Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
Maana yake unakubali kuwa sh*ga
Jezebel spirit detected.
Be a man brother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake unakubali kuwa sh*ga
Kandaa ndoa maana yake umekubali kuwa Sh@gaWow
Wow!
Nimegundua me and you tupo sawa
Tatizo wote tumeshindwa kwenda beyond kuelewana .
Yes ninapaswa kuishi na mwanamke kwa akili
I'm a devine spirtual masculine man myself
But i refused to submit to a woman.
Getting martied=submitting to your wife
Niseme sihitaji ruhusa au kibali kuanzisha familia.
Am not living in equal terms with anybody
Am a fu*kn king.
Sioni haja yakukudismantle brother.
Kataa ndoa is undefeatable.
Kataa ndoa is undefeatable brother.
Man upKandaa ndoa maana yake umekubali kuwa Sh@ga
Huo ndio ukweli!Jezebel spirit detected.
Be a man brother
Huo ndio ukweli!
Wanaokataa ndoa wote asilimia kubwa wanakuwa mash*ga.
Mwanaume wa kweli utakataa vipi ndoa?
Kama hutaki kuoa basi jiandae kuolewa
Mkuu kwanza kabisa ushawahi kusikia huu msemo kwamba "mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kuwa na wanawake wengi ila mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kujiweka mbali na wanaume", hiyo statement tu inaonesha kwamba wanaume kwa asilimia kubwa furaha yenu inategemea wanawake yani mafanikio yoyote mnayoyapata mnawaza kwanza kutumia na wanawake halafu ndio wafuate watu wengine, wakati kwa wanawake ni tofauti wao wanaweza kutafuta furaha yao kwa watu wengine kama watoto na vitu vingine kama pesa au wewe angalia familia nyingi kati ya mume na mke anayejali sana kwao ni naniKama hutojali !
Unaweza ukaniambia
What are things that realy keep a woman happy!?
Kama utaweza pia kuniambia vitu vyenye vina mkeep man happy!
Ukatusaidia mkuu maana tupo ambao hatujui tunataka nin!!!
Mkuu kwanza kabisa ushawahi kusikia huu msemo kwamba "mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kuwa na wanawake wengi ila mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kujiweka mbali na wanaume", hiyo statement tu inaonesha kwamba wanaume kwa asilimia kubwa furaha yenu inategemea wanawake yani mafanikio yoyote mnayoyapata mnawaza kwanza kutumia na wanawake halafu ndio wafuate watu wengine, wakati kwa wanawake ni tofauti wao wanaweza kutafuta furaha yao kwa watu wengine kama watoto na vitu vingine kama pesa au wewe angalia familia nyingi kati ya mume na mke anayejali sana kwao ni nani
Ndio maana kwenye ndoa mwanamke akizingua mwanaume anavurugwa kabisa akili na inakuwa ni ngumu kumsamehe na kumvumilia huyo mkewe badala yake ataenda kutafuta mchepuko ambaye naye pia ni mwanamke, yote hiyo ni sababu wanaume huwa mnategemea wanawake ndio wawape furaha lakini mwanaume akizingua mwanamke ni rahisi kumvumilia na kumsamehe mumewe, na ataishi naye hivyo hivyo tu sababu anaamini furaha yake ataipata kupitia watu wengine hasa watoto wake au kwenye vitu vingine kama kazi au biashara yake
So hapo ukiangalia hali halisi kihisia na kisaikolojia wanaume ndio wanaihitaji ndoa kuliko wanawake mara nyingi wanaume ndio wanapenda kupetiwa na kubembelezwa na wanawake zao kwa zile kauli kama "pole na uchovu mpenzi" sijui "karibu chakula mume wangu" and the likes, na wanaume wengi huwa wanachepuka kabisa kwa kukosa romantic gestures kama hizo ilihali wanawake hawajali wala hawazitegemei hizo kauli, yani kitu pekee kinachofanya wanawake waendelee kuwa desperate na ndoa ni kutokana na mitazamo ya jamii na ugumu wa maisha tu
Kama kweli furaha ya wanawake ingekuwa ni kuwaplease wanaume kama mnavyosema mbona siku hizi malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye ndoa na wengi wanaolalamika ni wanaume, yani tulishazoea tangu zamani wanawake ndio waliokuwa wanalalamika lakini dunia ya leo ni kama wanawake wamepunguza kulalamika wameanza kujibu mapigo kimya kimya, na matokeo yake wanaume sasa ndio imekuwa zamu yenu kulalamika lakini bado mnakomaa na mnajitutumua kwamba eti hamzihitaji ndoa eti mnalalamika ili kuwasaidia tu wanawake
Kwanza hakuna mwanaume ambaye anafanya au anaongelea kitu kuhusu mahusiano kwa maslahi ya mwanamke, ukiona mwanaume analalamikia jambo ujue linamuumiza yeye mwenyewe hivyo haya malalamiko yenu ndio yamedhihirisha kwamba mnahitaji sana ndoa kuliko wanawake, ila tu miaka yote wanaume kupitia mfumo dume mmekuwa mkitumia self serving reverse psychology trick kufanya wanawake waone kama ndoa ni muhimu zaidi kwao ili wafanye vile mnavyotaka

Maslahi gani tena unayoyazungumzia mkuu
Lets go slow
Napenda kujua maslahi unayoyazungumzia.
