Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Hivi mpaka watu wazima wawili wakaamua kuanzisha familia.
Unataka useme
Kiboksi cha furaha hakijatiki bado.

Let's be real
Kuwahuru sisi ongelea tu kuhusu pesa za mirathi mimi sina noma.
Ongelea tu vipi kuhusu mali atapata kama hakutakuwa na cheti.
Sasa hilo swali nilitakiwa niwaulize ninyi kama viboksi vya furaha vinatiki kwanini huwa mnaishi kwa machale na wake zenu, halafu hata kama suala lingekuwa ni mali au mirathi kwani kuna ubaya gani mke wako uliyeishi naye na aliyekuzalia watoto na kutimiza majukumu yake kama mke akipata sehemu ya mali zako, yani ni hili ndilo linalowafanya wanaume mkatae ndoa au kuna lingine sasa mbona kama hiyo ni sababu ya kibinafsi sana ilihali wanaume huwa mnajisifia kuwa ninyi siyo wabinafsi kama wanawake
 
Upo sahihi mkuu.

Na ndio maana uzi ulisema mwanaume mwenye akili kubwa
Real men.

Nakili kwa kusema kuwa kuna wapumbavu wengi sana nawajua hawastahili kuwa baba wala mama.

Ilibidi kuwe na leseni siyo kila watu wanaruhusiwa kuzaa.


Nilikuwa nasema hivii.
Wanawake hawataki tena role yao ile ambayo ni muhimu sana duniani na niseme ni kazi inayoheshimika sana.
Kulea na kutunza familia.
Mama wa nyumbani , feminist wanaitaga hivi ili kuifanya hii kazi ionekane yakinyonge.

Wanawake mnachofanya sasahivi ni kupambana kutafuta pesa. Pesa ambazo hazitakukeep happy never.
Utajenga mjengo utaishi peke yako humo na paka na mbwa na utapretend paka na mbwa wanakupenda. Utakuwa single kwasabbu utawaatract vijana wa ovyo wapenda vitonga na wazee/matajili wezio.


Nikianza na wewe ?
Can you tell a difference btn Real man and a Disfunctional man.!

Wanawake wengi mnashindwa kutofautisha
Wengi wenu hamuwezi

kwasababu unakuta hakulelewa na baba ambae angempa muongozo real man anafanaje!!
mambo kama hayo! Ila wengine kwa kukusudia kabisa mnawa ignore real men mnaenda kwa stupid nice guys

Mnajikuta mnashindana kipost video tiktok na kutafuta like.


This shit get emotional
Ila bado mkuu hujanitoa kwenye reli.
Hizo changamoto wanazopitia wanawake mara nyingi ni matokeo ya maamuzi ya kipumbavu ambayo mnayafanya.

I'M TRYING TO PENETRATE YOU HEART RIGHT NOW!
Mfano:
Mwanao wakiume anakama 22 yrs with zero relationship experience
Amekuja anakwambia............
Ow sorry sis!
Nimekumbuka woman cant teach a man how to be a man.




Ki
 
Aah mmmh!
 
Ila kweli Duniani tunatofautiana sana cjui ni mazingira eti huyu naye haamini Kama ushirikina upo, umri wangu mpaka nafika miaka 26 nilizunguka nusu ya Tanzania kimasomo na kiutafiti/kikazi kijana uchawi/ushirikina upo Kama hujakutana nao shukuru sana na endelea kuishi Apo Apo unapoishi Africa kuna ushirikina mbaya sana omba sana yasikukute tulioshuhudia tunajua nini kipo huko.
 
