Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Sio africa tu mpaka ulaya hawaoi ovyoovyo😂..lkn kusema wanawake wote ni vilaza au wanaume wote ni vilaza hapana...kikubwa ni kujipa muda na kutambua kuwa no body is perfect so kama umeamua kumuoa mvumilie tu maana we pia unamapungufu.
 
Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.

Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga.

Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote yaliyobakia.

Swali, Je wangapi wapo tayari kuyaishi maisha ya aina hii?
 
Mi ndo ninayoishi sasa mkuu
 
Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.
Mfano hai, mwanasiasa ukitumia akili nyingi kuchambua kwanini ccm ipo madarakani pamoja na mapungufu yote utauona udhafu wa upinzani na ukitumia akili nyingi ukauchambua huo udhaifu utakujikuta wewe si rafiki wa ccm wala upinzani halafu utatengwa kisiasa na kuwa mwanaharakati.
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Nilitafuta kwa miaka zaidi ya 10 kupata intellect woman kwa maisha ila nilishindwa mwishowe nikaona nitafute tu mwenye chura wa darasa la saba, maisha ya ende tu.........wanawake wa Tanzania wengi hawana lingine la ku offer zaidi ya sex tu.
 
Back
Top Bottom