Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Kandaa ndoa maana yake umekubali kuwa Sh@ga
 
Jezebel spirit detected.

Be a man brother
Huo ndio ukweli!
Wanaokataa ndoa wote asilimia kubwa wanakuwa mash*ga.

Mwanaume wa kweli utakataa vipi ndoa?
Kama hutaki kuoa basi jiandae kuolewa
 
Huo ndio ukweli!
Wanaokataa ndoa wote asilimia kubwa wanakuwa mash*ga.

Mwanaume wa kweli utakataa vipi ndoa?
Kama hutaki kuoa basi jiandae kuolewa

Sasa mtani.
Wewe ni mtani wangu kabisa kikwetu maganga ni mawe.

Mrani umetoa madai ambayo ni kama unachuki binafsi tu.
Hebu jaribu kuelezea vizuri.

Wakataa ndoa tuna mademu zetu pia ambao ni wakataa ndoa.

Pia wapo wakataa ndoa wanaotembea na wake zenu.
 
Ndiyo. Mfumo dume. Alpha male...na mengineyo.

Lakini ukiangalia kwa upande mwingine, hata kwa sisi wanaume kuna tatizo kubwa na wengi hatujijui wala kujitambua hasa hiki kizazi cha sasa hiki. Hakijui hasa majukumu yake kwa mke na familia ni yapi.

Mimi nilitaka kuchelewa sana na mwanzoni nilikuwa naamini kuwa tatizo ni wanawake niliokuwa nikiwapata ndiyo walikuwa pasua vichwa, vilaza na wasiofaa. Mpaka nilipompata binti wa watu aliyejitolea kwa nafsi, elimu na roho kunionyesha kuwa pengine tatizo lilikuwa kwangu. It wasn't easy lakini binti wa watu hakukata tamaa mpaka ikafika mahali vitu vika-click nikaona kuwa kwa jinsi nilivyokuwa kabla nisingeweza kumfanya mwanamke (hasa anayejitambua) kuwa na furaha haijalishi kama ningeweza kumpa mambo ya msingi (malazi, mavazi, makazi, usafiri na vitu vingine). Ilibidi nibadilike na naweza kusema kwamba angalau sasa naweza kuishi na mtoto wa watu na akafurahi, akawa na amani na kuwa mke mwema! Yes! Mke mwema anategemea na aina ya mwanaume aliyenaye!

Pengine nitaitwa simp lakini wanaume wengi tu wako damaged hasa psychologically na emotionally; na hawana uwezo wa kuishi na mwanamke kwa furaha na mahusiano mema hata kama wangekuwa na ukwasi wa kutisha na elimu ya kiwango cha Ph.D.

Kwa rafiki yangu uliyepoteza muda wako wa thamani sana kunifundisha haya yasiyofundishika ko kote mpaka sasa nimekuwa mwanaume mwenye furaha na bora sana katika mahusiano, sina cha kukulipa isipokuwa tu kusema ASANTE SANA! I wish ungekuwa member hapa JF ili uje usome hapa ila haijalishi! 🙏🏿

.....and yes. You can come home anytime the goings get tough. Nimeiacha taa yako ikiwaka moyoni mwangu ili giza likizidi huko uliko iweze kukuongoza kurudi nyumbani kwako ambako unapendwa na kuheshimiwa sana! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🖐🖐
 
Kama hutojali !
Unaweza ukaniambia
What are things that realy keep a woman happy!?

Kama utaweza pia kuniambia vitu vyenye vina mkeep man happy!

Ukatusaidia mkuu maana tupo ambao hatujui tunataka nin!!!
Mkuu kwanza kabisa ushawahi kusikia huu msemo kwamba "mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kuwa na wanawake wengi ila mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kujiweka mbali na wanaume", hiyo statement tu inaonesha kwamba wanaume kwa asilimia kubwa furaha yenu inategemea wanawake yani mafanikio yoyote mnayoyapata mnawaza kwanza kutumia na wanawake halafu ndio wafuate watu wengine, wakati kwa wanawake ni tofauti wao wanaweza kutafuta furaha yao kwa watu wengine kama watoto na vitu vingine kama pesa au wewe angalia familia nyingi kati ya mume na mke anayejali sana kwao ni nani

Ndio maana kwenye ndoa mwanamke akizingua mwanaume anavurugwa kabisa akili na inakuwa ni ngumu kumsamehe na kumvumilia huyo mkewe badala yake ataenda kutafuta mchepuko ambaye naye pia ni mwanamke, yote hiyo ni sababu wanaume huwa mnategemea wanawake ndio wawape furaha lakini mwanaume akizingua mwanamke ni rahisi kumvumilia na kumsamehe mumewe, na ataishi naye hivyo hivyo tu sababu anaamini furaha yake ataipata kupitia watu wengine hasa watoto wake au kwenye vitu vingine kama kazi au biashara yake

