Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Imagine candace owens is your wife!!!

Hahaha

Hebu vutapicha jamaa anae deal na Oprah Winfrey !!+
Mkuu i thought ulisema wanawake wote wanafanana, sasa ni kipi kinachofanya mshindwe kuoa wanawake design ya Oprah Winfrey ila muweze kuoa wanawake design ya Mary wa Tabata, ikiwa mwanamke mwenye range na mwenye ist wote wako sawa mbele ya mwanaume
 
Ndio nipo Tanzania..kuhusu watoto sijapanga pia nipo makini hakuna girl aliwahi kusema I miss my days haha

Safe sex is great sex, better wear a latex(Condom), cause you don't want that late text, that 'I think I'm late' text.

Lil Wayne
Hongera sana, endelea hivyo hivyo.
 
A bit tricky! I think of this According to the needs of the individual and all criteria that consider the dignity of any human being, be it a man or a woman."

Being a Christian, i can not ignore 1Corinthian's 13:4-8.
What about those corinthians? What do they say?
 
A bit tricky! I think of this According to the needs of the individual and all criteria that consider the dignity of any human being, be it a man or a woman."

Being a Christian, i can not ignore 1Corinthian's 13:4-8.

A bit tricky! I think of this According to the needs of the individual and all criteria that consider the dignity of any human being, be it a man or a woman."

Being a Christian, i can not ignore 1Corinthian's 13:4-8.
Wakatin

Wakati nipo secondary school niiba kitabu cha Mzee kinaitwa Your Bible and You..kuna Chapter inaitwa Marriage Can Be Happy,nakumbuka quote zote mstari kwa mstari...unadhani Ndoa ya Mzee ina Furaha??hell no...the man who wrote Corinthians (Paul the apostle) hakua muumin wa ndoa na he died single....Mimi ni nani nioe
 
Kuoa/kuolewa si kwa kila mtu and its fine….

Nina tatizo na watu kulazimishana mitazamo humu, waliooa wanalazimisha wenzao waoe, ambae hawataki kuoa wanahubiria wenzao wasioe…. Why? Can’t we co exist bila kufanana?

To each their own is my motto!

Halafu inawezekanaje kila ndoa ikawa na furaha? Kitu gani ambacho kina furaha muda wote na kinafurahisha muda wote? Kwamba ambao hawajaoa wana furaha muda wote? 😅
 
Back
Top Bottom