Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Tanzania tuna kundi kubwa sana la wajinga.

Kuthibitisha hilo Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuamini ushirikina Africa. Imagine karne ya 21 modern era ila tunaamini ushirikina. Huu ni ushahidi wa wazi kwamba ni Ngumu sana kupata mke ama mume Tanzania ambaye haamini ushirikina.

Pili imani za dini na kupenda miujiza zimetuteka sana. Manabii wamejaa kila sehemu wanaombea watu. Manabii wanaponesha viwete na wagonjwa wa kansa na ukimwi.. cha kushangaza hao manabii huwezi waona wameenda hospitali muhimbili ama ocean road kuponesha wagonjwa wanaoteseka kwa hayo magonjwa waliojaa hospitali.
Tatizo ni kwa wanaume wa sasa kutekwa na vyombo vya habari, media na wanasiasa waliomtukuza mwanamke na kumpa daraja sawa na mwanaume. Ukiamini hivyo ujue umepotea na utalaumu wanawake wote.
Mwanasiasa anahitaji kura toka kwa wanawake. Vyombo vya habari vimenunuliwa na wanasiasa.

Mwanamke ni yule yule tu kama alivyoelezwa katika vitabu vya asili. Kusoma au kutokusoma hakumtoi mwanamke katika asili yake. Hivyo hata ukioa mwanamke mwenye PhD, ndani ya nyumba sahau PhD yake na kumbuka vitabu vya asili vilivyomuelezea madhaifu yake. Utashinda!
 
Uzuri wa Mwanamke(Mke) awe mjinga mjinga kidogo ,ila hawa tulio nao hawana sifa hizo,..Mwanamke alie kwenda shule ngumu kumtawala kila kitu kitakua 50/50 wakati kiasili(Kusudi la Uumbaji) Mwanamke alikuja Kama Msaidizi tu kwa mwanaume..hivi wanawake kubeba Zege,kutembeza Matunda ni dalili kua Wanaume tumefeli kutimiza majukumu yetu..

Elimu ya Mwanamke inatakiwa iwe kidato cha Nne tu au Cheti,humu kuna dada anaitwa binti kiziwi ,kuna nyuzi nilikua nabishana nae,jinsi anavyo uliza maswali,jinsi anavyo jibu na kujenga hoja ni mtu Smart and makini Sana ..Sasa Mwanamke kama huyu wa nini??hawezi kua wife material akupigie pasi apike na watoto duble duble haha ...

Hawa maadui zetu tusiwape elimu wala nafasi,mbeleni itakua ngumu kuwatawala kama Babu zetu...

KATAAA NDOA KIDS ARE OVERRATED...

Imagine candace owens is your wife!!!

Hahaha

Hebu vutapicha jamaa anae deal na Oprah Winfrey !!+
 
Imagine candace owens is your wife!!!

Hahaha

Hebu vutapicha jamaa anae deal na Oprah Winfrey !!+
Hatari mkuu,kuna dada mwarabu anaitwa hunna Adnan huyo kashindikana,ila wataelewa taratibu namnukuu

"working class woman not to change her name on marriage', whereas implicit in her remark is the acknowledgement that now working class women do have a choice"
 
Duuh!
Aisee !

Nikipata nafasi nitakwenda kufuatilia vituko vyake
 
Nani amekuambia tafsiri ya kuwa na pesa ni kuwa na akili nyingi.mtu kana Nikola Tesla alikuwa na akili nyingi alikuwa na pesa.
Kuwa na pesa ni game of chance haina uhusiano wowote na akili.
 
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Hamna Mwanamke mwenye akili kubwa hapa Duniani,acha uongo!..wanawake wote akili zao zinafanana.
 
Umekosea!
Mara nyingi bad boys and fu*k boys huwa wanadeal na good women.

Ma nice guy ndio huwa wanadeal na malaya.
Kwasababu hawawezi kutofautisha.

Zingatia
1. real recognize real.

2. Laws of attraction

3.newtons 3rd law

Nakuthibitishia hili

Hii ni battle kati ya strong and weak

Who are the strongest?

Namaanisha anaweza akawa nice guy ila strong / under cover bad boy.

