Aww... that's my girl [emoji8]Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
vijana wengi wa kisasa mtaani wanazingatia zaidi muonekano wa reception na washroom.Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu tanzania mke mume ni mapambano.
vijana wengi wa kisasa mtaani wanazingatia zaidi muonekano wa reception na washroom.
suala la tabia ya mwenza, ufahamu na uelewa wa ndani wa koo zao na status za malezi na maisha yao ya nyuma halizinzatiwi kabsaaa π
matokeo yake wiki mbili tu hamna ndoa π
ni vuzuri kuzingatia tabia na maadili mema na chimbuko la maisha walionayo hao wenza wa kuoa...
R I P Laigwanan comrade ENL
You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.
All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
Unaweza nitajia aina 2 za wanawake mkuu?Hakuna kitu kama hiki, wanawake wanatofautiana sana mkuu, kama tu ambavyo wanaume munatofautiana
Mie nina mke mmoja na watoto 5 + wajukuu 4.Nimegundua me and you tupo sawa
Binafsi sina mke.Mie nina mke mmoja na watoto 5 + wajukuu 4.
Pima mwenyewe kama tupo sawa π
Hatuendani mkuu πI got lot women (abundant life)
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Ukiona yupo tofauti huyo ni dume jikeWote
Wote Wapo sawa mkuu.
They all operate the same.
Niliposema tupo sawa.Mie nina mke mmoja na watoto 5 + wajukuu 4.
Pima mwenyewe kama tupo sawa π
Umepatikana nini? Maana naona NDOA yako ipo mashakani. Ndoa siyo Smartness, Brightness, Foolishness, Richness... NDOA NI MAELEWANO KATI YA MUME NA MKE... Mengine ni danganya toto...Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
Jadda the boss , wewe huwa ni mtata sana, hatuta fika mwisho na jua , wewe ni kiranga wa kikeππHakuna kitu kama hiki, wanawake wanatofautiana sana mkuu, kama tu ambavyo wanaume munatofautiana
SureSafi! A man just be a man
Umepatikana nini? Maana naona NDOA yako ipo mashakani. Ndoa siyo Smartness, Brightness, Foolishness, Richness... NDOA NI MAELEWANO KATI YA MUME NA MKE... Mengine ni danganya toto...
πππ tutukane tu .Fools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
I don't need to listen to you, I listen to God more.What am telling you is you need to stop and listen to a pimp(me)
This is 2024 grandpa.
Things have changed grandpa.
Am doing this to help your grand kids.
Hapana siwezi kuwatukana, bali nitawaambia tu ukweli, na huo ndio ukweli wenyewe kwamba all kataa ndoa are fools ππππ tutukane tu .