Lilifikaje au range yake ya battery ni kubwa? Au lilibebwa,BYD yapo mengi mtandao wa be forward, mwezi July Kwa mara ya Kwanza nimeliona gari ya UMEME ya BYD inaenda Congo, wenzetu Huko Congo wanatumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilifikaje au range yake ya battery ni kubwa? Au lilibebwa,BYD yapo mengi mtandao wa be forward, mwezi July Kwa mara ya Kwanza nimeliona gari ya UMEME ya BYD inaenda Congo, wenzetu Huko Congo wanatumia
true,nmewahi kaanga injini Kwa kuuziwa castrol oil feki, Tena toka Kwa dealer, akiniaminisha inatembea kilometers nyingi kuliko oil za kawaidaUko sahihi Mkuu, nimetaja oil Kwa sababu tunaongrlea magari, hakuna eneo tuko salama. Hata kile kitu unachouziwa ghali Kwa kuambiwa ni original ndio uwe makini zaidi.
Tunaua gari sana Kwa oil fake. Unashangaa umefanya service hata mwezi haujaisha na umeenda kilometer chache tu, inaanza kutoa milio ya kukoroma. Ni hatari.
Kweli kiongozi Kwa Sasa anza kufuatilia kidogo kidogo kuona Kuna fursa zipi zinakuja na EV.
Ilikuwa inatembea...Lilifikaje au range yake ya battery ni kubwa? Au lilibebwa,
Likijaga swala la oil kubadirisha naogopa. Bora Total na Puma uhakika ila hizi nyingine haujui ipi fake ipi original.Nmewai kiu true,nmewahi kaanga injini Kwa kuuziwa castrol oil feki, Tena toka Kwa dealer, akiniaminisha inatembea kilometers nyingi kuliko oil za kawaida
Nmeskia milio ya ajabu nikapuuza eti kisa nmemwaga oil juzi juz TU hapa.
Aisee, nilinunua mswaki
Zingatia neno kukanyagia.Mmh turbo inafunguka mapema tu sio hadi ufike 100 sio kweli,hata ukipaki ukiikanyagia utaisikia tu.
Waelezee pia hizo battery Zina expire na kufanyia replacement inaweza kuku kost 16m anbayo ni hiyo hiyo uliyoisave kutokununua mafuta.
Teknolojia inakua after 10 years mambo yatakua yameboreshwa mara dufuMwambie kuwa asipobadili battery ikiwa imeshachoka haikawii kuoverheat na kuwaka moto..
Ajue Pia na masaa ya kucharge had iwe full.. asifikir nusu saa tu.. anaweza akacharge kuanzia 3 hrs had 24 hrs kutegemea na uwezo wa charger na ubora wa battery maana anasema dodoma na kurudi.. labd akama ana nyumba huko dodoma wamefunga EV charger au anafikiri unachomeka tu kwenye socket za umeme na umeme wenu wa bongo huu sio Msafi
Kifupi EV ni cost effective kwenye swala la mafuta.. ila ili uifaidi hakikisha umepata mpya na kaa nayo ndani au chini ya miaka 3 uza. Na isiwe ndo gae ya kauka nikuvae . sasa ww uingize second hand EV bongo tayar battery yake inasoma 75% ya uwezo wake.. ukikaa nayo mwaka halafu ndo kauka
Nikuvae Hapa battery inaweza ikakusomea 50% kureplace hiyo battery achilia mbali bei yake ila kama hawajafanya wenyewe au certified agent hiyo ni warrant void..
choice nzur ni hybrid.. na siku hz ziko option tofaut za hybrid kuna ambayo ukiendesha kwenye speed ya 50 ama
Chini ya hapo au ikiwa idle unatumia Umeme ukizidisha juu ya hapo ndo ina engage kwenye engine ya mafuta.. na wakat huo huo inacharge battery... yaan ukiwa unaenda mkoa unatumia mafuta ukiwa misele ya town umeme tu.. toyota wanazo, nissan wanazo
We jamaa unatoa elimu ya magari utafikiri umezaliwa na nagari nasio binadamu.Swali la msingi sana.
Charging stations zipo za level kweli na wameziweka kwenye level 3, yaani level 1, 2 na 3 ambazo zinachotofautiana ni umeme (current).
View attachment 3092020
Level 1
Hii ipo slow, kwa wastani inaweza kuongeza kama kilometa 6 hivi ya range kwa saa 1 utakalochaji.
Mara nyingi zinakua installed majumbani na nzuri kwa kuchaji overnight unavyolala.
Hii sio lazima iwe charging station, inaweza kua ata umeme wa nyumbani unaotumia kuwasha TV na friji ukatoa tu waya nje ukachaji chuma.
View attachment 3092017
Level 2
Hii ipo katikati kwa wastani unapata kilometa 30 hivi za range ukichaji kwa saa 1.
Hii pia inaweza kua installed nyumbani au kazini, pia baadhi ya public charging stations.
Level 3
Hii ndio fastest inaweza kuongeza hadi kilometa 30 kwa kila dakika unayochaji. Mara nyingi chini ya saa 1 unakuta uamechaji gari from 0 to 100%!