So hapo ukiangalia hali halisi kihisia na kisaikolojia wanaume ndio wanaihitaji ndoa kuliko wanawake mara nyingi wanaume ndio wanapenda kupetiwa na kubembelezwa na wanawake zao kwa zile kauli kama "pole na uchovu mpenzi" sijui "karibu chakula mume wangu" and the likes, na wanaume wengi huwa wanachepuka kabisa kwa kukosa romantic gestures kama hizo ilihali wanawake hawajali wala hawazitegemei hizo kauli, yani kitu pekee kinachofanya wanawake waendelee kuwa desperate na ndoa ni kutokana na mitazamo ya jamii na ugumu wa maisha tu

Kama kweli furaha ya wanawake ingekuwa ni kuwaplease wanaume kama mnavyosema mbona siku hizi malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye ndoa na wengi wanaolalamika ni wanaume, yani tulishazoea tangu zamani wanawake ndio waliokuwa wanalalamika lakini dunia ya leo ni kama wanawake wamepunguza kulalamika wameanza kujibu mapigo kimya kimya, na matokeo yake wanaume sasa ndio imekuwa zamu yenu kulalamika lakini bado mnakomaa na mnajitutumua kwamba eti hamzihitaji ndoa eti mnalalamika ili kuwasaidia tu wanawake

Kwanza hakuna mwanaume ambaye anafanya au anaongelea kitu kuhusu mahusiano kwa maslahi ya mwanamke, ukiona mwanaume analalamikia jambo ujue linamuumiza yeye mwenyewe hivyo haya malalamiko yenu ndio yamedhihirisha kwamba mnahitaji sana ndoa kuliko wanawake, ila tu miaka yote wanaume kupitia mfumo dume mmekuwa mkitumia self serving reverse psychology trick kufanya wanawake waone kama ndoa ni muhimu zaidi kwao ili wafanye vile mnavyotaka
 

Nimeona nisiendelee kusoma zaidi nicomment then nitarud kupitua mstari kwa mstar.

Nimeishia hapo uliposema mwanaume furaha yake ipo kwa wanawake .
Pole sana.
Wacha nikusaidie uwenda ukajua wanaume tunataka nin!

Naanza.
Priority of a masculine core is mission , purpose and direction in life.

Kitovu cha furaha ya mwanaume ni kwenye purpose in life . Yaani niseme kuwa na kitu anachokipambania kwenye maisha na sio sex or love.

Nakuthibitishia hakuna mwanaume anaejitambua ambae atajuwa happy pasipokuwa na michongo inayomuingizia pesa.

Nandio maana happy single brothers wengi tunakusanya vibunda life linasonga confortable yaani easy.

Wanaume tunavalue respect kuliko love.
Love mean shit to a man.

Upande wapili love is everything to a women.

Ngoja nikaendelee kusoma sis!
 

Kingine chakuongezea.
Men will always love multiple women.
Usisikilize maneno ya wanafiki
Men will always be attracted to multiple women.

Sasa hapo tunatofautiana na kuzidiana akili what to do kutokuharibu ndoa.

Kusema pesa ikiongezeka demand inaongezeka niseme freedom.

Moja nguzo za masculinity is freedom
All the fight is about freedom
Kuhustle kwa mwanaume is about freedom

Now days na nyinyi mnataka freedom kitu ambacho naturaly sio feminine at the end of the day mambo yanakuwa si shwari.
 

Umesema wanaume tunahitaji ndoa kuliko wanawake.

Kumbuka mke ni msaidizi tu!
Mume ndio kila kitu kwenye ndoa.

Niliposema musculine core ni purpose in life
Nilimaanisha pia
Mwanaume anapenda responsibilities kulea watoto, kuprovide kila kitu kwa mke wake na kuhakisha empire yaani ngome yake ambayo yeye ndio CEO anahudumia na kuiendesha bila kusaidiwa na yeyote.

Men love responsibilitiea While women they dont.
 

Malalamiko yamekuwa mengi sikuhizi kwenye ndoa sababu wanawake wanataka kuwa wanaume.

Na wameshatake over.

Do women hate men who understand they value?

Do women pick men with zero or no relationship experience so they would emasculate em!?

Kwenye historia ya dunia i dont remember when a woman loved a man unconditionally.!.
 
Maslahi gani tena unayoyazungumzia mkuu
Lets go slow
Napenda kujua maslahi unayoyazungumzia.
Jaribu siku moja ukipata nafasi zungumza na mwanaume aliyekuwa divorced au ambae yupo kwenye process na pilika za divorce utajifunza
World system's
Hajawahi kukutana nae hata mmoja hawezi kujua kinachoendelea ni nini
Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu
 
Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu
Furaha ipi? Fungua maelezo vizuri furaha gani na kwanini Mwanamke tu sio Mwanaume?
 