Mkuu kwanza kabisa ningeomba unifafanulie, maana na tofauti ya real men na stupid nice guys, maana nisije nikaandika maana zangu nikajikuta nje ya mada

Sasa mkuu umesema kwamba wanawake kutafuta pesa hakuwafanyi wawe happy bali wanakuwa na stress tu, na kwamba kinachomfanya mwanamke kuwa happy ni ku please, follow and submit to a man sasa kama wanawake wanajua kuwa hayo ndiyo yanayowafanya wawe happy kuliko kutafuta pesa

Ni kwanini hawayafanyi kwenye ndoa zao kiasi cha kufanya waume zao wanalalamika kila siku, mbona wanawake wenyewe ndio kwanza wanakomaa kutafuta pesa, ina maana hawaitaki hiyo furaha ya kumplease mwanaume

Na je una uhakika kwamba, wanawake wote walioko kwenye ndoa ndio wana furaha na hawana stress, kulinganisha na wanawake wote ambao wanazeeka bila ndoa

Mkuu hivi unadhani ni feminists ndio wanaozidharau kazi za mwanamke, hapana bali ni wanaume wenyewe wale misogynists ndio walianza kuzidharau kazi za mwanamke, ndipo ikabidi feminists waingilie kati kwamba basi acheni na wanawake nao wajitafutie pesa zao tu

Hivi unajisikiaje mtu anakudharau na anakunyanyasa eti kisa tu anakulisha na anakuvisha na kukupa huduma nyingine za kijamii, yani pale wanaume walipoanza kuwatesa wake zao kwa kisingizio kwamba wanawahudumia ndipo wanawake walipoona sasa inatosha, kama shida ni kuhudumiwa basi acha nao wajitafutie pesa zao wajihudumie wenyewe tu

Hakuna kiumbe kitakubali ukinyanyase kimwili na kihisia, eti kisa tu unakihudumia hata hao wanyama wenyewe ukiwanyanyasa ipo siku watakugeukia sembuse mwanamke, yani mfumo dume ulitaka mwanamke avumilie manyanyaso ya mwanaume kwa sababu tu hana pa kwenda na anahudumiwa hivyo atulie awe mpole tu

Wewe mwenyewe si umeona baada ya jamii kuamka na watoto wa kike kuanza kuenda shule na kujitafutia pesa zao, siku hizi wamepunguza kulalamika kuwa wananyanyaswa na badala yake wanaume ndio mnaolalamika, kwahiyo kuhusu kudharau kazi za nyumbani ni wanaume ndio walianza kuzidharau

Na hadi leo wapo wanaume wengi wanaozidharau na hawataki wake wamama wa nyumbani wanawaita magolikipa na wanyonyaji, wanataka wanawake ambao watawasaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia, lakini cha ajabu hawataki kukubaliana na characters ambazo zinakuja na mwanamke wa aina hiyo
 
Labda nikukojolee wewe si unataka?
Yani hapa ndio umedhihirisha uwezo wako wa kufikiri ulipoishia, mkishindwa hoja huwa mnakimbilia matusi tu hamnaga vya maana vya kuandika, halafu wewe naye eti unataka mwanawake mwenye akili kubwa akubali kuolewa na wewe.. pathetic!!
 
Hahaha..
Hatimaye team Kataa ndoa wamepata mwanachama wa kike
Mimi siyo team kataa ndoa mkuu kama mtu hataki ndoa basi asizini wala asizae maisha yake yote hapo hata mimi nitamsupport, lakini hawa vijana wa sasa hivi wanaokataa ndoa ili wawe na uhuru wa kuzini na kuzaa wanavyotaka tukisema tuwasupport jamii haitakuwa sehemu salama, ila wanaume wakisusia ndoa wasifikiri wanawakomoa wanawake kwamba eti ndio watabadilika tunapoelekea nao pia watasusa mwisho wa siku mtajikuta mnakomoana na badala ya kujenga mtaishia kubomoa tu
 
Yaani mke wangu awe amesoma hata awe professor kwa fields Mia moja za career bado akizingua nitamcharaza viboko. Kiasili huwezi pingana na asili ,yaani huwezi pingana na alichoumba Muumbaji ama mother nature ilichotupatia
 
Yaani mke wangu awe amesoma hata awe professor kwa fields Mia moja za career bado akizingua nitamcharaza viboko. Kiasili huwezi pingana na asili ,yaani huwezi pingana na alichoumba Muumbaji ama mother nature ilichotupatia
Bila shaka hata akiwa analipwa mshahara wa Million 100 kwa mwezi hutaulizia wala hutagusa hata shillingi mia yake siyo
 

Mkuu naona umetusingizia vibaya vibaya leo.