Hii sometimes inaitwa DC Fast Charging u akuta baadhi ya watu wameimprove inaitwa Super Charger na utaikuta mara nyingi katika public stations mfano ikawekwa Mlimani City ukishuka unaweka chaji we unaingia supermarket ndani ya 30 minutes utazofanya shopping unakuta gari imejaa from 30 to 90% mfano.
Sasa tukaja kwenye maswali yako, Yes mtu anaweza akainstall izo charging stations yoyote nyumbani kwake au ofisini au popote kwa matumizi binafsi au biashara, yaani assume kama tu kituo cha mafuta.
View attachment 3092018
Majumbani wengi wana level I kwasababu inatumia voltage za majumbani 120V so hauitaji ufundi mwingi.
Kuhusu gharama:
Mara nyingi ukinunua EV unapewa chaja (mobile chaja). Yaani kama umenunua simu mpya tu.
Mfano Tesla, unakuta hii mobile chaja.
View attachment 3092022
Ambayo sio gharama sana ni kama $600 kama unavyoona. Na zipo alternative, yani Kama unavyotumia iPhone lakini chaja ukatumia Oraimo au kichwa cha Tecno.
Kwahiyo kuhusu bei za chaja unless ununue tu kama umepoteza maana vichwa vinafanana kama simu.
Mfano simu zina Type C, type B sijui na zile za iPhone basi na EV zina connector za aina mbalimbali kutegemea na region na DC au AC (ila lazima ziwe mbili za AC na DC)
View attachment 3092024
Usiogope pia kwasababu gari lako litakua na port mbili kama hivi:
View attachment 3092025
Sasa utajiuliza tena vipi kama charger yangu itakuja tofauti na port za gari langu, usijali kuna adapter pia:
View attachment 3092028
Kwahiyo kaka sijaona sababu ya kutonunua EV achana na PureviwZeiss uyo Mjapan hapendi Wachina.
Kwahiyo mtu unaweza nunua yako home ukawa unatumia umeme wako ghetto.
PS: Kuchaji kwenye public stations sio bure unalipia, na point ya kununua EV ni home charging, kama lengo kusave hela. Ukiwa unachaji kila siku kwenye public bora ubaki na ICE.
Research walizofanya wenzetu, wameona kuchajia kwenye public ni expensive 15-20 times more kulikoa kuchajia home.
Wadau wa ev. Chuma ipo bongo hii anasema 200km price ya kujaza 6600/= vipi hapo wazee wa bolt
View: https://x.com/GibsonKawago/status/1847303709916819743
Umeongea madini mkuu, ila nyingine ni nadharia pia umeongea. Hope tunajifunza wote.Mwambie kuwa asipobadili battery ikiwa imeshachoka haikawii kuoverheat na kuwaka moto..
Ajue Pia na masaa ya kucharge had iwe full.. asifikir nusu saa tu.. anaweza akacharge kuanzia 3 hrs had 24 hrs kutegemea na uwezo wa charger na ubora wa battery maana anasema dodoma na kurudi.. labd akama ana nyumba huko dodoma wamefunga EV charger au anafikiri unachomeka tu kwenye socket za umeme na umeme wenu wa bongo huu sio Msafi
Kifupi EV ni cost effective kwenye swala la mafuta.. ila ili uifaidi hakikisha umepata mpya na kaa nayo ndani au chini ya miaka 3 uza. Na isiwe ndo gae ya kauka nikuvae . sasa ww uingize second hand EV bongo tayar battery yake inasoma 75% ya uwezo wake.. ukikaa nayo mwaka halafu ndo kauka
Nikuvae Hapa battery inaweza ikakusomea 50% kureplace hiyo battery achilia mbali bei yake ila kama hawajafanya wenyewe au certified agent hiyo ni warrant void..
choice nzur ni hybrid.. na siku hz ziko option tofaut za hybrid kuna ambayo ukiendesha kwenye speed ya 50 ama
Chini ya hapo au ikiwa idle unatumia Umeme ukizidisha juu ya hapo ndo ina engage kwenye engine ya mafuta.. na wakat huo huo inacharge battery... yaan ukiwa unaenda mkoa unatumia mafuta ukiwa misele ya town umeme tu.. toyota wanazo, nissan wanazo
Umeongea madini mkuu, ila nyingine ni nadharia pia umeongea. Hope tunajifunza wote.
1. Swala la kuchoka kwa battery (degradation) ni kweli, kama simu au hybrid cars, battery lazima ziishiwe nguvu ya kuhold charge.
Lakini, Teknolojia ilipofikia battery unakuta lina life cycles hadi 1500 (mfano Tesla). Na life cycle moja ni kutoa chaji from 100% to 0% na ikiwa 100% lets say inasafiri kilometa 400.
So ili ichoke kabisa iwe ya kutupa inamaanisha ni kilometa 400 x 1500. Imagine.
Study zimeonesha EV nyingi zinapoteza wastani wa 1% ya kuhold charge kila mwaka.