Technically nina interact na real men always
Mara nyingi stupid nice guys hawanielewagi na mimi siyo mnafiki kujifanya nina bond na watu nisiyowakubali never.
kwaiyo hao majamaa wanaotaka kuoa wanawake wapambanaji sijawahi kuwasikia sela zao!!.
Na ndio hawa wanajaza nyuzi humu kuomba ushauri mambo hayaendi!.

Decades zote hizi nilizoishi sijawahi kushuhudia matukio hayo ya unyanyasaji wa wanawake.

Hivi naanze kumyanyasa mwanamke.
Thus why mambo yakichange kwakuwa hakuna ndoa ana move on namimi ninafanya mambo mengi yanin kutesana.

Namimi naomba unisaidie jambo

Sijawahi kuielewa concept ya ndoa
Hebu tafadhar tuijadili maana kwangu haimake sense hataaa!
a
Note.
Usijifanye huelewi ndoa zipi ninazozizungumzia. Acha na zile za kwenye bible hizi kama za kina abdala makabila
Hebu ngoja kwanza.

Bad boys == strong men
Nice guys == weak men

Wanaotukanana na wanawake hao sio bad boys.
Sijui kundi gani hao viumbe.
Tuwaite fake bad boys
Nice guys wanaowaimitate bad boys

Wale wanao wahanisi wanaume wezao wakiwafumania na wake zao alafu wanaendelea kuishi na hao wanawake.

Wale wanaopigana kisa wanawake
Wengine wanajinyoga.

Wengine wame mu accept mwanaune mwingine kama bwana na mwokozi wa maisha yao.

Kwenye majumba ya ibada ndipo wanakotengenzwa huko.
Mkuu hao bad boys au fvck boys huwa wanadeal na good women kwa lengo la kuwachezea na kuwaharibu tu, unasahau kwamba hata hao malaya they were once good women kabla hawajachezewa na kuharibiwa na wanaume wanaojiita play boys, nijibu hili swali kwanini uwe malaya halafu bado utake wanawake decent

Hujawahi kusikia hii kauli ya kwamba mwanaume hata awe muhuni vipi lakini bado atataka mwanamke mwenye tabia njema, na ndio hao sasa baada ya kuwachezea wanawake wanarudi kuwatukana kuwa wanawake wa sasa hivi hawajitunzi ni malaya, sasa huoni kama ni upunguani wa akili mkuu

Yani wanawake uwachezee mwenyewe halafu utake decent women unategemea watatoka wapi, na unategemea hao wanawake uliowachezea wataolewa na kina nani tena mfano mzuri ni wewe mwenyewe, hii mada hadi tumefika hapa ni sababu ulikuwa unawasema wanawake malaya wakati na wewe pia ni malaya

Wapo wanawake wengi wanaonyanyaswa ila kwa sababu the world has always been masculine, miaka yote malalamiko ya wanawake kwenye ndoa yamekuwa suppressed hakuna aliyewasikiliza, labda karne hii kidogo ndio wameanza kusikilizwa na ndio maana wanaume mnalalamika sana kwamba mmesahaulika

Okay umesema wewe unaamini kwamba mwanamke hatakiwi kupambana anatakiwa kuwa mama wa nyumbani unaweza ukanipa sababu kwanini hutaki kuoa, maana wanaume wengi wasiotaka kuoa sababu yao ni kwamba hawataki kuhudumia wanawake wanataka nao wajitafutie pesa zao, ningependa wewe unipe sababu yako kwanini hutaki kuoa unataka tu kuchezea wanawake
 
Hamna Mwanamke mwenye akili kubwa hapa Duniani,acha uongo!..wanawake wote akili zao zinafanana.
Yeyote anaweza kusema lolote tu ila si lazima liwe na uhalisia, ungefafanua umetumia misingi gani kusema kwamba wanawake wote akili zao zinafanana, kwahiyo wanawake nao wakisema wanaume wote akili zao zinafanana kwa sababu wote wameumbwa na tamaa nao watakuwa wako sahihi si ndio
 
Uzuri wa Mwanamke(Mke) awe mjinga mjinga kidogo ,ila hawa tulio nao hawana sifa hizo,..Mwanamke alie kwenda shule ngumu kumtawala kila kitu kitakua 50/50 wakati kiasili(Kusudi la Uumbaji) Mwanamke alikuja Kama Msaidizi tu kwa mwanaume..hivi wanawake kubeba Zege,kutembeza Matunda ni dalili kua Wanaume tumefeli kutimiza majukumu yetu..

