Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Itakua unazungukwa na wajinga wajinga ndio maana mimi niko na pisi zangu tatu zote akili kubwa na kwa kua mimi ni akili kubwa zaidi zote nimeziweka ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yako kijana, wewe na Mahondaw hammalizi huu mwaka, mtaachana, by the way habari ya umeme hapo mtaani kwako
Mkuu unaishi sayari gani hiyo ambayo hujawahi kuona wala kusikia kuwa kuna wanaume hawataki wanawake magolikipa na tegemezi wanataka wanawake ambao watawasaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia, okay sasa kama wanaume mnataka wamama wa nyumbani mbona hamtaki kuoa na sababu kubwa mnayotoa ni kwamba hamtaki kuhudumia wanawake na hamtaki mgawane nao mali zenu mnataka wajitafutie zao, sasa mwanamke akishakuwa mama wa nyumbani anajitafutiaje pesa zake na anaachaje kuwa tegemezi kwa mume wake
Ofcourse wanawake wananyanyaswa sana ila sijui kwanini wanaume huwa hamlioni hili ninyi kila siku mnajifanya innocent na mnaplay victims wa wanawake wakati hakuna jinsia inayoongoza kunyanyasa jinsia nyingine kama wanaume, yani imagine mume anamnyanyasa mkewe eti kisa tu anamhudumia wakati hilo ni jukumu lake so hii inaonesha kwamba hilo jukumu la kuhudumia wanawake wanaume mnalifanya kishingo upande, na mnafanya kama hisani tu ndio maana mnalitumia kama fimbo ya kuwachapia wake zenu ninyi mkikosea ni sawa ila wao wakikosea ni either mnawapiga au kuwaacha
Halafu ujinga ni pale mwanaume anapojifanya real man (kwa mujibu wako) halafu anatukana wanawake yani wewe ukishajijua ni bad boy au fvck boy basi you do not have the right to go around insulting women, lazima mkubali kwamba huo umalaya mnaofanya mnaufanya kwa sababu ya wanawake ambao nao wamekubali kuwa malaya maana laiti wanawake wote wangeamua kujitunza msingepata pa kufanyia huo umalaya wenu unaowafanya mjiite playboys, sasa shida ya wanaume wengi mnataka kuwa playboys halafu hapo hapo mnalalamika kwamba jamii inaharibika kisa wanawake sasa mnataka decent women watoke wapi kwenye jamii iliyojaa wanaume wahuni
Alaa yamekuwa hayo..looks like hutaki jibu la swali lako. Uwe na siku njema mkuuThis mwambie akujibu sounds like a command, as if she must answer me, which is not true.
Thanks anyway, for bringing her on the stage.
Na kwako pia mkuu Khantwe.Alaa yamekuwa hayo..looks like hutaki jibu la swali lako. Uwe na siku njema mkuu
Hatukuachi mkuu, na wewe inabidi uoe.Nyie oeni me Niacheni..
So I am a nice guy!Umekosea!
Mara nyingi bad boys and fu*k boys huwa wanadeal na good women.
Ma nice guy ndio huwa wanadeal na malaya.
Kwasababu hawawezi kutofautisha.
Zingatia
1. real recognize real.
2. Laws of attraction
3.newtons 3rd law
Nakuthibitishia hili
Hii ni battle kati ya strong and weak
Who are the strongest?
Namaanisha anaweza akawa nice guy ila strong / under cover bad boy.
Technically nina interact na real men always
Mara nyingi stupid nice guys hawanielewagi na mimi siyo mnafiki kujifanya nina bond na watu nisiyowakubali never.
kwaiyo hao majamaa wanaotaka kuoa wanawake wapambanaji sijawahi kuwasikia sela zao!!.
Na ndio hawa wanajaza nyuzi humu kuomba ushauri mambo hayaendi!.
Decades zote hizi nilizoishi sijawahi kushuhudia matukio hayo ya unyanyasaji wa wanawake.
Hivi naanze kumyanyasa mwanamke.
Thus why mambo yakichange kwakuwa hakuna ndoa ana move on namimi ninafanya mambo mengi yanin kutesana.
Namimi naomba unisaidie jambo
Sijawahi kuielewa concept ya ndoa
Hebu tafadhar tuijadili maana kwangu haimake sense hataaa!
a
Note.
Usijifanye huelewi ndoa zipi ninazozizungumzia. Acha na zile za kwenye bible hizi kama za kina abdala makabila
Kwanini Nioe???Hatukuachi mkuu, na wewe inabidi uoe.
Akili wote wanazo, litakapokuja swala la kuchukua hatua sasa kwa yule aliyepekua simu ya mume wake hapo tunangalia busara zao zipoje?Neno akili kutumika bila definition wala muktadha inakuwa vigumu sana kufanya mazungumzo yenye tija.
Akili ni nini?
Kati ya upande mmoja mwanamke anayeamua kuacha kuangalia simu ya mume wake, licha ya kuweza kuangalia, kwa sababu anajua atakutana na madudu gani humo, na yeye kipaumbele chake ni kukaa kwa amani kwenye ndoa, na upande mwingine mwanamke anayepekua simu ya mumewe, na kukutana na madudu ya kuvunja ndoa, na akaishia kuvunja ndoa, kwa sababu yeye hataki ndoa ya mume ku cheat, hapo nani ana akili?
Wanawake hao wawili wamefanya mambo tofauti kabisa.
Kati yao, under ceteris paribus, Standard Temperature and Pressure, all other things being equal, nani ana akili?
Wewe unaweza bishana na redio, na ukashinda ubishi looh 🙌🏾 JaddaMimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu
Ili upate mke.Kwanini Nioe???
Atanisaidia nini??Ili upate mke.
Atakusaidia kazi, mawazo, kufanya mapenzi na kulea watoto.Atanisaidia nini??
Mkuu trust me sina mke,Nina mdada wa KAZI mwaka wa nne sasa ananisadia KAZI..wa kufanya nao mapenzi wapo kuna b*ches,fvck buds,flings and so...watoto tushakubaliana kua wapo overrated,hawana maajabau zaidi ya kupiga kelele tu...Atakusaidia kazi, mawazo, kufanya mapenzi na kulea watoto.
Hahahaaa, watoto wanapiga makelele tu!Mkuu trust me sina mke,Nina mdada wa KAZI mwaka wa nne sasa ananisadia KAZI..wa kufanya nao mapenzi wapo kuna b*ches,fvck buds,flings and so...watoto tushakubaliana kua wapo overrated,hawana maajabau zaidi ya kupiga kelele tu...
Ndio nipo Tanzania..kuhusu watoto sijapanga pia nipo makini hakuna girl aliwahi kusema I miss my days hahaHahahaaa, watoto wanapiga makelele tu!
Kwa hiyo huna mpango wa kupata mtoto hata mmoja?
Unaishi Tanzania?