Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Nimepita sehemu hapa nimekuta
Wanapiga nyimbo hii. TLC-Scrub

Scrub is the bla bla bla bla wame mdefine.
Scrub ni aina fulani ya wanaume.

Uliwahi kusikia kuhusu bad boys
Nawao pia wapo .

Nice guys?
Nawao pia wapo na ni wengi mno humu ndani.

Pimp pia tupo humu.

Finally kuna good men.
Wapo wengi sana humu.
Mimi nawajua good men humu wengi sana.

Mimi nimetaka wewe uniambie type hata moja ya wanawake unieleze characteristics zao mkuu.

Mimi ninachoamini wanawake wote ni sawa.

Mifano ni mingi mno
Likitokea tatizo popote pale utadikia wanawake na rwatoto kwanza
Then wazeee.
Wakina sisi tutakao baki ni mwenye nguvu.

Mifano ni mingi sanaaa.

Machoni pa mwanaume mwanamke mwenye range na vits wote ni sawa tu.
 
Muunganiko was watu haupo kiakili kama unavodhani Bali kiroho!!

Roho na nafsi zinapoendana ni zaidi ya vipawa na akili za kawaida !!

Ndio maana mjasiria Mali smart anahitaji mwenzi anaemwelewa sio anaelewa kuwa mjasiriamali kama yeye!!wote wakiwa jicho kusikia ku wapi!!?

Typo tunaoishi na Jao graduates Tena wajasiriamali na Hela wanaijua lakini Sasa full sarakasi nakuambia!!
 
Mwanamke ni mwanamke tu , akuna cha akili kubwa wala akili ndogo , kuna point wanawake wote hukutana, iwe mpika chips na hata raisi wa nchi na ile point ndio uanamke wenyewe ambao huvutia mwanaume.
Jiheshimu we mjinga na hiyo point yako 🤣🤣🤣🤣
 
Kama ulinizingatia vema nilichoandika utagundua kuwa nilisema wanawake wote ni high value
You know why?
Let me xcul you!
Wanawake wana vingi vyakuoffer kuliko wanaume kweny huu ulimwengu.
Wana umuhimu mkubwa sana katika kuendeleza generations na mambo mengi
Technically wanawake wote walikuwa pritected kwenye tawala za kifalme.enzi na enzi
They were all treated the same.

Haya unayoyaona leo hii ni matokeo ya women kuwa rebelion. Kutaka kitu wasichostahili.


Come on sis dont you see how we treat our mothers and sisters outa here.
Yall queens.

Ika wafalme ni wachache
Wafalme ndio waliokuwa na jukumu la kuendeleza vizaz iliaminika mwenye akili atazaa wenye akili. Mwenye nguvu/king ndiye aliyekuwa na wanawake wengi ma watoto

Wapumbav hawakuruhusiwa kuzaa ovyo.
You see men were not treated the same tokea enzi.
 
Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu tanzania mke mume ni mapambano.

Ni mapambano kweli sio madogo.

Watu wengi kwenye kutongozana wanataka muulizane what is your favaurite color ? Kisha muanze kulana na kupeana mimba kisha muoane.

Ukiuliza maswali yenye logic majibu hupewi unaonekana msumbufu.

Mfano Muulize mnaetongozana unafanya kazi gani tu? Uone anavyotoa macho kujibu na maelezo kibao
 
Wewe ukiuumwa ulishawahi kuona daktari anakuja nyumbani kwako kuja kukutibu 😆
 
Mjomba we ninani wa kubishana na maandiko.... tumeshaambiwa tuishi nao kwa akili tuwasimamie
 
Kwahiyo unataka kusema kila mwanamke anatembea na label ya uwezo wake kiakili kwenye paji la uso? You’re stupid! Wewe ni wale vijana mmemaliza vyuo na vidigrii vyenu vya kukariri na viingereza vya kuungaunga unaingia humu unajiona ni mzee wa busara na hekima.. Unaandika in a purely subjective and very generalized manner. In other words: it’s complete bullshit. “Akili kubwa” inapimwaje? Nani anapima? Kipimo chake kina unit gani?
 
I wouldlike Kiranga opion on this. s
 
I wouldlike Kiranga opion on this. s
Watanzania wengi kwa kuangalia mazungumzo ya JF ni watu ambao hawawezi kutoa maoni yao tu na kuwaachia wengine watoe maoni yao.

Hata kama jambo halina jibu moja na linaruhusu kila mtu kuwa na maamuzi yake kwa uhuru wake binafsi.

Yani Watanzania wengi wanaweza kuanzisha mjadala mkubwa kujadili rangi nyekundu na ya bluu ipi ni nzuri na bora zaidi.

Bila muktadha zaidi wala nini. Hata jambo ambalo halina jibu la jumla kwa wote linaloweza kupatikana objectively, watu watanyukana kichizi hapo kubishana kwa kutetea upande wao uwe jibu la jumla kwa wote.

Na watu wakabisha kabisa kwamba rangi yao nyekundu ndiyo nzuri zaidi, huku wengine wakiwatukana kabisa na kusema rangi yao bluu ndiyo nzuri zaidi.

Yani hawawezi kusema "binafsi napenda nyekundu, lakini si lazima mwingine apende nyekundu kama mimi, anaweza kupenda bluu, kwa sababu hili ni jambo la uamuzi binafsi na halina namna ya kusema objectively rangi gani ni bora zaidi".

Yani lazima atokee silverback gorilla alpha male (it is usually a male) mmoja awapige wale wengine wote atokee yeye mshindi.

Ni tabia fulani za kuonesha watu wanalimbuka bado.
 
Thank you.

Hoja mezani ni kupata mwsnamke mwny akili ili kuoa.

In general, tunatumia vigezo gani kujua mtu ana akili?
 
Thank you.

Hoja mezani ni kupata mwsnamke mwny akili ili kuoa.

In general, tunatumia vigezo gani kujua mtu ana akili?
Bila kujali akili ni nini, kuna watu wana akili na wanakwambia watu wawili wenye akili kuwa pamoja kwenye ndoa ni janga.

Yani kama walivyosema wahenga "Mafahali wawili hawakai zizi moja".

Sasa hapo huoni kwamba kuna watu wana akili na wanaona kutafuta mwenza mwenye akili si jambo zuri, inabidi watafute mtu waliyemzidi au aliyewazidi.

Mpaka hapo premise ya thread kwamba ni lazima uwe na mwenza mwenye akili ishavunjwa.

Kwa sababu unaweza kutafuta mwenza mwenye akili, halafu hapo hapo unataka maisha ya utamaduni w anfumodume, na huyo mwenza mwenye akili hataki mfumodume, mkaishia kugombana kila siku.
 
Si mnachaguachagua....singlemom mnatuona vichomi[emoji6]
Ni kweli ni vichomi
Kwa nn aliyekuzalisha asikuoe?
Yaan uzalishwe huko ulete ukichomi wako jamaa akimbie halafu unataka mwingne akuoe?
Huyo atakuwa tahira mjinga hajitambui
Ukimpata mnyooshe kweli kweli hadi akili zimkae sawa maana hajaona mabint wadogo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada, kusema mwsnamke mwny akili unamaanisha nini?

Haya ni maoni kuwa mkiwa na akili wote hamtawezana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…