Elimu ya Mwanamke inatakiwa iwe kidato cha Nne tu au Cheti,humu kuna dada anaitwa binti kiziwi ,kuna nyuzi nilikua nabishana nae,jinsi anavyo uliza maswali,jinsi anavyo jibu na kujenga hoja ni mtu Smart and makini Sana ..Sasa Mwanamke kama huyu wa nini??hawezi kua wife material akupigie pasi apike na watoto duble duble haha ...

Hawa maadui zetu tusiwape elimu wala nafasi,mbeleni itakua ngumu kuwatawala kama Babu zetu...

KATAAA NDOA KIDS ARE OVERRATED...
Hhhah mkuu Habari yako, umenisagia kunguni kinoma 🤣🤣🤣🤣 Ila mambo ya JF sikumbuki hakika mimi na wewe tuliargue wapi, Kwahiyo katika hali ya kawaida ningeshapoteza potential husband, if ningekuwa natafuta 🥹🥹

Kwa kunguni ulionisambazia hapa nikiachwa nakuja kubanana kwako, shemeji anaijua ID yangu ya JF unataka anifikirieje?

Mi mwenzio sina akili hata, bonge moja la kilaza, ni vile tu kuna vitu vichache tu navitambua. Hata hivyo najifunza art ya kucompromise especially ukiwa na ME kama wangu, The sukuma guy woiiii! Do i have an option? 😂 Sina!!
 
Mkuu hao bad boys au fvck boys huwa wanadeal na good women kwa lengo la kuwachezea na kuwaharibu tu, unasahau kwamba hata hao malaya they were once good women kabla hawajachezewa na kuharibiwa na wanaume wanaojiita play boys, sasa nijibu hili swali kwanini uwe malaya halafu bado utake wanawake decent

Hujawahi kusikia hii kauli ya kwamba mwanaume hata awe muhuni vipi lakini bado atataka mwanamke mwenye tabia njema, na ndio hao sasa baada ya kuwachezea wanawake wanarudi kuwatukana kuwa wanawake wa sasa hivi hawajitunzi ni malaya, sasa huoni kama ni upunguani wa akili mkuu

Yani wanawake uwachezee mwenyewe halafu utake decent women unategemea watatoka wapi, na unategemea hao wanawake uliowachezea wataolewa na kina nani tena mfano mzuri ni wewe mwenyewe, hii mada hadi tumefika hapa ni kwa sababu ulikuwa unawasema wanawake malaya wakati hapo hapo na wewe ni malaya

Wapo wanawake wengi wanaonyanyaswa ila kwa sababu the world has always been masculine, miaka yote malalamiko ya wanawake kwenye ndoa yamekuwa suppressed hakuna aliyewasikiliza, labda karne hii kidogo ndio wameanza kusikilizwa na ndio maana wanaume mnalalamika sana kwamba mmesahaulika

Okay umesema wewe unaamini kwamba mwanamke hatakiwi kupambana anatakiwa kuwa mama wa nyumbani unaweza ukanipa sababu kwanini hutaki kuoa, maana wanaume wengi wasiotaka kuoa sababu yao ni kwamba hawataki kuhudumia wanawake wanataka nao wajitafutie pesa zao, ningependa wewe unipe sababu yako kwanini hutaki kuoa unataka tu kuchezea wanawake

Naona una pretend kama vile wanawake hawatakagi sex vile.

Sikumbuki kama kunasiku kuna ambaye nimedill nae akalalamika nimechezea never.

Hayo madai yakusema wanawake wanachezewa ni kujivictimize wakati kwenye dating game mnanguvu sana kuliko wanaume.

Do you know that ? Kwenye dating game wanawake mnanguvu sana
Na mara zote mmekuwa mkiwachezea ma nice guys.