Jaribu siku moja ukipata nafasi zungumza na mwanaume aliyekuwa divorced au ambae yupo kwenye process na pilika za divorce utajifunza
World system's
Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tuHajawahi kukutana nae hata mmoja hawezi kujua kinachoendelea ni nini
Furaha ipi? Fungua maelezo vizuri furaha gani na kwanini Mwanamke tu sio Mwanaume?Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu
Mkuu kwanza kabisa ushawahi kusikia huu msemo kwamba "mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kuwa na wanawake wengi ila mwanamke kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kujiweka mbali na wanaume", hiyo statement tu inaonesha kwamba wanaume kwa asilimia kubwa furaha yenu inategemea wanawake yani mafanikio yoyote mnayoyapata mnawaza kwanza kutumia na wanawake halafu ndio wafuate watu wengine, wakati kwa wanawake ni tofauti wao wanaweza kutafuta furaha yao kwa watu wengine kama watoto na vitu vingine kama pesa au wewe angalia familia nyingi kati ya mume na mke anayejali sana kwao ni nani
Ndio maana kwenye ndoa mwanamke akizingua mwanaume anavurugwa kabisa akili na inakuwa ni ngumu kumsamehe na kumvumilia huyo mkewe badala yake ataenda kutafuta mchepuko ambaye naye pia ni mwanamke, yote hiyo ni sababu wanaume huwa mnategemea wanawake ndio wawape furaha lakini mwanaume akizingua mwanamke ni rahisi kumvumilia na kumsamehe mumewe, na ataishi naye hivyo hivyo tu sababu anaamini furaha yake ataipata kupitia watu wengine hasa watoto wake au kwenye vitu vingine kama kazi au biashara yake
So hapo ukiangalia hali halisi kihisia na kisaikolojia wanaume ndio wanaihitaji ndoa kuliko wanawake mara nyingi wanaume ndio wanapenda kupetiwa na kubembelezwa na wanawake zao kwa zile kauli kama "pole na uchovu mpenzi" sijui "karibu chakula mume wangu" and the likes, na wanaume wengi huwa wanachepuka kabisa kwa kukosa romantic gestures kama hizo ilihali wanawake hawajali wala hawazitegemei hizo kauli, yani kitu pekee kinachofanya wanawake waendelee kuwa desperate na ndoa ni kutokana na mitazamo ya jamii na ugumu wa maisha tu
Kama kweli furaha ya wanawake ingekuwa ni kuwaplease wanaume kama mnavyosema mbona siku hizi malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye ndoa na wengi wanaolalamika ni wanaume, yani tulishazoea tangu zamani wanawake ndio waliokuwa wanalalamika lakini dunia ya leo ni kama wanawake wamepunguza kulalamika wameanza kujibu mapigo kimya kimya, na matokeo yake wanaume sasa ndio imekuwa zamu yenu kulalamika lakini bado mnakomaa na mnajitutumua kwamba eti hamzihitaji ndoa eti mnalalamika ili kuwasaidia tu wanawake
Kwanza hakuna mwanaume ambaye anafanya au anaongelea kitu kuhusu mahusiano kwa maslahi ya mwanamke, ukiona mwanaume analalamikia jambo ujue linamuumiza yeye mwenyewe hivyo haya malalamiko yenu ndio yamedhihirisha kwamba mnahitaji sana ndoa kuliko wanawake, ila tu miaka yote wanaume kupitia mfumo dume mmekuwa mkitumia self serving reverse psychology trick kufanya wanawake waone kama ndoa ni muhimu zaidi kwao ili wafanye vile mnavyotaka
Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu
Masikini yani wanaume wa siku hizi mlichobakiza ni kujifariji tu kuwa wanawake waliokosa ndoa wanaumia, bado hamtaki kukubali kwamba wanawake wengi wameshaanza kuachana na desperation ya ndoa and they are trying to find happiness out of it sababu wanaume wengi hamna mema mnayowafanyia zaidi ya umalaya na ubabe tu, uzuri kuna watu humu nafahamiana nao nje ya jf wananijua vizuri kabisa nahisi wakisoma hii comment yako watajua kati ya mimi na wewe ni nani wa kuonewa hurumaHuyu kama ana ndoa njoo uniue niko nimekaa palee. Hawa ni wale wako mid - late 30s na wameshajikatia tamaa na ndoa. Wameangukia kwenye feminism lakini ndani kwa ndani wana uchungu sana! Single mothers na kama bado hawajazaa basi ni watu wa kuonea huruma tu maana hata mayai yao yameshaanza kupoteza ubora. They may go childless hasa kama walishatoa mamimba huko sekondari/vyuoni au kama wamebugia sana ma P2. Wamechezewa sana na bado ni watu wa kuchezea tu!