I got siblings.
Najua unajiuliza huwa ninawaambia nin dada zangu.

I aint got no kids.
But i'm a God father to some of girls.


I constantly shit on em when they do some stupid shit.
 
Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu

Hivi mpaka watu wazima wawili wakaamua kuanzisha familia.
Unataka useme
Kiboksi cha furaha hakijatiki bado.

Let's be real
Kuwahuru sisi ongelea tu kuhusu pesa za mirathi mimi sina noma.
Ongelea tu vipi kuhusu mali atapata kama hakutakuwa na cheti.
 
Masikini yani wanaume wa siku hizi mlichobakiza ni kujifariji tu kuwa wanawake waliokosa ndoa wanaumia, bado hamtaki kukubali kwamba wanawake wengi wameshaanza kuachana na desperation ya ndoa and they are trying to find happiness out of it sababu wanaume wengi hamna mema mnayowafanyia zaidi ya umalaya na ubabe tu, uzuri kuna watu humu nafahamiana nao nje ya jf wananijua vizuri kabisa nahisi wakisoma hii comment yako watajua kati ya mimi na wewe ni nani wa kuonewa huruma
 
Inategemea unataka mke kwa kigezo kipi kila mmoja na interest yake
Wapo wanaohitaji kwa ajili ya ngono,mpishi, business partner,mlinzi wa nyumba,watoto,mapenzi,msaidizi,wa kumtunza uzeeni,nk
Angalia kinachokustahili
 
I got siblings.
Najua unajiuliza huwa ninawaambia nin dada zangu.

I aint got no kids.
But i'm a God father to some of girls.


I constantly shit on em when they do some stupid shit.
Mkuu kwanza kabisa, naomba jitahidi kureply points zako zote katika comment moja kama ninavyofanya mimi, kwa sababu nisingependa kujibu comment moja moja ambazo zinaongelea kitu kimoja

Kama kweli wanaume mnawaza kutafuta pesa tu, mbona mkishazipata hizo pesa huwa mnawaza kutembea na wanawake na kuwahonga, yani huwezi amini wanaume wengi wanahustle ili tu waje kumiliki wanawake either kwa kuoa au kwa kudate tu

Yani unakuta wanaume wanahonga nyumba na magari na pesa nyingi, (ambavyo wamevihangaikia kwa muda mrefu) kisa sex tu, wakati wanawake wakitafuta pesa ni kwa ajili yao wenyewe na watoto au ndugu na jamaa zao tu

Hapo uliposema wanaume wanapenda majukumu ila wanawake hawapendi, unamaanisha majukumu gani kwa sababu kwenye jamii kuna mgawanyo wa majukumu, ambapo mwanaume jukumu lake ni kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto

Wakati mwanamke jukumu lake ni kufanya kazi za nyumbani na kulea mume na watoto, wanaume wanapenda kutimiza majukumu yao sababu wanategemea watapata kitu in return, ambacho ni kuheshimiwa na kufanyiwa kazi za nyumbani sasa je wanawake wakifanya majukumu yenu wanapata nini in return

Okay umesema malalamiko yamekuwa mengi sababu wanawake wanataka kuwa wanaume unaweza ukafafanua ni kivipi na ni kwanini wanawake wanataka kuwa wanaume, i thought ulisema furaha ya wanawake wote duniani ni to please, follow and submit to men sasa mbona kwenye hizo ndoa wanaume wanalalamika ina maana wanawake hawafanyi hayo au

Mkuu kiuhalisia wanaume wengi huwa hamna uchungu wala ukaribu na watoto ndio maana pia malalamiko yamekuwa mengi toka kwa wababa kuwa uzeeni watoto huwa wanawatelekeza na kujawali mama zao, huwa mnasingizia kwamba mama zao wanawalisha sumu ila ukweli ni kwamba tatizo liko kwenu, kwa kushindwa kutengeneza ile bond na watoto tangu wakiwa wadogo kwa kisingizio kwamba mnakuwa busy kuwatafutia pesa
 
Inategemea unataka mke kwa kigezo kipi kila mmoja na interest yake
Wapo wanaohitaji kwa ajili ya ngono,mpishi, business partner,mlinzi wa nyumba,watoto,mapenzi,msaidizi,wa kumtunza uzeeni,nk
Angalia kinachokustahili
Sasa cha ajabu kuna wanaume wanataka wavipate vyote hivi kwa mwanamke mmoja tu, na ndio haya malalamiko yote ya kataa ndoa yalipoanzia, men don't want to embrace women's flaws instead they want them to be perfect always
 
tz ndio nchi ambayo mwenye akili ndogo anajiona ana akili kubwa mleta mada umetema pumba tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…