Kinachofuata huwa mnakuja kwa bad guys arafu mna expect bad boys tuwatreat kama nice guys na ndipo vilio na malalamiko vinaanzia hapo.

Mfano!
Hebu tia neno kwenye situation ya single maza mwenye watoto wa 3 kila mmoja na baba yake.
Je !
Is she a victim or a clown?

Kuhusu umalaya
Sijui nikwambie nini
Ila
Kitaalamu inaitwa an act of exercising options.

To the first place i let you know you are replacable and you should be proud of sharing me with other women
This is how we do it.

Guess what is going to happen
Since women love competetion
She will submit to me
She will give me the respect that I truly value the most.

King david and his son solo thang. Taught us that.

Na ndio maana mwanaume huwa haitwi malaya.

NaThibitisha
watoto huwa hawanaga noma baba yao akiwa anagawa dozi kwa wanawake huko nje mtaani.
Ila kwa mama inakuwaga ni bonge moja la psycholigical effect na nikilema ambacho mtoto wakiume anakuwanacho akigundua mama yake anatafunwa na wahuni mtaani wakati baba yake yupo.

Muulize mama yako je!
Nisahihi kumuacha mume kisa anasaliti nje ya ndoa?

Its human nature

You cant compete with a man

We are men
We are created to fu*k around .
 
Hhhah mkuu Habari yako, umenisagia kunguni kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mambo ya JF sikumbuki hakika mimi na wewe tuliargue wapi, Kwahiyo katika hali ya kawaida ningeshapoteza potential husband, if ningekuwa natafuta 🥹🥹

Kwa kunguni ulionisambazia hapa nikiachwa nakuja kubanana kwako, shemeji anaijua ID yangu ya JF unataka anifikirieje?

Mi mwenzio sina akili hata, bonge moja la kilaza, ni vile tu kuna vitu vichache tu navitambua. Hata hivyo najifunza art ya kucompromise especially ukiwa na ME kama wangu, The sukuma guy woiiii! Do i have an option? [emoji23] Sina!!
[emoji16][emoji16]
 
Hhhah mkuu Habari yako, umenisagia kunguni kinoma 🤣🤣🤣🤣 Ila mambo ya JF sikumbuki hakika mimi na wewe tuliargue wapi, Kwahiyo katika hali ya kawaida ningeshapoteza potential husband, if ningekuwa natafuta 🥹🥹

Kwa kunguni ulionisambazia hapa nikiachwa nakuja kubanana kwako, shemeji anaijua ID yangu ya JF unataka anifikirieje?

Mi mwenzio sina akili hata, bonge moja la kilaza, ni vile tu kuna vitu vichache tu navitambua. Hata hivyo najifunza art ya kucompromise especially ukiwa na ME kama wangu, The sukuma guy woiiii! Do i have an option? 😂 Sina!!
Ilikua kitambo zaidi ya two years then nikalog out naingia kama Guest..

Back to the topic,what kind of girl/lady/chick are you???sio mtani wangu msukuma "anasukumwa sukumwa"(pun Intended)
 
FB_IMG_17085219303007856.jpg
 
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
nakupendaga sana hujui tu
 
Naona una pretend kama vile wanawake hawatakagi sex vile.

Sikumbuki kama kunasiku kuna ambaye nimedill nae akalalamika nimechezea never.

Hayo madai yakusema wanawake wanachezewa ni kujivictimize wakati kwenye dating game mnanguvu sana kuliko wanaume.

Do you know that ? Kwenye dating game wanawake mnanguvu sana
Na mara zote mmekuwa mkiwachezea ma nice guys.

Kinachofuata huwa mnakuja kwa bad guys arafu mna expect bad boys tuwatreat kama nice guys na ndipo vilio na malalamiko vinaanzia hapo.

Mfano!
Hebu tia neno kwenye situation ya single maza mwenye watoto wa 3 kila mmoja na baba yake.
Je !
Is she a victim or a clown?

Kuhusu umalaya
Sijui nikwambie nini
Ila
Kitaalamu inaitwa an act of exercising options.

To the first place i let you know you are replacable and you should be proud of sharing me with other women
This is how we do it.