Nimeona nisiendelee kusoma zaidi nicomment then nitarud kupitua mstari kwa mstar.
Nimeishia hapo uliposema mwanaume furaha yake ipo kwa wanawake .
Pole sana.
Wacha nikusaidie uwenda ukajua wanaume tunataka nin!
Naanza.
Priority of a masculine core is mission , purpose and direction in life.
Kitovu cha furaha ya mwanaume ni kwenye purpose in life . Yaani niseme kuwa na kitu anachokipambania kwenye maisha na sio sex or love.
Nakuthibitishia hakuna mwanaume anaejitambua ambae atajuwa happy pasipokuwa na michongo inayomuingizia pesa.
Nandio maana happy single brothers wengi tunakusanya vibunda life linasonga confortable yaani easy.
Wanaume tunavalue respect kuliko love.
Love mean shit to a man.
Upande wapili love is everything to a women.
Ngoja nikaendelee kusoma sis!
Kingine chakuongezea.
Men will always love multiple women.
Usisikilize maneno ya wanafiki
Men will always be attracted to multiple women.
Sasa hapo tunatofautiana na kuzidiana akili what to do kutokuharibu ndoa.
Kusema pesa ikiongezeka demand inaongezeka niseme freedom.
Moja nguzo za masculinity is freedom
All the fight is about freedom
Kuhustle kwa mwanaume is about freedom
Now days na nyinyi mnataka freedom kitu ambacho naturaly sio feminine at the end of the day mambo yanakuwa si shwari.
Umesema wanaume tunahitaji ndoa kuliko wanawake.
Kumbuka mke ni msaidizi tu!
Mume ndio kila kitu kwenye ndoa.
Niliposema musculine core ni purpose in life
Nilimaanisha pia
Mwanaume anapenda responsibilities kulea watoto, kuprovide kila kitu kwa mke wake na kuhakisha empire yaani ngome yake ambayo yeye ndio CEO anahudumia na kuiendesha bila kusaidiwa na yeyote.
Men love responsibilitiea While women they dont.
Malalamiko yamekuwa mengi sikuhizi kwenye ndoa sababu wanawake wanataka kuwa wanaume.
Na wameshatake over.
Do women hate men who understand they value?
Do women pick men with zero or no relationship experience so they would emasculate em!?
Kwenye historia ya dunia i dont remember when a woman loved a man unconditionally.!.
Mkuu kwanza kabisa, naomba jitahidi kureply points zako zote katika comment moja kama ninavyofanya mimi, kwa sababu nisingependa kujibu comment moja moja ambazo zinaongelea kitu kimojaI got siblings.
Najua unajiuliza huwa ninawaambia nin dada zangu.
I aint got no kids.
But i'm a God father to some of girls.
I constantly shit on em when they do some stupid shit.
Sasa cha ajabu kuna wanaume wanataka wavipate vyote hivi kwa mwanamke mmoja tu, na ndio haya malalamiko yote ya kataa ndoa yalipoanzia, men don't want to embrace women's flaws instead they want them to be perfect alwaysInategemea unataka mke kwa kigezo kipi kila mmoja na interest yake
Wapo wanaohitaji kwa ajili ya ngono,mpishi, business partner,mlinzi wa nyumba,watoto,mapenzi,msaidizi,wa kumtunza uzeeni,nk
Angalia kinachokustahili