judgement yako ndo inayokufanya ukayae kuoa.

Kuna kitu umekiongea hapo juu nilijua unajua, kumbe ni maneno au either una dharau wanawake.
 
🙄 upo sawa mkuu , ila mimi nili maanisha ndoa ya kisheria, na sio kuishi na mwanamke ,, yani ndoa ndani ya sheria zinazoegemea upande mmoja .

Hiyo ya kutamani kuzaliwa wa kike ni wewe umesema sio mimi mkuu.
 
Kwamba kuishi na mwanamke ndo kipimo cha kuwa na akili???? Who are they by the way??????

Rubbish thinking !!!!
As long as utaishi miaka mingi humu Duniani, utaelewa tu, wala haihitaji vita wala kutumia inflammatory words.
 
It's better to let someone think you are an Idiot than to open your mouth and prove it.🙃

Kwahiyo kuishi na mwanamke ndiyo kipimo cha kuwa na akili???

Therefore nisiandike mengi kukujibu maana umeandika ujinga mtupu.!!!!!
 
As long as utaishi miaka mingi humu Duniani, utaelewa tu, wala haihitaji vita wala kutumia inflammatory words.
Kukosa hoja ndo kunakufanya kuongea haya.!!!! ety sijui after blah blah blah nitaelewa.????

Nimekuuliza kitu kidogo tu, kwamba kuishi na mwanamke ndiyo kipimo cha kuwa na akili,, jibu lilitakiwa kuwa NDIYO au HAPANA, na tungeendelea na mjadala.
 
Kukosa hoja ndo kunakufanya kuongea haya.!!!! ety sijui after blah blah blah nitaelewa.????

Nimekuuliza kitu kidogo tu, kwamba kuishi na mwanamke ndiyo kipimo cha kuwa na akili,, jibu lilitakiwa kuwa NDIYO au HAPANA, na tungeendelea na mjadala.


Pambana huko ignore list. Itakufaa!
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-19-14-15-52-75.jpg
    84.7 KB · Views: 3
Nakubaliana na wewe. Nampata yule najua labda ni muda wangu. Mwezi mmoja tu nagundua ni garasa. Mwaka jana nimewapa muda wa3 lakini nilichokikuta ni ujinga-ujinga tu. Bahati mbaya nimeshachoka kukaa peke yangu, hata sijui nafanyaje
I'm in the same situation comrade, mpaka kuna muda nasema labda i will die single. kuliko kuishi na mtu bogas, ni bora uishi mwenyewe tu, sisi wengine ni bora kumvumilia mchawi kuliko kuishi na mtu dumb, bogas.
 
Such a Great Thinker, i salute you Comrade, hat off.
 
Ndiyo mana huwezi kuolewa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…