Guess what is going to happen
Since women love competetion
She will submit to me
She will give me the respect that I truly value the most.

King david and his son solo thang. Taught us that.

Na ndio maana mwanaume huwa haitwi malaya.

NaThibitisha
watoto huwa hawanaga noma baba yao akiwa anagawa dozi kwa wanawake huko nje mtaani.
Ila kwa mama inakuwaga ni bonge moja la psycholigical effect na nikilema ambacho mtoto wakiume anakuwanacho akigundua mama yake anatafunwa na wahuni mtaani wakati baba yake yupo.

Muulize mama yako je!
Nisahihi kumuacha mume kisa anasaliti nje ya ndoa?

Its human nature

You cant compete with a man

We are men
We are created to fu*k around .
Mkuu concept ya wanawake kuchezewa inakuja pale ambapo wanaume wakishatembea na wanawake wanaanza kuwatukana kuwa hawajitunzi na wanajirahisisha, actually wanaoongoza kusema kuwa wanawake wanachezewa ni wanaume kuliko wanawake wenyewe utasikia kauli kama "hawa wanawake ni wa kuwachezea na kuwaacha tu", kwahiyo si kwamba wanawake wanajivictimize bali wanaume ndio huwa mnachukulia kitendo cha kulala na wanawake wengi kama kuwachezea na mnaona ni sifa

Halafu wanawake kuwa na wanaume wengi haimaanishi kuwa wanashindana na wanaume bali ni matokeo ya ninyi wenyewe kuwachezea nao kujikuta wameangukia kwa wanaume wengi kabla ya kupata wa kuwaoa, kumbuka wanaume mnajua shida ya wanawake wengi ni kuolewa hivyo wengi huwa mnawatongoza kwa gia ya kwamba mtawaoa, halafu mkishawachezea mnawaacha then nao inabidi waendelee kutafuta hadi watakapopata yule mmoja wa kuolewa naye na hapo ndipo shida inapoanzia

Na kingine concept ya wanawake kuchezewa inatokana na imani kwamba mwanaume hata akiwa na miaka 50 anaoa bila tatizo ila mwanamke akifika miaka 30 tu ndoa anaanza kuitafuta kwa mbinde, hivyo mnapodate na wanawake na kuwaacha inaonekana kama mmewachezea sababu mnakuwa mmewapotezea muda na nafasi ya kuolewa mapema, sasa kama mnapodate na wanawake hamyaweki hayo yote into consideration kwanini mkishawaacha mnawatukana tena kwamba ni malaya

Mkuu unaposema nature ya wanaume ni kufvck around ila ya wanawake siyo una uhakika kwamba population inaruhusu wanaume kufvck around bila wanawake nao kufanya hivyo, hivi mnaotoa hii kauli huwa mnajua hata population ratio ya me na ke duniani na hata kwa nchi moja moja hiyo nature mnayoisingizia mbona imewasaliti kwenye upande wa population, maana ukipiga hesabu kila mwanaume akisema awe na wanawake zaidi ya mmoja basi ni either wanawake nao watajikuta wanakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja au kuna wanaume watakosa wanawake kitu ambacho hakiwezekani

By the way tendo linalohusisha jinsia mbili haliwezi kuwa zuri kwa jinsia moja halafu hapo hapo liwe baya kwa jinsia nyingine hii concept logically haiwezekani ni either liwe zuri kwa wote au baya kwa wote kulingana na mazingira, yani wanaume wakizini ni sawa ila wanawake wakizini ni kosa kwani wanaume wanafanya hilo tendo na kina nani na wanawake wanafanya hilo tendo na kina nani na je kama wanawake wote wakisema wajitunze wanaume watafanya na kina nani, mwanaume na mwanamke wako tofauti ila wanategemeana kwenye mambo mengi kuanzia kujamiiana hadi kuzaliana yani ni sawa na pande mbili za shilingi ziko tofauti ila zinategemeana sasa kusema kwamba mwanaume akizini ni sawa ila mwanamke akizini ni kosa ni sawa na kusema upande mmoja wa shilingi uko sawa kuwepo pale ila upande mwingine hauko sawa kuwepo pale is that possible
 
Back
Top Bottom