2. Kuhusu kucharge tumeshadiscuss kwenye huu huu uzi.
Kama ulivyosema zinategemeana na charger iliopo. Level I ni ya nyumbani iko slow. Level II unaweza kuweka home au ukaikuta makazini. Level III ni DC charger iko fast ndio izo unakuta zipo kwenye masupamaketi.
aisee!Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar.
Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme ni Tsh 358, so ukizidisha na ukubwa wa battery ni elfu 20!
Na hii model ikiwa full charge inatembea jumla ya kilometa 513. Na distance kutoka Dar hadi Dodoma ni Kilometa 460!
Kwahiyo hapo ushaenda na zinabaki kilometa za kutosha za misele hapo Dom.
So na kurudi hivo hivo, jumla 40.
Mtu, mwenye IST akiiga yeye kwa average fuel consumption ya 20km/L atataka elfu 70 ya mafuta kwenda tu na kurudi ivyo ivyo. Jumla 140,000/=
Dah umeongea ukweli nadhani ndio wengi pia wanaogopa hii kitu, charging network.ni sahihi kabisa ulichoongea.. ila mimi nazungumzia kwa hapa kwetu bongo wa sasa hv tu a charging network sina hakika kama zipo za kutosha.. tuchukulie mtu anaamua kuingiza EV sasa hv na ndio anaofanya gari yake ya kilaSiku utaona changamoto zitakuwa kubwa ingawa ata save kwenye mafuta ila atajikuta gizo gharama alizosave kwenye wwse zinarudi indirect pengine za zaid maana atakuwa very limited kwenye safar zake kwa sababu zifuatazo
1. Location za kucharge na ubora/aina ya charging system - mpaka sasa hv hakuna universal charging sysytem ya kuelewwka hata huko dunian. Tesla ana mfumo wake manufacture wengine nao The same . So hapa maana yae uhakika ni kuchaji gar home tu.. maana kwenye public place ni lazima wahusika waone kama watafaidika hawawezi tu kufunga mfumo Huo ili mradi tu..sasa chukulia apate safar ya mkoan maana yake itabidi aipaki EV atafute means nyingine maana nje ya Morogoro kwingine hana uhakika wa kwenda na kurudi
Kuna aina ya life style ufanisi au tu get the best out of it unategemea na utayari wa mifumo wa nchi husika.. EV cars zimekuwa kwenye soko almost for 10+ years huko Ulaya, US na Asia na mpaka sasa hivi kuna debate kama Europe iko tayar ku phase out Engine cars ili kuimbrace EV .. US ameweka policy hadi 2030 wawe full EV ila changamoto ni nyingi..
Technology inakuwa na changamoto
Zinapaitiwa solution. ingawa sio kwa pace ya kufanya in The next 10 years wawe kwenye EV 100%
US consumers wana raise argument kuwa initiative iwe kwenye hybrid na sio full EV maana inaoneka kama nationalwide EV bado ziko kwenye kujitafuta.. hakuna supporting system ya EV nchi nzima.. kuanzia charging network.. gharama za kununua au kubadili battery ziko juu almost nusu ya thaman ya gari ilipokuwa mpya..
Changamoto nyingi zimesababisha EV ku depriciate haraka na hazihold value of Money kwa Mda mrefu hata bima za EV ni ghali kuliko za Engines cars..
The changes is inavitable ila upande wetu africa tusiharakishe.. kama itawachukua ulaya na US 10+ yrs kuweza kuwa comfortable na EV basi sie ni next 30+ years
Maana ss hv ukiwekeza kwenye EV basi uwe walau kipato chako cha mwez kiwe 10+m plus na hiyo iwe surplus tu.. ila vinginevyo mh
Dah umeongea ukweli nadhani ndio wengi pia wanaogopa hii kitu, charging network.
Kuna mtu ana Prius Plughin Hybrid, ila amesema hajawahi ichaji ata siku moja na ata mwaka sahivi anayo, kwasababu ya network ya charges.
Kwa sasa kweli bora tukomae kwanza na Hybrids, zinasave vizuri tu bila complications nyingi.
Mfano badala ya kununua Tesla Model 3 ya 2020 ambayo naona beforward na ushuru jumla Mil 55+ bora maboss wanunue Prius 5th generation ya 2023 naona bei na kodi sawa.
Utapata range ya EV ya 10km ambayo ni tosha kabisa kwa hybrid na fuel consumption ya hadi 30km/L
Mwakani 2025 Mungu akibless naishi na Prius 3rd generation, naona 4th bei ya moto sana siwezi ingawa ndani nzuri.Yes sahihi kabisa tuanze na hybrid tu.. sema kibongo bongo inabidi ukiwa na hybrid uwe na mkangafu mmoja hv maana kipindi cha masika dar haieleweki posta unakuta maji ya magoti.. halafu uwe na hybrid prius maji yakipanda pale mbele kwenye motor kaz unayo
Mwakani 2025 Mungu akibless naishi na Prius 3rd generation, naona 4th bei ya moto sana siwezi ingawa ndani nzuri.
Nilitaka Honda Fit ila naona kaduchu sana ova Vitz.