Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hakuna aina ila wanatofautiana uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo mzeeUnaweza
Unaweza nitajia aina 2 za wanawake mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aina ila wanatofautiana uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo mzeeUnaweza
Unaweza nitajia aina 2 za wanawake mkuu?
!Hatuendani mkuu 😂
Sorry bro!you quote me wrong
We are not fighting.Ok, embu nijibu, Wewe unataka kupewa sababu za wewe kuoa. Kwanini?
Achana na kingereza.We are not fighting.
Najua wapi tutafika katika hili.
I just wanna let you know this is a nice friendly convo so let it be!
Ninanzaje kucomment bila kujua wewe unasimamia upande gani?Ok, embu nijibu, Wewe unataka kupewa sababu za wewe kuoa. Kwanini?
Jadda mwanangu sana , hatuwezi tukanana kamwe.😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora umejua mapema...wenzio wanakuwaga wabishi wanaishia kutukana
Hapana siwez kujibu swali lako mkuu.Achana na kingereza.
Swali ni, kwanini unataka upewe sababu za wewe kuoa?
Sio africa tu mpaka ulaya hawaoi ovyoovyo😂..lkn kusema wanawake wote ni vilaza au wanaume wote ni vilaza hapana...kikubwa ni kujipa muda na kutambua kuwa no body is perfect so kama umeamua kumuoa mvumilie tu maana we pia unamapungufu.Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Lkn inasemekana kuna aina za wanaumeHakuna aina ila wanatofautiana uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo mzee
Sawa.Hapana siwez kujibu swali lako mkuu.
Eewaaaa....Hakika it's like unakua on a higher level na unaona hakuna ambae mnaendana!
Mi ndo ninayoishi sasa mkuuSio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.
Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga.
Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote yaliyobakia.
Swali, Je wangapi wapo tayari kuyaishi maisha ya aina hii?
Mfano hai, mwanasiasa ukitumia akili nyingi kuchambua kwanini ccm ipo madarakani pamoja na mapungufu yote utauona udhafu wa upinzani na ukitumia akili nyingi ukauchambua huo udhaifu utakujikuta wewe si rafiki wa ccm wala upinzani halafu utatengwa kisiasa na kuwa mwanaharakati.Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.
Kumpata unae match nae kipengele. Kibaya Zaid umri unasoge 😅Eewaaaa....
Nilitafuta kwa miaka zaidi ya 10 kupata intellect woman kwa maisha ila nilishindwa mwishowe nikaona nitafute tu mwenye chura wa darasa la saba, maisha ya ende tu.........wanawake wa Tanzania wengi hawana lingine la ku offer zaidi ya sex tu.Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
heri kuishi na pengo kuliko jino bovu mkuu😊Kumpata unae match nae kipengele. Kibaya Zaid umri unasoge 😅