Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Wakiwemo na wazazi wako waliokuzaa ama hujazaliwa kwa ndoa mkuu mtu alipiga nyeto.Fools wengi tunaona wamejazana kwenye ndoa wanalia lia kila siku na kukatana shingo .
Unakingine cha kusema mkuu[emoji101]
Ndoa ama Ni asili huwezi ipinga ,mwanamke ana provide sex and children if they're needed,wewe unataka ukawinde naye porini ulete kitoweo nyumbani. Unataka uende naye vitani mkapigane wote na adui ama unamaanishaje labda.
Let us be fools bana. Wazazi wangu na ndugu zangu wote Wana ndoa na sie tukioa mtu anakuwa ndugu yetu kabisa hata Kama ukiachana naye bado ataishi katika Koo yako na anajulikana Ni mkeo hata ukioa mwingine.
Ke ana Koo mbili Kama hujui. Swala mwenyewe anatembea na majike 30 kazi yake kuyatafutia malisho na kugonga Basi Hana kazi nyingine.
Kuna wanaume huwa wanatamani laiti wangezaliwa ke labda na wewe Ni among of them. King Solomon alioa wake around 1000 plus naye alikuwa mjinga nadhani