Official nyox
Senior Member
- Jan 29, 2024
- 132
- 278
Basi kama vip atuache na hao anaowaita Malaya ..si jambo zuri kuita mwanamke Malaya piaKulala na mke wa mtu sio sifa njema
Na hao wqnaowaitwa malaya huungia katika hiyo hali kwa sababu ya uwepo wa wanaume wajinga, wanaume wajinga wasipokuwepo na wanawake malaya hawatakuepo.Basi kama vip atuache na hao anaowaita Malaya ..si jambo zuri kuita mwanamke Malaya pia
Ndiyo shida ya kusoma Biblia km gazeti. Hao wajanja walioandika Biblia wanaakili sana kushinda wewe. Hebu ww ambaye siyo mjanja mjanja andika kitabu chako tukisome tuone kwa akili yako utaweza kushinda yaliyoandikwa kwenye Biblia?Sio kila kilichoandikwa kwenye biblia ni cha kweli.. mfano biblia imeandika nyoka anaongea.. je ni ukweli kwamba nyoka huwa anaongea ?
biblia imeandikwa na wajanja : watu tu kama mimi na wewe.
Umeandika vizuri ila pamoja na hayo pamoja na kusoma na kufikiri kuwa unakili sana ila umeshindwa kujua kuwaUkweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Katika ubora wako 🤣🤣🤣Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
"SUALA LA KUOA au KUOLEWA HAUJIPANGII WEWE"Ukweli mtupu,ukitumia sana akili unakosa mke au Mume,mchague mmoja maisha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vizuri ila pamoja na hayo pamoja na kusoma na kufikiri kuwa unakili sana ila umeshindwa kujua kuwaHili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu tanzania mke mume ni mapambano.
Ndiyo shida ya kusoma Biblia km gazeti. Hao wajanja walioandika Biblia wanaakili sana kushinda wewe. Hebu ww ambaye siyo mjanja mjanja andika kitabu chako tukisome tuone kwa akili yako utaweza kushinda yaliyoandikwa kwenye Biblia?
Kama hauamini nyoka hawezi kuongea basi hata uchawi haupo
NAKAZIANow days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Ila wanawake wengi sio Ladies ni chicks. Sasa Gentleman hawezi kujenga partnership na Chick. Wala sio kujikweza, ndio hali tu ya maisha ilivyo.Kuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.
Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.
Ndiyo shida ya kusoma Biblia km gazeti. Hao wajanja walioandika Biblia wanaakili sana kushinda wewe. Hebu ww ambaye siyo mjanja mjanja andika kitabu chako tukisome tuone kwa akili yako utaweza kushinda yaliyoandikwa kwenye Biblia?
Kama hauamini nyoka hawezi kuongea basi hata uchawi haupo
Kama unafikiri una akili kubwa kuliko Biblia na hauamini uchawi na ungo unausikia tu mbona umeshindwa jambo dogo sana la kupata mke?Ndio ukweli ni kwamba uchawi haupo na haujawai kuwepo
Kama uchawi ungekuwepo upo unafanya kazi tungekuwa tunaenda marekani na ungo. Waafrica tusingepata shida kuzamia majuu
Uchawi ungekuwepo chuma ulete zingekuwa zinafanyika bank. Ma bank yangekuwa yanatangaza hasara kila siku sababu wachawi wamechota hela.
Oxford Dictionary imetoa tafsiri ya uchawi ama ushirikina imeandika ni
belief that is not based on human reason or scientific knowledge, but is connected with old ideas about magic, etc.:
Sasa mtu ambaye akili zake hazijakomaa ana qualify kuingizwa kwa kundi la wasiokuwa na akili? A chick will be a lady na akaja kuwa na akili/ukomavu. Mnawaonea bure tu average minds wenzenu wakati ninyi nyote mnabelong in the same WhatsApp group. 😂Ila wanawake wengi sio Ladies ni chicks. Sasa Gentleman hawezi kujenga partnership na Chick. Wala sio kujikweza, ndio hali tu ya maisha ilivyo.
Kama umegundua Yesu wamemtengeneza na walileta uchawi.Uchawi hakuna. Waliomtengeneza yesu Ndio walioleta neno uchawi. Ni kama movie. Kunakua na steringi na kubwa la maadui. Hapa kwenye movie hii yesu ndo stering na uchawi kubwa la maadui
Bila vitabu vya dini kuandika kuhusu shetani na uchawi dini zingekosa wafuasi.
Dini na uchawi vinategemeana kama simba na yanga vile.
Simba ikiwa haipo yanga inakosa mashabiki