Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Aww... that's my girl [emoji8]
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
vijana wengi wa kisasa mtaani wanazingatia zaidi muonekano wa reception na washroom.

suala la tabia ya mwenza, ufahamu na uelewa wa ndani wa koo zao na status za malezi na maisha yao ya nyuma halizinzatiwi kabsaaa 🐒

matokeo yake wiki mbili tu hamna ndoa 🐒

ni vuzuri kuzingatia tabia na maadili mema na chimbuko la maisha walionayo hao wenza wa kuoa...

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu tanzania mke mume ni mapambano.

Asante kwa kunielewa.

Mwanamke ukiwa una akili. Unafikiria vizuri na Unapambanua mambo kwa kutumia akili. Mume humpati kiurahisi.
Maana wanaokutongoza unawasoma tu walivyo magarasa unawablock fasta

Na kwa mwanaume nae akiwa na akili anapambanua mambo mke hampati kwa urahisi.

Wajinga ndio wamejaa Tanzania
 
vijana wengi wa kisasa mtaani wanazingatia zaidi muonekano wa reception na washroom.

suala la tabia ya mwenza, ufahamu na uelewa wa ndani wa koo zao na status za malezi na maisha yao ya nyuma halizinzatiwi kabsaaa 🐒

matokeo yake wiki mbili tu hamna ndoa 🐒

ni vuzuri kuzingatia tabia na maadili mema na chimbuko la maisha walionayo hao wenza wa kuoa...

R I P Laigwanan comrade ENL

Hata hao ambao hawana reception nzuri ama muonekano wa kuvutia. Bado vilaza ndio wengi sana. Hadi wabaya wamejaa magarasa tu

Mwanamke ama mwanaume yeyote mtazame jinsi anavyo solve changamoto zake za kila siku. Na mfumo wake wa maisha..utajua kama ana akili ama ni garasa.
 
Wow
You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.

All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.

Wow!
Nimegundua me and you tupo sawa
Tatizo wote tumeshindwa kwenda beyond kuelewana .

Yes ninapaswa kuishi na mwanamke kwa akili
I'm a devine spirtual masculine man myself
But i refused to submit to a woman.
Getting martied=submitting to your wife

Niseme sihitaji ruhusa au kibali kuanzisha familia.
Am not living in equal terms with anybody
Am a fu*kn king.

Sioni haja yakukudismantle brother.

Kataa ndoa is undefeatable.

Kataa ndoa is undefeatable brother.
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.

Mtu kama anataka kulipiwa mahari hizo akili kubwa atatoa wapi?
 
Mie nina mke mmoja na watoto 5 + wajukuu 4.
Pima mwenyewe kama tupo sawa 😂
Niliposema tupo sawa.
Nilimaanisha sote tupo against divorce, sote tunapenda watoto walelewe na wazazi wawili na mengine positive kuhusu familia(nuclear family)
We all good men brother.

But i'm a pimp and you a good nice grandpa.

What am telling you is you need to stop and listen to a pimp(me)
This is 2024 grandpa.
Things have changed grandpa.

Am doing this to help your grand kids.
 
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
Umepatikana nini? Maana naona NDOA yako ipo mashakani. Ndoa siyo Smartness, Brightness, Foolishness, Richness... NDOA NI MAELEWANO KATI YA MUME NA MKE... Mengine ni danganya toto...
 
Umepatikana nini? Maana naona NDOA yako ipo mashakani. Ndoa siyo Smartness, Brightness, Foolishness, Richness... NDOA NI MAELEWANO KATI YA MUME NA MKE... Mengine ni danganya toto...

For 99% of history, marriage was about connecting two families and making babies. Love, while desired, was not consequential.
 
Back
Top Bottom