Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Aina zao ni zipi na huo usawa wa wanawake uko wapiLkn inasemekana kuna aina za wanaume
Kweny social heirarchy.
Huoni kama tunaposema wanawake wote ni sawa tunakuwaga tupo sahihi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina zao ni zipi na huo usawa wa wanawake uko wapiLkn inasemekana kuna aina za wanaume
Kweny social heirarchy.
Huoni kama tunaposema wanawake wote ni sawa tunakuwaga tupo sahihi mkuu?
Inafikirisha...Ukweli mtupu,ukitumia sana akili unakosa mke au Mume,mchague mmoja maisha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maelewano yatapatikana kwa mtu asiye na upeo, kilaza, ngumbaru, mjuaji, mjinga?Umepatikana nini? Maana naona NDOA yako ipo mashakani. Ndoa siyo Smartness, Brightness, Foolishness, Richness... NDOA NI MAELEWANO KATI YA MUME NA MKE... Mengine ni danganya toto...
Tafuta kwa Wahasibu wenzako, huenda ukampata mnayeendana ...😂😂Nakubaliana na wewe. Nampata yule najua labda ni muda wangu. Mwezi mmoja tu nagundua ni garasa. Mwaka jana nimewapa muda wa3 lakini nilichokikuta ni ujinga-ujinga tu. Bahati mbaya nimeshachoka kukaa peke yangu, hata sijui nafanyaje
Ubaya wakujua vitu vingi dunian hsababisha kuona ubaya kwenye kila situation tu.. na hiyo pelekea kutafta perfection.. kakuna kilichokamilika. Ndo maana wasomi wengi tu wapweke!Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.
Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga.
Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote yaliyobakia.
Swali, Je wangapi wapo tayari kuyaishi maisha ya aina hii?
Na kwanini nitoe mahali wakati wote tunaenda kuanza maisha na kama ni furaha au shida tutaenda kuface wote mke na mume..?Mtu kama anataka kulipiwa mahari hizo akili kubwa atatoa wapi?
😅 Bora kua single tu! Aliye wako atakuja with divine timing..heri kuishi na pengo kuliko jino bovu mkuu😊
Wee jamaa 😀😀😀Tafuta kwa Wahasibu wenzako, huenda ukampata mnayeendana ...😂😂
Hahaha, Mkuu itakuwa ulikuwa unataka mwanamke mwenye akili, sura na chura.Nilitafuta kwa miaka zaidi ya 10 kupata intellect woman kwa maisha ila nilishindwa mwishowe nikaona nitafute tu mwenye chura wa darasa la saba, maisha ya ende tu.........wanawake wa Tanzania wengi hawana lingine la ku offer zaidi ya sex tu.
Kibaya zaidi unaweza kufikiri mwenye sura mbaya nda atakua wife material, kumbe wapi ni wale wale hana la kukupa zaidi ya sex.Hahaha, Mkuu itakuwa ulikuwa unataka mwanamke mwenye akili, sura na chura.
Ni sawa na mwanamke anayetafuta mwanaume mrefu, handsome, mcheshi, mwenye pesa. Si rahisi.
Naam NDOA NI UTAPELINow days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Hahaha. Inatokea sana tu. Matendo hayapimwi kwa sura.Kibaya zaidi unaweza kufikiri mwenye sura mbaya nda atakua wife material, kumbe wapi ni wale wale hana la kukupa zaidi ya sex.
Kuna foools wengi tu waliojiweka kwenye kitanzi cha the so called NDOA, full of drama and criesMarriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.
Kwenye macho ya systemAina zao ni zipi na huo usawa wa wanawake uko wapi
Ni bora kuwa single kuliko kupata gharasa liwe ke au me maana ndio mwanzo wa kuharibu maisha yako na kupata sonona. Kuna watu maisha yao yameharibika kabisa sababu ya kutopata watu sahihi na wenye akili.Asante kwa kunielewa.
Mwanamke ukiwa una akili. Unafikiria vizuri na Unapambanua mambo kwa kutumia akili. Mume humpati kiurahisi.
Maana wanaokutongoza unawasoma tu walivyo magarasa unawablock fasta
Na kwa mwanaume nae akiwa na akili anapambanua mambo mke hampati kwa urahisi.
Wajinga ndio wamejaa Tanzania
NAKAZIA [emoji419][emoji375]Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
Kuna kitu hakiwekwi sawa. Inshu siyo akili kubwa. Inshu inatumikaje ndani ya familia. Ni kweli kabisaa ukiwa mtu wa kufikiri kila anachofanya au kusema mwenza wako ukakipeleka ktk mizania ya elimu yako na akili zako hakika hamtafika. Tafakari mtu ana elimu kubwa labda ni PhD + halafu ameajiriwa kwa hiyo elimu yake na ana watumishi chini yake ambao wako chini yake si kwa kigezo Cha umri bali kwa elimu yake.binafsi nimekuelewa sana.
mana hata mimi nimewaza hilo
Bosi mbona hao wamejaa wako wengi sana mpka wanakimbiwa huku mitaani. Au sijaelewa aliyeelimika kiasi ganiNilitafuta kwa miaka zaidi ya 10 kupata intellect woman kwa maisha ila nilishindwa mwishowe nikaona nitafute tu mwenye chura wa darasa la saba, maisha ya ende tu.........wanawake wa Tanzania wengi hawana lingine la ku offer zaidi ya sex tu.
I agree with you. All Kataa ndoa people are also cowards and incompetent people, living in a foolish age era.Marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.