Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Sio kila kilichoandikwa kwenye biblia ni cha kweli.. mfano biblia imeandika nyoka anaongea.. je ni ukweli kwamba nyoka huwa anaongea ?

biblia imeandikwa na wajanja : watu tu kama mimi na wewe.
Ndiyo shida ya kusoma Biblia km gazeti. Hao wajanja walioandika Biblia wanaakili sana kushinda wewe. Hebu ww ambaye siyo mjanja mjanja andika kitabu chako tukisome tuone kwa akili yako utaweza kushinda yaliyoandikwa kwenye Biblia?
Kama hauamini nyoka hawezi kuongea basi hata uchawi haupo
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Umeandika vizuri ila pamoja na hayo pamoja na kusoma na kufikiri kuwa unakili sana ila umeshindwa kujua kuwa
"SUALA LA KUOA au KUOLEWA HAUJIPANGII WEWE"
 
Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Katika ubora wako 🤣🤣🤣
 
Huo ndiyo ukweli
 
Kuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.

Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.

Ninyi mnaojitaja mna akili, yawezekana mkawa overthinkers tu, something to do with mental healthy 😂
 
Ndiyo shida ya kusoma Biblia km gazeti. Hao wajanja walioandika Biblia wanaakili sana kushinda wewe. Hebu ww ambaye siyo mjanja mjanja andika kitabu chako tukisome tuone kwa akili yako utaweza kushinda yaliyoandikwa kwenye Biblia?
Kama hauamini nyoka hawezi kuongea basi hata uchawi haupo

Ndio ukweli ni kwamba uchawi haupo na haujawai kuwepo

Kama uchawi ungekuwepo upo unafanya kazi tungekuwa tunaenda marekani na ungo. Waafrica tusingepata shida kuzamia majuu

Uchawi ungekuwepo chuma ulete zingekuwa zinafanyika bank. Ma bank yangekuwa yanatangaza hasara kila siku sababu wachawi wamechota hela.

Oxford Dictionary imetoa tafsiri ya uchawi ama ushirikina imeandika ni

belief that is not based on human reason or scientific knowledge, but is connected with old ideas about magic, etc.:
 
Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.

Hapo uliposema "mpaka ujishushe"

Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness

A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)

Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
NAKAZIA
 
Kuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.

Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.
Ila wanawake wengi sio Ladies ni chicks. Sasa Gentleman hawezi kujenga partnership na Chick. Wala sio kujikweza, ndio hali tu ya maisha ilivyo.
 
Ndiyo shida ya kusoma Biblia km gazeti. Hao wajanja walioandika Biblia wanaakili sana kushinda wewe. Hebu ww ambaye siyo mjanja mjanja andika kitabu chako tukisome tuone kwa akili yako utaweza kushinda yaliyoandikwa kwenye Biblia?
Kama hauamini nyoka hawezi kuongea basi hata uchawi haupo

Uchawi hakuna. Waliomtengeneza yesu Ndio walioleta neno uchawi. Ni kama movie. Kunakua na steringi na kubwa la maadui. Hapa kwenye movie hii yesu ndo stering na uchawi kubwa la maadui

Bila vitabu vya dini kuandika kuhusu shetani na uchawi dini zingekosa wafuasi.

Dini na uchawi vinategemeana kama simba na yanga vile.

Simba ikiwa haipo yanga inakosa mashabiki
 
Ndio ukweli ni kwamba uchawi haupo na haujawai kuwepo

Kama uchawi ungekuwepo upo unafanya kazi tungekuwa tunaenda marekani na ungo. Waafrica tusingepata shida kuzamia majuu

Uchawi ungekuwepo chuma ulete zingekuwa zinafanyika bank. Ma bank yangekuwa yanatangaza hasara kila siku sababu wachawi wamechota hela.

Oxford Dictionary imetoa tafsiri ya uchawi ama ushirikina imeandika ni

belief that is not based on human reason or scientific knowledge, but is connected with old ideas about magic, etc.:
Kama unafikiri una akili kubwa kuliko Biblia na hauamini uchawi na ungo unausikia tu mbona umeshindwa jambo dogo sana la kupata mke?
Kusoma kwako mpaka kutatua matatizo ya kijamii kwa elimu yako lakini bado umeshindwa kupata mke Hauoni hapo kuwa bado haujui huu ulimwengu ulivyo?

"Suala la kuoa au kuolewa haujapangii wewe"
 
Ila wanawake wengi sio Ladies ni chicks. Sasa Gentleman hawezi kujenga partnership na Chick. Wala sio kujikweza, ndio hali tu ya maisha ilivyo.
Sasa mtu ambaye akili zake hazijakomaa ana qualify kuingizwa kwa kundi la wasiokuwa na akili? A chick will be a lady na akaja kuwa na akili/ukomavu. Mnawaonea bure tu average minds wenzenu wakati ninyi nyote mnabelong in the same WhatsApp group. 😂

No offence is intended.
 
Uchawi hakuna. Waliomtengeneza yesu Ndio walioleta neno uchawi. Ni kama movie. Kunakua na steringi na kubwa la maadui. Hapa kwenye movie hii yesu ndo stering na uchawi kubwa la maadui

Bila vitabu vya dini kuandika kuhusu shetani na uchawi dini zingekosa wafuasi.

Dini na uchawi vinategemeana kama simba na yanga vile.

Simba ikiwa haipo yanga inakosa mashabiki
Kama umegundua Yesu wamemtengeneza na walileta uchawi.
Unashindwaje jambo dogo sana lenye kutumia akili ndogo sana kama punje ya mchele kupata mke?
 
Back
Top Bottom