Mimi ninachojua ndoto ya kila mwanaume ni kuwa na familia yenye stability kwaiyo tunapenda mama wa nyumbani ambae atakuwa available 24 seven .

Mkuu hivi ni kweli kuna wanawake wanateseka au wananyanyasika kwasababu tu ya wao kuwa wanawake.

Mimi sijawahi kushuhudia hayo mambo ya kuteseka kwa wanawake.

Chazaidi nimesikia tu visa vya disrespectful woman amepewa kisago kakimbilia polisi na visa vya hapa na pale.

Kuhusu nice guys uhitaji maelezo mengi ni hao waliokuzunguka na ni 90% ya wanaume wote duniani.
I garantee you when you turn your tv on right now utawaona ma nice guys wakutosha.


Kuhusu real men.
Naomba nisikupe definition au nisikuelezee wanafananaje

Ila

Ila

Just go outside
Ulizia who are the bad boys?
Bad boys wana act vipi
Wana behave vipi
Wana operate vipi


Mambo yapo vice versa sis!
Real men are those niggaz you actually call them bad boys and https://jamii.app/JFUserGuide boys.

Hata humu jamii forums real men are those fuckers who are always going for what they want saying what they want , living they life abundantly

I dont want to over hype or gaslight brother SYB mzee wa ma youtong

He is one of the realest .

Reasons.
He is not lying like bitch.
He always speaking is mind.
He is not in competetion with anybody
He dont mind sharing women
He is open minded
Etc
........
And
Etc....



Stupid nice guys traits
They will get married and still acting like players.
This is sooo fuckn wrong
Ukishaoa maana yake you are not a player / you lost it / you aint got no juice.
Your kids are the center of your universe.
You are living for kids / ubinafsi pembeni.
Real man = family man


Let me stop !
This shit is crazy
stupid nice guys are the worst and dangerous men .
Sijisikii vizur kuwazungumzia
 
kama unaamini uchawi, tambua wewe ndio mchawi mwenyewe
 
Mkuu unaishi sayari gani hiyo ambayo hujawahi kuona wala kusikia kuwa kuna wanaume hawataki wanawake magolikipa na tegemezi wanataka wanawake ambao watawasaidia kutafuta pesa na kuhudumia familia, okay sasa kama wanaume mnataka wamama wa nyumbani mbona hamtaki kuoa na sababu kubwa mnayotoa ni kwamba hamtaki kuhudumia wanawake na hamtaki mgawane nao mali zenu mnataka wajitafutie zao, sasa mwanamke akishakuwa mama wa nyumbani anajitafutiaje pesa zake na anaachaje kuwa tegemezi kwa mume wake

Ofcourse wanawake wananyanyaswa sana ila sijui kwanini wanaume huwa hamlioni hili ninyi kila siku mnajifanya innocent na mnaplay victims wa wanawake wakati hakuna jinsia inayoongoza kunyanyasa jinsia nyingine kama wanaume, yani imagine mume anamnyanyasa mkewe eti kisa tu anamhudumia wakati hilo ni jukumu lake so hii inaonesha kwamba hilo jukumu la kuhudumia wanawake wanaume mnalifanya kishingo upande, na mnafanya kama hisani tu ndio maana mnalitumia kama fimbo ya kuwachapia wake zenu ninyi mkikosea ni sawa ila wao wakikosea ni either mnawapiga au kuwaacha

Halafu ujinga ni pale mwanaume anapojifanya real man (kwa mujibu wako) halafu anatukana wanawake yani wewe ukishajijua ni bad boy au fvck boy basi you do not have the right to go around insulting women, lazima mkubali kwamba huo umalaya mnaofanya mnaufanya kwa sababu ya wanawake ambao nao wamekubali kuwa malaya maana laiti wanawake wote wangeamua kujitunza msingepata pa kufanyia huo umalaya wenu unaowafanya mjiite playboys, sasa shida ya wanaume wengi mnataka kuwa playboys halafu hapo hapo mnalalamika kwamba jamii inaharibika kisa wanawake sasa mnataka decent women watoke wapi kwenye jamii iliyojaa wanaume wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…